Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

Kaka wa Mange Kimambi aenda tena ofisini kwa RC Makonda

Halafu jana nilijaribu kupeleleza maisha ya mange ughaibuni
IMG_0928.JPG
IMG_0930.JPG
IMG_0929.JPG
 
Mwanaume nikiwa na mwili kama huo sioni sababu yakuishi tena
 
Ndugu ni ndugu asikudanganye mtu. Hapo kuna mtu anatumika kisaikolojia bashite mjinga sana yeye anafikiri anamkomoa Mange in fact hii ni movie mpya. Your days are numbered
 
Sasa makonda hako kaofisi ameona kafika kuzimu.

chz kweli
 
Sasa makonda hako kaofisi ameona kafika kuzimu.

chz kweli
Kusema maneno yote hayo ni kutokana hizo picha au kuna mengine mkuu?

Halafu kwa maelezo yako tungeona RC wa Dar angepost kwenye akaunti yake binafsi ningeshangaa kabisa ila hizo picha zipo kwa huyo dogo tu.
 
Hahahaha! Hili gazeti nimezisoma heading zake zote hapo nkalitafakariiiiiii... halifai hata kutawadhia. Yaani kazi yake ni kuisifia gvt hata kwenye upuuzi, kuwasifu wanaomtetea malaika mkuu, na kuwaponda maadui wa malaika mkuu! Wasomaji akina Bombay, ISIS, Jingalao, Magonjwa mtambuka, Rohombaya, etc...

Nyani Ngabu na Gentamycine sidhani na sitaki kuamini kama wanasoma huu upumbavu.
 
sijui!
lla inawezekana watawala na Mange wanajua mchezo wanaoucheza kwa watanzania siwezi kuwaamini wanasiasa hata siku moja!
 
Kusema maneno yote hayo ni kutokana hizo picha au kuna mengine mkuu?

Halafu kwa maelezo yako tungeona RC wa Dar angepost kwenye akaunti yake binafsi ningeshangaa kabisa ila hizo picha zipo kwa huyo dogo tu.
ni zwazwa jamaa... anaboa kuchafua watu bila sababu.
 
Ndugu ni ndugu asikudanganye mtu. Hapo kuna mtu anatumika kisaikolojia bashite mjinga sana yeye anafikiri anamkomoa Mange in fact hii ni movie mpya. Your days are numbered
Hahaha naona team da mange kasema mnajitekenya[emoji3]
 
Back
Top Bottom