Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Takataka
 
Kaokotwa kizembe sana Rtrd Ambassador ameshindwa kuwa na Bomba?
 
********!
 
Kama ndo hivyo, Watanzania wakubali tu kuwa CCM ni lidude likubwa sana lililoshindikana, na kutoka kwake madarakani ni pale kiama kitakapofika, kama nacho hakipo CCM ni ya milele zote.
 
Kwanini sio Mama yako ndio Mtekaji ?
 
CDF, tafadhali! Fuata ushauri wa Captain Tesha. Huku tunakopelekwa na Wahuni, siko wananchi tunapenda kwenda. Turudisheni kwenye nchi yetu tafadhali Afande CDF.
 
Harafu yule makende butiku, akasema nchi Ina Amani, tuilinde, tupotezee alichosema Captain Tesha.
 
CDF, tafadhali! Fuata ushauri wa Captain Tesha. Huku tunakopelekwa na Wahuni, siko wananchi tunapenda kwenda. Turudisheni kwenye nchi yetu tafadhali Afande CDF.
Au nae ni walewale🥹
 
MamaSamia2025 hizi ndio akili zako??
 
Yote tumkabidhi tu mrembo vale Nafaka ni yeye tu ndie amebakia mwenye uwezo wa kuikomboa nchi.



adriz The Consigliere Mpetde babukijana
 
Duuh.

Hii nchi ilipofika ni zaidi ya vita.
Ndo maana nimekomaa zangu mtoni nikitawadha rindaz za vikongwe. Nikimaliza shift yangu naingia supermarket chukua makopo kadhaa za larger na sigara kama nimeishiwa faster ghetto. Kama kuna uefa na laliga namfuatilia dogo Yamal. Piga msuba wangu kabla ya kulala yani unafeel dunia ni yako. Simple peaceful life. Japo siko kwenye ndoa watoto ni nao. Kuna haja gani ya kusumbuka maamae.

adriz The Consigliere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…