PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji106]RC kazi yake kuuza sura tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani huyu Dogo enzi za utumwa angeuzwa bei kubwa sana!
Kusema maneno yote hayo ni kutokana hizo picha au kuna mengine mkuu?Sasa makonda hako kaofisi ameona kafika kuzimu.
chz kweli
Unafaa kuitumikia CIANadhani hii move kaianda mange ili kulinda mali za familia hasa btar 26/04 inapokaribia...kumbuka serikali inaweza kufanya lolote kuikomoa familia
Hahahaha! Hili gazeti nimezisoma heading zake zote hapo nkalitafakariiiiiii... halifai hata kutawadhia. Yaani kazi yake ni kuisifia gvt hata kwenye upuuzi, kuwasifu wanaomtetea malaika mkuu, na kuwaponda maadui wa malaika mkuu! Wasomaji akina Bombay, ISIS, Jingalao, Magonjwa mtambuka, Rohombaya, etc...
Haitomsaidia,Akitoka huko aende gym
HATA MIMI NAONA SIYO KAWAIDA NAAONA KAMA OBESITY IMEHARIBU BRAIN CELLS. Kwa uzito huo he is good for nothingMwanaume ukiachia mwili hivyo huwa Kuna tatizo mahali
ni zwazwa jamaa... anaboa kuchafua watu bila sababu.Kusema maneno yote hayo ni kutokana hizo picha au kuna mengine mkuu?
Halafu kwa maelezo yako tungeona RC wa Dar angepost kwenye akaunti yake binafsi ningeshangaa kabisa ila hizo picha zipo kwa huyo dogo tu.