Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Unakiri kuangalia video moja tuu ya Pole pole halafu unakuja kutoa hitimisho, sasa hitimisho gani la maana utalitoa wakati hujui hata alichosimamia Humfrey ni nini?


Hata haujuia kuwa aliomba msamaha kwa Watanzania, kwa kushiriki kutengeneza mfumo ambao, umekuja kuwaumiza Watanzania. Uwe unajieleishisha kwanza kabla ya kuongea vitu usivyovijuwa.
Kama alikiri na kuomba msamaha ni jambo jema. Sikutoa hukumu kwake ndiyo maana nikasema nasubiri muda unipe majibu ya maswali yangu yanayomuhusu.
 
Nyie ni nyumbu hao wanapambania mambo yao binafsi Nyie mnaona wanapambania wananchi, yote mabaya mnayoyalamikia leo kwa samia, mentor ni hao hao akina polepole na co
Kumbe kina pole pole na wenzake ndio wameua watu vile kama mende? Kumbe ndio hata maiti wameenda kufukia mana sio kuzika? Kumbe ndio wanateka watu kama burudani ,kumbe ndio wana agenda za kutaka kuleta udini ili ikibuma ionekane ni udini na sio kudai Haki?
Aisee basi Pole Pole na wenzake watu wabaya sana hawastahili
 
Kanali ni jina lake la kwanza au cheo cha kijeshi? Yuko kikosi gani cha jeshi hapo TZ
 
Napinga mauaji, napinga utekaji, bila kujali anayeuawa au kutekwa ni nani.

Ila huyu jamaa analialia sana bila strategy kama kaka yake.

Magufuli na Polepole wameteka na kuua watu kibao, lakini hatujawahi kumsikia akiusema utawala huo mpaka mdogo wake katekwa.

Polepole alivyokuwa anafanya kazi na Magufuli kuteka watu, hawa watu walitegemea nini?

Walitegemea watatekwa wengine tu, wao hawataguswa?
Enzi zile walijitoa ufahamu.
 
Hata haujuia kuwa aliomba msamaha kwa Watanzania, kwa kushiriki kutengeneza mfumo ambao, umekuja kuwaumiza Watanzania. Uwe unajieleishisha kwanza kabla ya kuongea vitu usivyovijuwa.
Bahati mbaya Sana ndugu Polepole kawa muhanga wa mfumo alioshiriki kuusuka.

Mungu amsamehe ..
 
Kumbe umejawa na bangi akilini, halafu unataka nipoteze muda na chizi kama wewe?
Matusi hua hatutumii kuthibitisha hoja. Ila wewe ni mpumbavu kwahiyo huwezi kunielewa
 
Matusi hua hatutumii kuthibitisha hoja. Ila wewe ni mpumbavu kwahiyo huwezi kunielewa
Mtu kama wewe unazo hoja, hata kuandika tu sentensi iliyo nyooka kwako ni shida!
 
We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......

Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?


Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?


Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU

Umuelewe vizuri sana. Ni mtu mmoja mwenye wivu, udini, ukanda, upumbavu mwingi japo anajifanya sio mdini.
 
Unaweza kutuambia ni nani huyo aliyekuwa MTU WA POLEPOLE?,mwendelezo wa kufanya HISIA zako ndio UKWELI

Jambo lingine ni kwamba, punguza kutulaumu wananchi kama sisi tusioelewa mazingaombwe ya siasa ili hali wewe unayeyaelewa hayo mazingaombwe ya siasa huna lolote la maana ulilofanya kutusaidia kuelewa ama kututoa kwenye hali hiyo zaidi yaAKUJITAPA KUJUA na kuwa MKANDIAJI tu kwenye mitandao
Polepole katika mafunzo yake yote hakuona hitilafu katika mfumo wa ccm bali aliona mapungufu ya Samia na genge lake!! Je ingetokea ccm ingemchagua mgombea mwingine tofauti na Samia, unadhani Pole pole angemuunga mkono?
Malalamiko ya Polepole ni kwamba utaratibu wa kumpata mgombea wa urans wa chama chao ulikiukwa hivyo alitaka ingewezekana ungerudiwa ambapo Samia angeshindanishwa na watia nia wengine kufuatana na katiba ya chama chao!
 
Kumuachia mungu siyo mkakati, aje na solution sasa aache hizi drama za bongo movie.

Anafanya nini kumuokoa Polepole na anafanya nini kuwaondoa ccm madarakani.

Tuna muheshimu lakini hii venting haisaidii kabisa.
 
Polepole katika mafunzo yake yote hakuona hitilafu katika mfumo wa ccm bali aliona mapungufu ya Samia na genge lake!! Je ingetokea ccm ingemchagua mgombea mwingine tofauti na Samia, unadhani Pole pole angemuunga mkono?
Malalamiko ya Polepole ni kwamba utaratibu wa kumpata mgombea wa urans wa chama chao ulikiukwa hivyo alitaka ingewezekana ungerudiwa ambapo Samia angeshindanishwa na watia nia wengine kufuatana na katiba ya chama chao!


Kwa mfumo wa CCM ulivyo,pale juu akiwa mtu sahihi,,Chama na Nchi vyote vinakwenda vizuri kabisa,na akiwa mtu kama tuliye naye kwa sasa,basi mambo ndio yanakuwa kama unavyoyaona leo hii,unashindwaje kuona hilo?
 
Ni 'Iliyonyooka' siyo 'iliyo nyooka'
Bado hilo halikupi sifa ya kuwa na akili ya kujadili jambo kwa hoja zinazo eleweka.
Niliyosema mwanzo kabisa kukuhusu wewe yanabaki vilevile.
 
Bado hilo halikupi sifa ya kuwa na akili ya kujadili jambo kwa hoja zinazo eleweka.
Niliyosema mwanzo kabisa kukuhusu wewe yanabaki vilevile.
Mimi nilisema wewe ni mpumbavu. Ukadhihirisha kwa kitu cha pili ulichoandika
 
Mimi nilisema wewe ni mpumbavu. Ukadhihirisha kwa kitu cha pili ulichoandika
Nilikueleza huko mwanzo kwamba bangii zimekufanya kuwa chizi, ndiyo sababu huna hoja za kujibiwa.
 
Back
Top Bottom