Kaka unasafilisha mali ya asili - Julius Nyerere International Airport -Yamenikuta ya ajabu na kweli

Kama asali ni maliasili kwanini ubuyu na huyo mdada wasiwe maliasili.
 
Ilikuwa mbegu ya ubuyu au ubuyu wa kula(chakula),kama ndio sitayari ulikuwa umeshaizinishwa uko mtaani
 
Mbona kuna watu wanakwambia uwazi tu kaka tuachie chochote kilichobakia ,wallai huwa nawapaga tena kwa furaha tu.
ila kuzuia kuchukua vipakiti viwili vitatu vya kolosho,ubuyu,zipo hata embe za sukari zinafanywa kama ubuyu ambavyo vimejaa mitaani vinauzwa,pagumu sana hapo mtu anaponizuia naona tupo nyuma sana tena ni ushamba wa hali ya juu.
Ukiondoka mtihani ukirudi majanga.
eti nimenunua shati jipya na suruali ya jeans ,kutua tu kwenye upekuzi wakaziona ,
...Unaenda kufanya biashala ni lazima ulipie ushulu... ,nikawauliza kivipi ,..usitufanye wajinga... ,nikaona sasa kuna nisilolifahamu,niuliza niambieni ...si unaona hizo nguo zina lebo ni za kibiashala hizo... lazima ulipie ushuru... ,jamani nguo mbili tu na nimenunua wakati naondoka sikuwa na muda wa kuondoa na sikuona kuwa lebo ni tatizo kwenu ...sasa unatuzalau... kwa ufupi sikulipia kitu na nikapita nazo na wangezidi kidogo ningevua nguo nilizo vaa nikazivaa zile mpya hapo hapo ,unawezaje kuoga na chupi bahari beach ,ila kuna mkubwa mmoja akaingilia akasema mwacheni huyo sie.
 
Ilikuwa mbegu ya ubuyu au ubuyu wa kula(chakula),kama ndio sitayari ulikuwa umeshaizinishwa uko mtaani
Mbegu. Mbegu
Na ubuyu n ubuyu

Hakunanwa kukuzuia unless ulikuwa na mwingi wakahisi unafanya biashara simple

Hata maji wana kiasi unaruhusiwa....
 
NA KAMA.KYNA AMBAO WANA UDOUBT WUNAENDA OFISI ZAO WANA KITABU KIKUBWA TU WANAKUONYESHA UNAJIRIDHISHA KAMA N SAWA AMA.LAH

UKIONA WALE WA NJIAN KELELE NENDA OFISIN MWAO..WANAKUZINGUA KAMA.UMECHELEWA....

HATA DHAHABU UKIWA NA SHIDA NAYO UNAENDA WANAKUELEKEZA UNAPEWA TARATIBU FOLLOWING DAY ILEEE....
 
Unaruhusiwa kupeleka twiga Dubai lakini sio mbegu za ubuyu, tunalinda hazina za taifa!
 
Kwanza jifunze matumizi ya herufi R.
 
Muwe mnasoma kwa kuelewa basi, sio kwa kukomoa,

Ameambiwa hana kibali ila twiga walikuwa na vibali
Tatizo nini?
Tatizo ni kutoa kibali cha twiga kirahisi na kukomalia ubuyu uliokuwa processed na kuwa packed, ambayo inakuwa ni item ya kula.
Lazima mtu mwenye akili atajua huyo dada wa airport security hana akili
 
Kuna mibuyu mingi Tanzania.
Nilikuwa nassafiri na basi,sikumbuki wapi,naitazama nje,mibuyu everywhere,mile after mile.
 
Tatizo ni kutoa kibali cha twiga kirahisi na kukomalia ubuyu uliokuwa processed na kuwa packed, ambayo inakuwa ni item ya kula.
Lazima mtu mwenye akili atajua huyo dada wa airport security hana akili
Kama hana akili asingeuliza kibali, kama ni mimi hapiti huyo bila kibali au hela tukalipie kibali πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ€£πŸ€£
 
Wakati huohuo TWIGA walipitishwa hapo hapo JKNIA kwa kupandishwa ndege na kusafirishwa nje, ila hatusikii wakikamata wasafirishaji wa hizo nyara muhimu za serikali, nchi ina vituko sana hii.
Hao twiga walikua na vibari
 
Kuingiza ya kutoa mbegu nchini bila kibali ni kosa kisheria. Rejea Sheria ya mbegu ya mwaka 2003. Ni sio Tanzania tu nchi nyingi Dunia zinakataza kuingiza au kutoa mbegu bila kibali kulinda mimea yake dhidi ya magonjwa na issue nyingine. Usichukulie kirahisi hivyo.
 
Kuwa mwangalifu kuna baadhi ya nchi huwa wanakataza kuingiza baadhi ya food stuffs ila mara nyingi huwa wanaconfiscate tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…