nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Watanzania hatukua hivi, kuna kitu kilekebishwe mahali,
Nafikili tatizo ni malezi.
Nafikili tatizo ni malezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenu mnakufa/ mtakufa na Wewe utakufa. Huzuni kutangulia. Kifo ni hakika
Ndio huyo huyo mwenye, pony tail.RiP Kaka Charles. Hii Familia Jamani Mungu akasimame katikati Yao. Ni miaka ya Juzi Tu alikufa Dada Kwa Ajali, akafa Maximilian, akafa Yule Mwanajeshi wa Salasala. Huyu Charles Sijui ni Yule aliyekuwa ana Nywele ndefu anazibana Kwa Nyuma?? Tulikuwa tunamuita Mmarekani?! Daaaah Mbowe Mungu akutie Nguvu na kukupa Faraja.
Watanzania hatukua hivi, kuna kitu kilekebishwe mahali,
Nafikili tatizo ni malezi.
safi sana ingawa mbowe hakutuma salamu za rambirambi taifa lilipopata msiba alifikiri msiba ni wa sehemu moja tu awe na utu siku nyingine
Inasikitisha sana ila hatupaswi kufanana nao.Inasikitisha sana,kipindi cha Msiba wa Taifa ilikuwa inashangaza sana,unakuta mtu anatokwa na maneno machafu utadhani yeye hatokufa,majuzi hapa kwa Mfugale (RIP) napo kejeli kama zote.Leo hii kafa ndugu wa kipenzi chao,ndiyo akili zimewarudi na kujua kumbe kifo hakijui CCM wala CDM,wanaishia tu kucomment “Pumzika kwa amani”.
Ni furaha iliyoje liuwaji na litesaji linapokata roho. Mungu kaiponya nchiHapa tunaongelea “liendazake kutoka kwa familia ya kina Mbowe linasubiri kuzikwa likaliwe na funza huko”.Vipi hapo sawa? Mnajitoaga ufahamu hata mbele ya kifo.
Daàaaah😭😭😭😭😭😭I know him. RIP Charles.Ndio huyo huyo mwenye, pony tail.
Why KARMA??KARMA YA JPM
walisema wao hawafi na wakawadhihaki waliokufaWhy KARMA??
Shida ni kuficha. Unaficha nn?Kumbe na wao wanakufa kwa COVID? Sasa kejeli kwa Marehemu wengine huwa ni za nini kama kifo hakichagui.
Vipo vifo vya aibu, mtu kama kafia kifuani huko gesti kwa kuzidiwa na utamu utakuja kutangaza na kusema kifo si kitu cha aibu?
Kama hujui aibu ni nini au hujali kuhusu aibu basi huwezi kuona tatizo hapo.Sasa kama mtu akifia kifuani kwa aibu hapo ni nini!?
Rest well kaka Chale