Kaka wa Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole azungumza mazito zaidi ikiwa leo ni kumbukizi ya mdogo wake

Unaongea kwa kutumia HISIA zako tu na si vinginevyo, unathibitisha vipi hayo uliyoyasema hapa?
Yupo sahihi mkuu, hoja za msingi za Polepole zilikuwa ni kuhusu mgombea urais wa CCM na mchakato wa kumpata.

Baadae kutokana na aina ya mashabiki waliokuwa wanamfatilia ndo akaanza kuchomeka na mambo mengine kama kutaka Tundu Lissu aachiwe pamoja na maridhiano
 
Wewe buinui dunia.

First things first, Polepole hakuikataa CCM na udhalimu wake wote, wizi wake wa kura, na ushenzi mwingine mwingi ambao yeyealiishiriki pia.

Polepole alijikita kumkataa Samia.

Maana yake, angekuja muhuni mwingine tofauti na Samia, ambaye Polepole angemtaka, Polepole asingekuwa na shida naye.

Polepole hajawahi kuikataa CCM.

Bisha.
 
Vijana hawana mpango wa kutumia akili kufikiri,
Style ya Polepole kujisafisha kwa kukiri kuhusika kwenye kuunganisha mifumo, akisema ilikuwa ni 'kwa nia nzuri' watu wanaona pale ndo aliomba msamaha!

Ingawa binafsi namuombea aendelee kuwa mzima, ila ni wazi kabisa kuwa, kile alichokuwa anaongea kuhusu kuwashtaki wahuni, na yeye mahakama hiyo hiyo ingeweza kumtia hatiani.
Polepole hakuwa na shida na wahuni.

Alikiwa na shida na wahuni ambao hawakutoka kwenye team yake.

Kwa nini Watanzania wengi wanakuwa wagunu sana kuelewa jambo hili jepesi sana?
 
Mzee mbona unakuwa mbishi, anachokuambia jamaa ni kweli, Polepole alitamka asamehe kwa mabaya aliyowahi kufanya nyuma sasa sijui unachobisha ni nini
Hapana sojapanic hapa naandika kawaida tu ila kama wewe ni sisimizi, mimi hata nikipiga chafya kwa reflex action tu, wewe utaona kimbunga.

Hujajibu swali.

Weka maneno ya Polepole akiomba msamaha hapa.
 
Wewe buinui dunia.

First things first, Polepole hakuikataa CCM na udhalimu wake wote, wizi wake wa kura, na ushenzi mwingine mwingi ambao yeyealiishiriki pia.

Polepole alijikita kumkataa Samia.

Maana yake, angekuja muhuni mwingine tofauti na Samia, ambaye Polepole angemtaka, Polepole asingekuwa na shida naye.

Polepole hajawahi kuikataa CCM.

Bisha.

Vp kuhusu alipodokezea juu ya wizi wa kura unaofanywa na CCM kupitia mifumo ya NIDA na tume ya uchaguzi?

Kwa Tanzania leo hii kuwa na viongozi wasiofaa,imekufanya wewe uikane Tanzani ili uweze kupambana nao?......pamoja na kwamba sijawahi kuipenda CCM wala sitarajii kuipenda maishani mwangu lakini najua fika wapo watu wazuri ndani ya hiko Chama sema tu hawana jinsi kutokana na mfumo mzima wa Nchi ulivyo
 
Taarifa njema ni kuwa Polepole bado yu hai,

Kwa mujibu wa Kanali, mdogo wake anaendelea kushikiliwa kwa amri ya mzee wa Msoga
I have always believed and said from time immemorial, the number one enemy of this country is none other than Jakaya Mrisho Kikwete!!
Huyu bwana toka hayati mwalimu Nyerere alipouanika unafiki na fitina zake kwa General Sayore alipokuwa Monduli ; ikawa ndio sababu ya yeye kutoroka kambini, akili yeke imekuwa ya chuki na visasi.
 
