Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Baada ya kimya kirefu kidogo, kaka wa balozi Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole atokea na kuzungumza na umma wa watanzania

yasikilize aliyosema leo ikiwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya balozi humphrey polepole

Habari njema: Tanzania mpya imeshakuja na hakuna wa kuizuia kwa namna yoyote ile

Your browser is not able to display this video.
 
Tunayasikilizia wapi?
 
Polepole kafanya kazi kubwa sana hatuwezi kumsahau hata siku moja.Na wasizani ama kufikiri tumemwachia Mungu hilo watoe tutamalizana na mmoja mmoja mpaka watatajana ni nani alimteka kaka wa taifa
Kabisa ,Polepole ,Gwajima siyo wa kuwaacha peke yao bila kuwapigania ,wamejitoa muhanga kwa ajili ya kuwasemea waTZ.

#FREE POLEPOLE ,JUSTICE FOR MDUDE ,SOKA ,BENSAANANE
#D9 USITOKE KIZEMBE ,JIKOKI.
 
Kabisa ,Polepole ,Gwajima siyo wa kuwaacha peke yao bila kuwapigania ,wamejitoa muhanga kwa ajili ya kuwasemea waTZ.

#FREE POLEPOLE ,JUSTICE FOR MDUDE ,SOKA ,BENSAANANE
#D9 USITOKE KIZEMBE ,JIKOKI.
Nyie ni nyumbu hao wanapambania mambo yao binafsi Nyie mnaona wanapambania wananchi, yote mabaya mnayoyalamikia leo kwa samia, mentor ni hao hao akina polepole na co
 
Nyie ni nyumbu hao wanapambania mambo yao binafsi Nyie mnaona wanapambania wananchi, yote mabaya mnayoyalamikia leo kwa samia, mentor ni hao hao akina polepole na co
Kasema JUSTICE muwe mnasoma na kuelewa,Means huyo polepole kama Kuna mabaya alifanya hapaswi kutekwa au kuuliwa kama kuku,

Hii nchi inaongozwa na Sheria,So Samia au mtu yeyote Hana haki or uhalali wa kudhuru Uhai wa Mtu mwingine..
 
Nyie ni nyumbu hao wanapambania mambo yao binafsi Nyie mnaona wanapambania wananchi, yote mabaya mnayoyalamikia leo kwa samia, mentor ni hao hao akina polepole na co
Ndiyo maaa mnaitwa ZERO BRAIN.

Mtu ambaye anayepinga utekaji na akatoa solution ili wananchi wasiendelee kutekwa unasema anazungmzia mambo yake binafsi? Gwajima si alisema wazi kwamba msilifungulie kanisa lake milele na hatokoma kuzungumzia UTEKAJI.

Polepole si alitusanua jinsi nchi inavyobanangwa ,nchi inavyotindinganywa ,nchi inavyobagazwa ,nchi invyohondomolewa na WAHUNI? Hayo ni mambo yake binafsi? Mtue aliyeachia uongozi wa juu na kupoteza stahiki zake zote unasemaje kwamba ni mambo yake binafsi? Si angeendelea kula shushu tu na kuwaacha WAHUNI wakiendelea kuhondomola rasilimali?
 
Stupid uyo achana nae
 
Zero brain ni Zero brain tu ungekuwa unajua ya mentor usingekoti gazette kwenye reply yangu.
 
Polepole kafanya kazi kubwa sana hatuwezi kumsahau hata siku moja.Na wasizani ama kufikiri tumemwachia Mungu hilo watoe tutamalizana na mmoja mmoja mpaka watatajana ni nani alimteka kaka wa taifa
Unakili finyu sana,jisemee mwenyewe wacha kuunganisha na watu wengine
 
Tanzania mpya imeshakuja, Pole pole ni shujaa,sasahivi wahuni wa Samuya wanalillia haki ya kusikilizwa bunge la ulaya, wanasahau mauaji na utekaji wanaofanya bila kuwasikiliza
 
Napinga mauaji, napinga utekaji, bila kujali anayeuawa au kutekwa ni nani.

Ila huyu jamaa analialia sana bila strategy kama kaka yake.

Magufuli na Polepole wameteka na kuua watu kibao, lakini hatujawahi kumsikia akiusema utawala huo mpaka mdogo wake katekwa.

Polepole alivyokuwa anafanya kazi na Magufuli kuteka watu, hawa watu walitegemea nini?

Walitegemea watatekwa wengine tu, wao hawataguswa?
 
Aende front nyumbani kwa kikwete aache salam za mandishi kisha afanye action ndipo watamwachia polepole
 
Sasa komaa na ya sasa ambapo kuna ushetani mwingi wa Haji omary kheri Maliyamungu wa Tanzania kwa mama iddy Amin Dada wa Zanzibar, wanateka wanaua watu kama sisimizi
 


We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......

Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?


Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?


Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…