technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Hahahaha wanakwepa wasiojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Money launderingHahahaha wanakwepa wasiojulikana
Mie namuweka Khantwe 😃😃[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti msikilizaji mwenyewe kuamua amuweke nani. Mie namuweka Mbowe si kajifungia karantini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mimi ndio nimemuweka yeye, nae si yuko chimboKarantini ya mbowe nisiku 14 yule wachato hatamazishi ya waziri mahige yy hakwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mie namuweka Khantwe [emoji2][emoji2]
ROMA:"Nasikia Koyu Keza Mbochi" {Nasikia Yuko Zake Chimbo}
STAMINA: "Mano Likwelikwe" {Noma Kwelikweli}
Mistari ya Roma na Stamina kwenye wimbo wao mpya.
Ngoja waje wakujibu hata mm sijaelelewa huu mstariMtunzi anamaanisha nini anaposema,"Sasa hivi sio ununio ni daraja la mkapa?"
Kingine?ROMA:"Nasikia Koyu Keza Mbochi" {Nasikia Yuko Zake Chimbo}
STAMINA: "Mano Likwelikwe" {Noma Kwelikweli}
Mistari ya Roma na Stamina kwenye wimbo wao mpya.
Hili goma ni noma sana, huu ndio usanii halisiHumu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu.
Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu
Tangu wiki ilopita sema huku tz ilichelewa kufika si unajua mipaka imefungwa?DAR ROMA...UPO JUU SANA...Imetoka lini hii nyimbo...?
Wape kufuli la kufungiaNi maarufu kwa brother tuchat
Huu wimbo unasaambaa kama moto wa nyika huku ukibeba ujumbe wa kukosoa juhudi za serikali yetu wa kupambana na corona na kusema kuwa mh.rais amejificha chimbo maana kuwa amekimbia kwa kutumia lunga ya kiruguru
Huu ni wimbo wa kichochezi kabisa na upo wazi tu ,kwa nini wafunge nyimbo na nyimbo kama hizi ziachwe zisambae inamaana Luna double standard kwenye sheria
Mamlaka mpo Eng.kilaba upo waziri yupo fungieni huu wimbo haraka kwa kuwa kila mmoja wetu anaridhika juhudi za serikali za kupambana na corona hasa kuleta dawa na sio kweli kuwa mh. Rais amejificha mh. Rais yupo Kazini akihudumumia watanzania akiwa ikulu ndogo ya chato
USSRView attachment 1445794
Sent using Jamii Forums mobile app