Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Baada ya kimya kirefu kidogo, kaka wa balozi Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole atokea na kuzungumza na umma wa watanzania

yasikilize aliyosema leo ikiwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya balozi humphrey polepole

Habari njema: Tanzania mpya imeshakuja na hakuna wa kuizuia kwa namna yoyote ile

mbona ikwara mingi vitendo hakuna weweeeeeee? acha kujilamba lamba mdomo , umekuwa debe tupu muda mrefu sana
 
Back
Top Bottom