Kubishana na mke wa dully mm siwezi acha shobo mm sifanyagi huo ujingaUnakili finyu sana,jisemee mwenyewe wacha kuunganisha na watu wengine
Kilichopelekea Utawala haramu wa Mkoloni Kaburu toka Zanzibar kuchukiwa na watanganyika ni uonevu manyanyaso kwa chadema kuwabambikia kesi za uongo, kuwateka kuwaua na ufisadi mikataba mibovu Dp world, kukopa kopa pesa nyingi nje kisha kuja kuzifuja ovyo pasipo kuleta maendeleoWe jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......
Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?
Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?
Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU
Ni jambo jema kujirudi ila ni kwa kiasi gani Polepole alichukua wajibu kwa matukio yaliyotokea kipindi cha Magufuli au hata kukiri tu kuwa mambo hayo pia yalifanyika kipindi hicho?We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......
Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?
Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?
Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU
Washaua wengi, mioyo yao ni kama ishatekwa na giza la umauti….kitu pekee wanachokosa usingiz nacho, ni uhai wao kwa waliofanya au kwenda Jela iwe ndani ya Tanzania au ICC…kama Kesi ikianza ICC, si ajabu mama wakamuwahi wahuni, maana kwa uwezo wake wa akili, akisimama kizimbani, lazima atachomesha timu nzima, kuanzia mtoa ushauli mpaka msimamizi wa utekelezaji…ila hata wakimuwahi haitasaidia
Polepole huwa nasita kumuongelea hata kabla hajatekwa. Hata zile video zake baada ya kujiuzulu Ubalozi, nimekaa kuangalia mojawapo kwa mara ya kwanza baada ya kupotea.Napinga mauaji, napinga utekaji, bila kujali anayeuawa au kutekwa ni nani.
Ila huyu jamaa analialia sana bila strategy kama kaka yake.
Magufuli na Polepole wameteka na kuua watu kibao, lakini hatujawahi kumsikia akiusema utawala huo mpaka mdogo wake katekwa.
Polepole alivyokuwa anafanya kazi na Magufuli kuteka watu, hawa watu walitegemea nini?
Walitegemea watatekwa wengine tu, wao hawataguswa?
Nyumbu ni maccm hata mbugani nyumbu ni wengi kama mashetani wa ccm, umejitoa fahamu baada ya kurukwa na Akili zote umebakia na kichwa bila ubongo unaendelea kuwateka kuwaua watu na kuwabambikia kesi za uongo, Umesahau kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho wake na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa, walikuwepo madikiteta hatari Duniani wapo wapi sasa , iddy Amin dada, mabutu, Bokasa, Rungu, Chiluba, Albashiri, Rungu, na wenzaoNyie ni nyumbu hao wanapambania mambo yao binafsi Nyie mnaona wanapambania wananchi, yote mabaya mnayoyalamikia leo kwa samia, mentor ni hao hao akina polepole na co
Nani akomae? Kukomaa ni nini? Unajuaje sijakomaa?Sasa komaa na ya sasa ambapo kuna ushetani mwingi wa Haji omary kheri Maliyamungu wa Tanzania kwa mama iddy Amin Dada wa Zanzibar, wanateka wanaua watu kama sisimizi
We jamaq sometimes unaongea PUMBA sana......
Nieleweshe nielewe,kwa nafasi aliyokuwa nayo Polepole, angeamua kukaa tu kimya kama walicyokaakimya wengine wengi ambao hawana chochote cha kupoteza,ingemuathiri ama kumpotetezea nini?
Yeye kuamua kujivua nafasi aliyokuwa nayo na kuamua kupambana na huu utawala wa washenzi ,na kwa kuzingatia mazingira yaliyopo kwa sasa Nchini kwako inakupa picha gani?
Ninqchokiona ni kuwa,Maandishi yako yamejaa viashiria vya WIVU wa KIPUMBAVU
Sasa hapa ndiyo umeandika nini?Polepole huwa nasita kumuongelea hata kabla hajatekwa. Hata zile video zake baada ya kujiuzulu Ubalozi, nimekaa kuangalia mojawapo kwa mara ya kwanza baada ya kupotea.
Leo nimekaa kumsikiliza huyu kaka yake kwa mara ya kwanza, kuna kitu bado najiuliza.
Toka Day 1, kuna jambo naona halipo sawa kumuhusu huyu Polepole. Muda pekee ndiyo utanipa jibu.
Ata sijui. Achana na hiyo post yangu. Nitakuja kuirudia siku moja.Sasa hapa ndiyo uneandika nini?
SI Ali kiri akaomba msamaha mkuu, unaishi dunia ya wapiNapinga mauaji, napinga utekaji, bila kujali anayeuawa au kutekwa ni nani.
Ila huyu jamaa analialia sana bila strategy kama kaka yake.
Magufuli na Polepole wameteka na kuua watu kibao, lakini hatujawahi kumsikia akiusema utawala huo mpaka mdogo wake katekwa.
Polepole alivyokuwa anafanya kazi na Magufuli kuteka watu, hawa watu walitegemea nini?
Walitegemea watatekwa wengine tu, wao hawataguswa?
Aliomba msamaha wapi? Aliomba msamaha kwa kitu gani?SI Ali kiri
SI Ali kiri akaomba msamaha mkuu, unaishi dunia ya wapi
Mbona umepanic umelewa?Aliomba msamaha wapi? Aliomba msamaha kwa kitu gani?
Unajua kuomba msamaha ni nini wewe?
Weka maneno yake alivyoomba msamaha hapa nikuoneshe jinsi usivyoijua dunia.
Mbona umepanic umelewaAliomba msamaha wapi? Aliomba msamaha kwa kitu gani?
Unajua kuomba msamaha ni nini wewe?
Weka maneno yake alivyoomba msamaha hapa nikuoneshe jinsi usivyoijua dunia.
Wewe pamoja na Watanzania wengi wa aina yako mnaofuata mambo kichwakichwa bila kuelewa mambo ndio wajinga, hamuijui dunia.
Polepole alikuwa anapambana na Samia, hakupambana na washenzi.
Samia angestaafu halafu akaja mshenzi wa upande wa Polepole usingemsikia Polepole kulalamika.
Huelewi wapi?
Vijana hawana mpango wa kutumia akili kufikiri,Aliomba msamaha wapi? Aliomba msamaha kwa kitu gani?
Unajua kuomba msamaha ni nini wewe?
Weka maneno yake alivyoomba msamaha hapa nikuoneshe jinsi usivyoijua dunia.
Hapana sojapanic hapa naandika kawaida tu ila kama wewe ni sisimizi, mimi hata nikipiga chafya kwa reflex action tu, wewe utaona kimbunga.Mbona umepanic umelewa?