Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Wewe ndio mnafik. Amesema taarifa amepata kutoka Chadema, kosa liko wapi? Amesema marehemu ni kaka wa Mwenyekiti wa Chadema, kosa liko wapi? Wapi aliposema kuwa msiba huu ni wa wanachadema peke yao na kuwa marehemu alikuwa Chadema?yaani huyo mama aliyeandika kaandika kinafiki sana eti wanachadema mpuuzi kweli mnafiki huyo
Acha unafik. Si tabia nzuri kumsingizia mtu kitu ambacho hajasema.
Amandla...