Mzee mbona unakuwa mbishi, anachokuambia jamaa ni kweli, Polepole alitamka asamehe kwa mabaya aliyowahi kufanya nyuma sasa sijui unachobisha ni nini
Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unaelewa msamaha ni nini?

Unaelewa kuomba msamaha kwa mabaya yote uliyoyafanya bila kuyataja mabaya hayo ni yapi kwa detail za kusaidia uwajibikaji wa kimfumo si kuomba msamaha, ni danganya toto tu?

Polepole alitaja detail gani za muhimu katika huo msamaha wake?

Hivi ninaposema kuwa Polepole hakuwa akipingana na udhalimu, alikuwa napingana na team Samia tu, unaelewa?
 
Yupo sahihi mkuu, hoja za msingi za Polepole zilikuwa ni kuhusu mgombea urais wa CCM na mchakato wa kumpata.

Baadae kutokana na aina ya mashabiki waliokuwa wanamfatilia ndo akaanza kuchomeka na mambo mengine kama kutaka Tundu Lissu aachiwe pamoja na maridhiano

Unaendeleza kuongea mambo kwa HISIA na vinginevyo, wewe ulitaka Polepole aanze kwa kuzungumzia HOJA zipi ili ikupendeze wewe?

Kwa maana kwa kadri ninavyokumbuka,kwenye barua yake ya kung'atuka alisema sababu moja kuu iliyopelekea kufanya hivyo ilikuwa ni kupingana na yaliyokuwa yakofanywa na serikali
 
Vp kuhusu alipodokezea juu ya wizi wa kura unaofanywa na CCM kupitia mifumo ya NIDA na tume ya uchaguzi?

Kwa Tanzania leo hii kuwa na viongozi wasiofaa,imekufanya wewe uikane Tanzani ili uweze kupambana nao?......pamoja na kwamba sijawahi kuipenda CCM wala sitarajii kuipenda maishani mwangu lakini najua fika wapo watu wazuri ndani ya hiko Chama sema tu hawana jinsi kutokana na mfumo mzima wa Nchi ulivyo
Polepoke hakupingana na udhalinu wa CCM.

Alipingana na Samia. Alikuwa anataka mtu wake awe rais.

Ndiyo maana alisisitiza sana hoja ya kumwaga oil, kuliko hoja za mabadiliko ya msingi.

Maana yake angepatikana mtu mwingine wa CCM ambaye ni tofauti na Samia, aliyekubalika na Polepole, Polepole angeendeleza udhalimu wa CCM bila kelele.

Huelewi wapi?

Yani Tanzania kuna matatizo ya muda mrefu sana kwa sababu wananchi kama nyie ambao hamuelewi mazingaonbwe ya siasa mpo wengi sana.
 
Unaweza kutuambia ni nani huyo aliyekuwa MTU WA POLEPOLE?,mwendelezo wa kufanya HISIA zako ndio UKWELI

Jambo lingine ni kwamba, punguza kutulaumu wananchi kama sisi tusioelewa mazingaombwe ya siasa ili hali wewe unayeyaelewa hayo mazingaombwe ya siasa huna lolote la maana ulilofanya kutusaidia kuelewa ama kututoa kwenye hali hiyo zaidi yaAKUJITAPA KUJUA na kuwa MKANDIAJI tu kwenye mitandao
 
I have always believed and said from time immemorial, the number one enemy of this country is none other than Jakaya Mrisho Kikwete!!
Huyu bwana toka hayati mwalimu Nyerere alipouanika unafiki na fitina zake kwa General Sayore alipokuwa Monduli ; ikawa ndio sababu ya yeye kutoroka kambini, akili yeke imekuwa ya chuki na visasi.
True,
Alikuwa anafanya mambo kwa kificho, ila sasa mambo yanazidi kuwa hadharani..

