Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

Mnalinganisha uhalisia na movies za hollywood...
we ulitaka afanye nini ?
Apunguze mayowe na kuonesha vitendo.
Kapita kwenye nyumba waliomdetain nduguye akahakiki kuwa yupo pale, why asisuke mpango wa kumuokoa?
Yeye si ni mjeda, bila shaka uwezo wa kuwa na connection ya kupata silaha nzito anao.

Kwakuwa polisi wamekana kuhusika na upotevu wa mdogo wake, basi afanye ambush pale aue yeyote atakaeleta ukinzani kisha atoke na nduguye.
 

Then wamemuadhibu vipi? Ukiniambia yupo kwake mzima. Ndo napoona wote hampo serious mnafanya mzaha sana.
 
psychological torture ni zaidi ya kifo...

Hakuna kitu kama hicho psychology torture ipi hiyo? Muwe serious haya mambo mazito mnayafanyia usanii. Jamaa ni kilaza tu. Alisema Polepole ana chip. Hiyo chip wameshindwa kumtafutia akajulikana alipo?
 
Ok. Kama uliwaonya.
Sasa mimi leo nawapa Rai waachane na huyo tapeli. Hana kitu akijuacho wala awezacho kukifanya.
Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy) ndiyo hayo hayo anayoyafanya kaka yake.

Huyu kaka yake Polepole asipoangalia na yeye watamla kichwa vilevile kama Humpbrey, hawana aibu hawa watu.
 
Hakuna kitu kama hicho psychology torture ipi hiyo? Muwe serious haya mambo mazito mnayafanyia usanii. Jamaa ni kilaza tu. Alisema Polepole ana chip. Hiyo chip wameshindwa kumtafutia akajulikana alipo?
Si amesema alipo, na akasema hata akihamishwa atafahamu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…