Kaka tuchati - Ngoma mpya Ya Rostam, Roma & Stamina

Mtunzi anamaanisha nini anaposema,"Sasa hivi sio ununio ni daraja la mkapa?"
 
Ni maarufu kwa brother tuchat

Huu wimbo unasaambaa kama moto wa nyika huku ukibeba ujumbe wa kukosoa juhudi za serikali yetu wa kupambana na corona na kusema kuwa mh.rais amejificha chimbo maana kuwa amekimbia kwa kutumia lunga ya kiruguru

Huu ni wimbo wa kichochezi kabisa na upo wazi tu ,kwa nini wafunge nyimbo na nyimbo kama hizi ziachwe zisambae inamaana Luna double standard kwenye sheria

Mamlaka mpo Eng.kilaba upo waziri yupo fungieni huu wimbo haraka kwa kuwa kila mmoja wetu anaridhika juhudi za serikali za kupambana na corona hasa kuleta dawa na sio kweli kuwa mh. Rais amejificha mh. Rais yupo Kazini akihudumumia watanzania akiwa ikulu ndogo ya chato

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
USSRView attachment 1445794

Sent using Jamii Forums mobile app
Wape kufuli la kufungia
Shubaaaaaaamit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom