Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa,
1734938099435.jpg
kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa. Nikamwambia naenda kumsindikiza hospital kwasababu yeye alishawahi kunisidikiza kwenye sherehe.

Tukaenda hospital kuna Dr nilikuwa namfahamu pale hospital nilipofika tu nikampigia simu akaja pale acha ahudumiwe haraka kisha nikarudi naye nyumbani kwake. Nikampikia kama rafiki nikaondoka zangu. Nikaendea kumjulia hali na kumsisitiza kunywa dawa wewe kumbe muda wangu na hekaheka za hospital zilimnasa. Akanipigia simu usiku wa manane siku ya pili yake akaniambia nakupenda naomba uwe mke wangu umenifaa kwenye shida utanifaa kwenye hatma yangu. Akali sana nikambembeleza akanyamaza.

Kesho yake akataka kuja kwangu nikamwambia karibu akasema nina moyo wa pekee sana kuacha kazi zangu kumhudumia na kumpeleka hospital si hakujua nilipata mbinu kwa mrugulu wa morogoro mjini kwa chifu kingalu. Kaka moyo wangu sasa una amani sana. Nimempata mwanaume ambaye ninaweza kumtii kwasababu nampenda sana na nilifanya hayo kwasababu nampenda ili nioneshe upendo wangu. Nawaambia watu kujipenyeza kupo hasa kwenye kumjali kwenye changamoto yake ukiibeba kama yako unamnasa kirahisi
 
We jombi una copy sana Ngoja ni Kurepot kwa muhusika
 
Kaka Magical power nina furaha sana, yule kaka niliyekuwa namuwinda siku nyingi bila mafanikio sasa nimeshamnasa,View attachment 3183095 kumbe rahisi niliamua kujitoa akili nikalipa double kwenye send-off ya rafiki nikamuomba kampani tukaenda wote nikawa sikuwa na haraka basi akaumwa akanipigia simu anaumwa. Nikamwambia naenda kumsindikiza hospital kwasababu yeye alishawahi kunisidikiza kwenye sherehe.

Tukaenda hospital kuna Dr nilikuwa namfahamu pale hospital nilipofika tu nikampigia simu akaja pale acha ahudumiwe haraka kisha nikarudi naye nyumbani kwake. Nikampikia kama rafiki nikaondoka zangu. Nikaendea kumjulia hali na kumsisitiza kunywa dawa wewe kumbe muda wangu na hekaheka za hospital zilimnasa. Akanipigia simu usiku wa manane siku ya pili yake akaniambia nakupenda naomba uwe mke wangu umenifaa kwenye shida utanifaa kwenye hatma yangu. Akali sana nikambembeleza akanyamaza.

Kesho yake akataka kuja kwangu nikamwambia karibu akasema nina moyo wa pekee sana kuacha kazi zangu kumhudumia na kumpeleka hospital si hakujua nilipata mbinu kwa mrugulu wa morogoro mjini kwa chifu kingalu. Kaka moyo wangu sasa una amani sana. Nimempata mwanaume ambaye ninaweza kumtii kwasababu nampenda sana na nilifanya hayo kwasababu nampenda ili nioneshe upendo wangu. Nawaambia watu kujipenyeza kupo hasa kwenye kumjali kwenye changamoto yake ukiibeba kama yako unamnasa kirahisi
Kila mtu na mbinu yake, natka nimnase mzabzab sijui nitampataje jamani kwa kweli
 
Back
Top Bottom