Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Maccm wana Haji omary kheri a k a Maliyamungu wa Zanzibar ni mtu hatari sana anaua watu Kama inzi hana huruma kabsa, Rais mwinyi alimkataa kahamia kwa Mkoloni Kaburu Mama Iddy Amin anawaua watanganyika sasa na kuendelea
 
We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......

Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?


Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?


Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU
Kilichopelekea Utawala haramu wa Mkoloni Kaburu toka Zanzibar kuchukiwa na watanganyika ni uonevu manyanyaso kwa chadema kuwabambikia kesi za uongo, kuwateka kuwaua na ufisadi mikataba mibovu Dp world, kukopa kopa pesa nyingi nje kisha kuja kuzifuja ovyo pasipo kuleta maendeleo
 
We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......

Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?


Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?


Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU
Ni jambo jema kujirudi ila ni kwa kiasi gani Polepole alichukua wajibu kwa matukio yaliyotokea kipindi cha Magufuli au hata kukiri tu kuwa mambo hayo pia yalifanyika kipindi hicho?
 
Washaua wengi, mioyo yao ni kama ishatekwa na giza la umauti….kitu pekee wanachokosa usingiz nacho, ni uhai wao kwa waliofanya au kwenda Jela iwe ndani ya Tanzania au ICC…kama Kesi ikianza ICC, si ajabu mama wakamuwahi wahuni, maana kwa uwezo wake wa akili, akisimama kizimbani, lazima atachomesha timu nzima, kuanzia mtoa ushauli mpaka msimamizi wa utekelezaji…ila hata wakimuwahi haitasaidia

Napinga mauaji, napinga utekaji, bila kujali anayeuawa au kutekwa ni nani.

Ila huyu jamaa analialia sana bila strategy kama kaka yake.

Magufuli na Polepole wameteka na kuua watu kibao, lakini hatujawahi kumsikia akiusema utawala huo mpaka mdogo wake katekwa.

Polepole alivyokuwa anafanya kazi na Magufuli kuteka watu, hawa watu walitegemea nini?

Walitegemea watatekwa wengine tu, wao hawataguswa?
Polepole huwa nasita kumuongelea hata kabla hajatekwa. Hata zile video zake baada ya kujiuzulu Ubalozi, nimekaa kuangalia mojawapo kwa mara ya kwanza baada ya kupotea.

Leo nimekaa kumsikiliza huyu kaka yake kwa mara ya kwanza, kuna kitu bado najiuliza.

Toka Day 1, kuna jambo naona halipo sawa kumuhusu huyu Polepole. Muda pekee ndiyo utanipa jibu.
 
Muungano Ufe kila mmoja akae kwake Tanganyika ipewe Uhuru wake
 
Nyie ni nyumbu hao wanapambania mambo yao binafsi Nyie mnaona wanapambania wananchi, yote mabaya mnayoyalamikia leo kwa samia, mentor ni hao hao akina polepole na co
Nyumbu ni maccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama mashetani wa ccm, umejitoa fahamu baada ya kurukwa na Akili zote umebakia na kichwa bila ubongo unaendelea kuwateka kuwaua watu na kuwabambikia kesi za uongo, Umesahau kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, walikuwepo madikiteta hatari Duniani wapo wapi sasa , iddy Amin dada, mabutu, Bokasa, Rungu, Chiluba, Albashiri, Rungu, na wenzao
 
Sasa komaa na ya sasa ambapo kuna ushetani mwingi wa Haji omary kheri Maliyamungu wa Tanzania kwa mama iddy Amin Dada wa Zanzibar, wanateka wanaua watu kama sisimizi
Nani akomae? Kukomaa ni nini? Unajuaje sijakomaa?

Mimi nakwambia hugu hananstrategy analialia kama mdogo wake tu.

Na asipoangakia nanyeye anaweza kudakwa na kupotezwa.

Hilo hakimaanishi sijakomaa na ya sasa.

Si kila siku namkomalia Samia hapa, huoni?
 
We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......

Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?


Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?


Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU

Wewe pamoja na Watanzania wengi wa aina yako mnaofuata mambo kichwakichwa bila kuelewa mambo ndio wajinga, hamuijui dunia.

Polepole alikuwa anapambana na Samia, hakupambana na washenzi.

Samia angestaafu halafu akaja mshenzi wa upande wa Polepole usingemsikia Polepole kulalamika.

Huelewi wapi?
 
Polepole huwa nasita kumuongelea hata kabla hajatekwa. Hata zile video zake baada ya kujiuzulu Ubalozi, nimekaa kuangalia mojawapo kwa mara ya kwanza baada ya kupotea.

Leo nimekaa kumsikiliza huyu kaka yake kwa mara ya kwanza, kuna kitu bado najiuliza.

Toka Day 1, kuna jambo naona halipo sawa kumuhusu huyu Polepole. Muda pekee ndiyo utanipa jibu.
Sasa hapa ndiyo umeandika nini?
 
SI Ali kiri
Napinga mauaji, napinga utekaji, bila kujali anayeuawa au kutekwa ni nani.

Ila huyu jamaa analialia sana bila strategy kama kaka yake.

Magufuli na Polepole wameteka na kuua watu kibao, lakini hatujawahi kumsikia akiusema utawala huo mpaka mdogo wake katekwa.

Polepole alivyokuwa anafanya kazi na Magufuli kuteka watu, hawa watu walitegemea nini?

Walitegemea watatekwa wengine tu, wao hawataguswa?
SI Ali kiri akaomba msamaha mkuu, unaishi dunia ya wapi
 
Wewe pamoja na Watanzania wengi wa aina yako mnaofuata mambo kichwakichwa bila kuelewa mambo ndio wajinga, hamuijui dunia.

Polepole alikuwa anapambana na Samia, hakupambana na washenzi.

Samia angestaafu halafu akaja mshenzi wa upande wa Polepole usingemsikia Polepole kulalamika.

Huelewi wapi?


Unaongea kwa kutumia HISIA zako tu na si vinginevyo, unathibitisha vipi hayo uliyoyasema hapa?
 
Aliomba msamaha wapi? Aliomba msamaha kwa kitu gani?

Unajua kuomba msamaha ni nini wewe?

Weka maneno yake alivyoomba msamaha hapa nikuoneshe jinsi usivyoijua dunia.
Vijana hawana mpango wa kutumia akili kufikiri,
Style ya Polepole kujisafisha kwa kukiri kuhusika kwenye kuunganisha mifumo, akisema ilikuwa ni 'kwa nia nzuri' watu wanaona pale ndo aliomba msamaha!

Ingawa binafsi namuombea aendelee kuwa mzima, ila ni wazi kabisa kuwa, kile alichokuwa anaongea kuhusu kuwashtaki wahuni, na yeye mahakama hiyo hiyo ingeweza kumtia hatiani.
 
Mbona umepanic umelewa?
Hapana sojapanic hapa naandika kawaida tu ila kama wewe ni sisimizi, mimi hata nikipiga chafya kwa reflex action tu, wewe utaona kimbunga.

Hujajibu swali.

Weka maneno ya Polepole akiomba msamaha hapa.
 
Back
Top Bottom