Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

Status
Not open for further replies.
Au ukute ni zile dawa za kupunguza uzito alizokuwa akuweke wa kwa njia ya drips labda zimemletea madhara mwilini mwake?
Maana kuna wakati alipungua vizuri akawa kama binti mdogo.
 
Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.

CHANZO PTVTZ

Pia soma TANZIA - Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia
Ndio yaleyale ya Babu Tale kuongelea suala la Diamond na Diddy mwisho akaharibu zaidi kuliko kuweka mambo sawa.

Baada ya taarifa za Dida kufariki minong’ono imekuwa mingi, na yeye kagongelea msumari wa mwisho kwenye jeneza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom