Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Ila wakifa wengine hakuna haja ya kumsitili marehemu bali ni kupiga kejeli mwanzo mwisho.Mkuu kwa heshima ya marehemu,tumsitili.
Maana sidhani kama alikuwa na misimamo ya kisanii kama ya mdogo wake.