Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Mafwele yaan polisi wanajifanya hawamjui Mafwele? Na ametajwa yeye ndie aliemchukua
 
Dah Ina maana SlowSlow alikuwa Dar?
Sikudhani kama anaweza kufanya jambo la hatari hivi!
Dah sijui ka tutamuona tena. SaGod msaidie SlowSlow
 
Wewe ni mnduku kabisa
 
Mafwele na yeye afatiliwe wapi anaishi asirudi nyumbani kwake na familia yake na kama ana watoto na mke tunawasubiria popoye wakiwa...
 
Mimi naamini na naweza kuwa nimekosea, yule mjeda alipachikwa tu yuko kitengo bahati mbaya wakadhani kweli baada ya pale tumeona mzee Bukuku, na leo Polepole. Kweli mwanajeshi unajulikana unatoka kwenye public nataka kupindua serikali? halafu usikamatwe siku hiyo hiyo. Maana kama umejificha huna nguvu jamaa kawatega pabaya.
 
Ukisema umefurahi utapungukiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…