The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Acha iteketee tu bora kutandaza miti Tu kuliko kuwapigania vijana useless, helpless na hopeless kama kina adriz The Consigliere ambayo hayana vishen yako yako Yani buree kabisaDogo unawaza kutembeza ukuni tu kwa warembo unaacha nchi ikiteketea.
Hahaha sijapatwa na chochote mkuu. Huyo ndio mkombozi wenu aliyesalia. Mkumbatieni msimuache atawasaidia.Ostadhi Hassan Ali shahidi wa Uislamu umepatwa na nini kwaani?
Ostadhi Hassani Ali shahidi ya Uislamu umepatwa na nini?Hahaha sijapatwa na chochote mkuu. Huyo ndio mkombozi wenu aliyesalia. Mkumbatieni msimuache atawasaidia.
Huyo kunguru siku zake zinakuja anavyotajwatajwa sana ataotewa muda utaongeaMafwele once again... Kwenye 1 n' 2
Huyo kunguru siku zake zinakuja anavyotajwatajwa sana ataotewa muda utaongea
Sawa Mafwele unaua watu kisha unakimbilia kota za Mikocheni pale kwenda kujificha. au sio?Wajinga na wapumbavu tu ndiyo watakuamini maneno yako!!
Umemsikia anataka kurelease nini?Gwajima simsikiii
Cha ajabu wanaotaka kuandamana kupinga haya yanayoendelea ndio wanaambiwa wanachafua amaniMlimuua Magufuli.
Sasa mnamuua Polepole.
Baadae mnakuja kulalamika watu wanachafua amani