View: https://youtube.com/watch?v=F6fI9bgdffU&si=ZHnu0YdsEAOV64Wa
 
Kwa yanayoendelea I can't blame waandishi wa habari wa ndani kukaa kimya. Hakuna habari kubwa kuzidi uhai wako. Familia yako inabaki kuomboleza, wananchi wanakusahau faster kabla jogoo hajawika.
 
Unaweza kutuambia ni nani huyo aliyekuwa MTU WA POLEPOLE?,mwendelezo wa kufanya HISIA zako ndio UKWELI

Jambo lingine ni kwamba, punguza kutulaumu wananchi kama sisi tusioelewa mazingaombwe ya siasa ili hali wewe unayeyaelewa hayo mazingaombwe ya siasa huna lolote la maana ulilofanya kutusaidia kuelewa ama kututoa kwenye hali hiyo zaidi yaAKUJITAPA KUJUA na kuwa MKANDIAJI tu kwenye mitandao
Mkuu,

Siku zote hizo hukumsikia Polepole akisema hamtaki Samia, Samia akae pembeni CCM imwage oil ?

Hujamsikia Polepole akisema yeye ni CCM bado?

Huelewi bado kuwa Polepole hakuwa anamtaka Samia, alimtaka mtu mwingine?

Mpaka hapo huwezi kuona hili?

Unasema mimi sina lolote ninalofanya kukuelimisha wewe, kwani hapa unafikiri nafanya nini?
 
Vijana hawana mpango wa kutumia akili kufikiri,
Style ya Polepole kujisafisha kwa kukiri kuhusika kwenye kuunganisha mifumo, akisema ilikuwa ni 'kwa nia nzuri' watu wanaona pale ndo aliomba msamaha!

Ingawa binafsi namuombea aendelee kuwa mzima, ila ni wazi kabisa kuwa, kile alichokuwa anaongea kuhusu kuwashtaki wahuni, na yeye mahakama hiyo hiyo ingeweza kumtia hatiani.
Hajatekwa yule, ukiangalia ule mchirizi wa matone ya damu eneo analodaiwa kutekwa kuna mushkeli
Matone ya damu Yana size inayolingana, unajiuliza alibebwa vipi pale maana mchirizi upo karibu sana na ukuta
Aliigiza kutekwa Ili kuzidisha hasira raia
 
Raia walikuwa na hasira gani?
 
Polepole huwa nasita kumuongelea hata kabla hajatekwa. Hata zile video zake baada ya kujiuzulu Ubalozi, nimekaa kuangalia mojawapo kwa mara ya kwanza baada ya kupotea.

Leo nimekaa kumsikiliza huyu kaka yake kwa mara ya kwanza, kuna kitu bado najiuliza.

Toka Day 1, kuna jambo naona halipo sawa kumuhusu huyu Polepole. Muda pekee ndiyo utanipa jibu.
Unakiri kuangalia video moja tuu ya Pole pole halafu unakuja kutoa hitimisho, sasa hitimisho gani la maana utalitoa wakati hujui hata alichosimamia Humfrey ni nini.
Ni jambo jema kujirudi ila ni kwa kiasi gani Polepole alichukua wajibu kwa matukio yaliyotokea kipindi cha Magufuli au hata kukiri tu kuwa mambo hayo pia yalifanyika kipindi hicho?

Hata haujui kuwa aliomba msamaha kwa Watanzania, kwa kushiriki kutengeneza mfumo ambao, umekuja kuwaumiza Watanzania? Uwe unajielimisha kwanza kabla ya kuongea vitu usivyovijuwa.
 
Baada ya kimya kirefu kidogo, kaka wa balozi Humphrey Polepole, Kanali Augustino Polepole atokea na kuzungumza na umma wa watanzania

yasikilize aliyosema leo ikiwa ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya balozi humphrey polepole

Habari njema: Tanzania mpya imeshakuja na hakuna wa kuizuia kwa namna yoyote ile

Huyu mbona hatekwi??? Tesha alipotelea wapi??
 
Back
Top Bottom