Kaka unasafilisha mali ya asili - Julius Nyerere International Airport -Yamenikuta ya ajabu na kweli

Wakati huohuo TWIGA walipitishwa hapo hapo JKNIA kwa kupandishwa ndege na kusafirishwa nje, ila hatusikii wakikamata wasafirishaji wa hizo nyara muhimu za serikali, nchi ina vituko sana hii.
Twiga ni huko KIA
 
Kwa kiasi fulani wapo sahihi kuzuia usafirishaji wa mbegu za mimea bila kibali hususani kwa safari za kimataifa. Kwa safari za ndani ya nchi sioni Kama Kuna tatizo.
Aidha, sababu ya kwamba wanazuia usafirishaji wa mbegu hizo eti kwa kuwa ni 'mali ya asili' Wala haina mashiko hata kidogo. Nchi zingine wanazuia usafirishaji wa mbegu za mazao kutokana na sababu za kiusalama, yaani ni katika kudhibiti usalama wa vyakula (Food Security and Quality Control)
Kuna nchi zao lolote haiingii. Ati mchele, ndizi nanasi etc
 
Tusiwe tunapoteza muda kwa mambo ya hovyo, kama tumeshindwa kuzuia madini ndio tuje tukomae na mbegu za mibuyu? nchi nyingi za Afrika zina mibuyu na wala haiwasadii chochote.
Hoja siyo mibuyu haiwasaidii kitu chochote, bali hoja ya msingi hapa ni kwamba wenzetu nchi zingine wanajali sana kuhusu suala la usalama wa Watu wao. Hizo mbegu za mbuyu unazowapelekea huko huenda unaweza kwenda kusababisha tatizo fulani la kiafya kwa Watu wao, Ila wewe msafirishaji wa mbegu hizo yawezekana haujui Hilo.
 
"Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?"

Hii kauli imeniacha hoi sna
 
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner ,begi moja likaonekana lina tatizo.
Likaekwa pembeni ,nikaitwa ,mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu,ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.

Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema ,sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo ,kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.

Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?

Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.

Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Alitaka rushwa ila aliona una msimamo
Hongera
 
Hoja siyo mibuyu haiwasaidii kitu chochote, bali hoja ya msingi hapa ni kwamba wenzetu nchi zingine wanajali sana kuhusu suala la usalama wa Watu wao. Hizo mbegu za mbuyu unazowapelekea huko huenda unaweza kwenda kusababisha tatizo fulani la kiafya kwa Watu wao, Ila wewe msafirishaji wa mbegu hizo yawezekana haujui Hilo.
Kwa maelezo aliyoyatoa shida wala sio huko anakoelekea au usalama wa hizo mbegu, bali ni mali asili.
 
Kuna nchi zao lolote haiingii. Ati mchele, ndizi nanasi etc
Yes, hawataki kabisa kusikia Habari hizo. Tena Maafisa wa Afya na Udhibiti Ubora wa Vyakula waliopo kwenye Viwanja vyao vya ndege wako very serious kuhusu suala hili, wanasema wazi kabisa kwamba "Security of our people must be given the Top and Foremost Priority, strictly no food transmission without permit."
 
Kweli ni mali asili. Pili kuna nchi hawataki uingie na exotic plants au mbegu zake, zisije kuwa invasive species. Huyo mkaguzi alikuwa sahihi. Na kwa vile wabongo hawapandi mibuyu basi haimaanishi wengine hawapandi.
 
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner ,begi moja likaonekana lina tatizo.
Likaekwa pembeni ,nikaitwa ,mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu,ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.

Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema ,sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo ,kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.

Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?

Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.

Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Ungemwambia kuna tembo na twiga wanasafirishwa KIA je analijua hilo?
 
Ila kuna regularions za kusafirisha vyakula. Hukawii kwenda kunyang'anywa huko unapoenda usiviingize kwenye hiyo nchi.

Watakuambia ni threat kwa health na safety ya walaji wa huko.
 
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner ,begi moja likaonekana lina tatizo.
Likaekwa pembeni ,nikaitwa ,mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu,ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.

Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema ,sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo ,kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.

Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?

Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.

Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Jaman ww kaka umekuja mpaka huku? Si nlikua nakujarbu tuu nione kama unaweza kuniachia walau msimbazi !!!
 
Mimi niliambiwa mihogo mali asili lazima kibali, mihogo yenyewe nimepewa zawadi haifiki hata alfu 10 labda wakaanza kuniomba pesa sijui laki nikawaambia sitoi hata cent moja na mihogo waitupe tu au waichukue sina shida nayo, wakaona aibu na kuniachia
 
Nasafiri kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere International Airport.
baada ya mabegi kupita kwenye scanner ,begi moja likaonekana lina tatizo.
Likaekwa pembeni ,nikaitwa ,mpekuzi akalifungua na kupekuwa akatoa pakiti ambayo ilikuwa na ubuyu,ule ubuyu wa rangi nyekundu ambao kwa sasa ni maarufu hapa Tanzania.

Mdada mpekuzi akautoa na kuniambia ,je hukuliwona bango pale nikasema ,sikuangalia kwani kila kitu ni kawaida nina vipakiti vya chipsi za muhogo ,kipo kipakiti cha kolosho na vingine mastafeli mawili,yaani vijizawadi na vingine vyangu mwenyewe.

Dada akaluka na kudai hujui kuwa unasafilisha hazina ya Taifa ,nikamuuliza kwani dada shida ipo wapi ,mbona sikuelewi ?

Tumekamata hazina ya Taifa, unasafiisha mbegu za ubuyu kinyume cha sheliya ulitakiwa uwe na kibali toka mali ya asili.

Kwanza nilifurahi sana na kucheka na kumwambia kama unautaka nikuwachie ,na hivi hizo mbegu zitachukuwa miaka mingapi hadi kuleta mazao ? Na niambia kama kuna Mtanzania aliepanda mbegu za ubuyu tokea tupate uhuru ?
Na hii mibuyu mbona ipo kila sehemu na siku hizi tu ndio tumenza kusikia mtu akisema huu M'buyu wangu ,nikafoka na kubadilika rangi ,mweusi lakini niligeuka rangi na kuwa mwekundu.
baada ya watu kuanza kuuliza kuna nini dada akalifunga begi na kuniambia sawa safari njema ila usijaribu tena kupita na mali ya asili bila ya kibali.
Wengi waliosikia walisema ni dalili ya njaa hapa Tanzania.
Alikua anataka akutingishe umpe kahela,, wengine hapo njaa tu wanakutafutia kasababu kokote tu
 
Back
Top Bottom