Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

Status
Not open for further replies.
Au ukute ni zile dawa za kupunguza uzito alizokuwa akuweke wa kwa njia ya drips labda zimemletea madhara mwilini mwake?
Maana kuna wakati alipungua vizuri akawa kama binti mdogo.
 
Story za jf huwa ni za jamaa zao tu, humu kunaishi watakatifu, malaika matajiri na wasomi wasio na shida kabisa, kila kizuri ni chao ila vibaya vya jamaa jirani ndg na rafiki zao🤣🤣🤣
 
Ndio yaleyale ya Babu Tale kuongelea suala la Diamond na Diddy mwisho akaharibu zaidi kuliko kuweka mambo sawa.

Baada ya taarifa za Dida kufariki minong’ono imekuwa mingi, na yeye kagongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza!
 
Ugonjwa wowote hata wa bacteria infection ukiacha kutumia dawa kwa usahihi unaenda na maji. Hata antibiotics zinajenga usugu na kupelekea dawa kushindwa kufanya kazi.
Kuna nchi hupati antibiotics unaambiwa zinaharibu kinga
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…