Utabibu wa Tz huu! Apumzike kwa Amani!Kaka yake marehemu Dida Shaibu aliyekuwa mtangazaji wa Wasafi fm, amesema mdogo wake alikuwa na vidonda vya tumbo akaacha matumizi ya dawa ikampelekea fangasi kupanda kichwani.
CHANZO PTVTZ
Pia soma TANZIA - Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia
Vidonda vya tumbo FANGASI zikapanda kichwani...???Yah huyu kaongea ukweli ila kauficha kiutuuzima sema hapo hapo kaongelea pdidy mara uchaguzi serikali za mitaa n.k mzee mwanasiqsa sana yule naona kwao dida wote waongeaji
R.i.p sister
Ugonjwa wowote hata wa bacteria infection ukiacha kutumia dawa kwa usahihi unaenda na maji. Hata antibiotics zinajenga usugu na kupelekea dawa kushindwa kufanya kazi.
Huo ndiyo ukweliHuenda Yale ma-drips alokuwa akijidunga ya kwenye mishipa kwaajili ya kupunguza uzito siijui kuwa mweupe huenda yamemletea madhara mwilini.
Sijui ni Kwanini Watu wengine huwaogopi kufanya mambo mageni.
Halafu akapungua kweli, tukampongeza umepungua uzito umependeza.
Lakini ukweli anaujua yeye na daktari.
Unakubalije kuwekewa kemikali kwenye mishipa mwilini moja kwa moja?
Madhara yake unayajua?
Tujifunze kwa kweli.
Yaani wewe hujui hilo. Mbona liko wazi kabisaMadaktari wa JF π π
Vidonda vya tumbo hivyoIngekuwa kupungua uzito ni rahisi hivyo kwa kuwekewa drips za mishipa na kupata matokeo bila madhara Americans wengi wangekuwa slim fits na wangeepukana na tatizo la obesity kirahisi sana na kuepukana na magonjwa ya high blood pressure, diabetes n.k
Drips unawekewa zikupunguze uzito ?!
Hujiulizi huko mwilini zinaenda kufanyaje ?
Nini madhara yake ?
Koo na fangasi.Kaadhirika kwa jambo gani, taarifa ya kuadhirika inatolewa na nani?! Hii Mpya!!
Alifanya ivo?Madaktari au familia wangesema ukweli ili jamii ijifunze na kuepuka kutumia yale ma-drips kwaajili ya kupunguza uzito jamani.
Pengine yana madhara
Hapa umeshatoa codeDida juzi juzi tu nilicomment Kenya pic yake nkaandika umezeeka wala hakunijibu maana kwa mdomo ule ningekutana na jibu pambeee kumbe alikuwa anapigania uhai wake