Kaka wa Dida: Marehemu aliacha kutumia dawa za vidonda vya tumbo, fangasi zikapanda kichwani

Status
Not open for further replies.
Huenda Yale ma-drips alokuwa akijidunga ya kwenye mishipa kwaajili ya kupunguza uzito siijui kuwa mweupe huenda yamemletea madhara mwilini.
Sijui ni Kwanini Watu wengine huwaogopi kufanya mambo mageni.

Halafu akapungua kweli, tukampongeza umepungua uzito umependeza.

Lakini ukweli anaujua yeye na daktari.

Unakubalije kuwekewa kemikali kwenye mishipa mwilini moja kwa moja?
Madhara yake unayajua?

Tujifunze kwa kweli.
 
Ingekuwa kupungua uzito ni rahisi hivyo kwa kuwekewa drips za mishipa na kupata matokeo bila madhara Americans wengi wangekuwa slim fits na wangeepukana na tatizo la obesity kirahisi sana na kuepukana na magonjwa ya high blood pressure, diabetes n.k

Drips unawekewa zikupunguze uzito ?!

Hujiulizi huko mwilini zinaenda kufanyaje ?
Nini madhara yake ?
 
Huo ndiyo ukweli
 
Vidonda vya tumbo hivyo

Ova
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom