100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Ndio maana nasema uhalisia ulivyo si kama movies za hollywood...Apunguze mayowe na kuonesha vitendo.
Kapita kwenye nyumba waliomdetain nduguye akahakiki kuwa yupo pale, why asisuke mpango wa kumuokoa?
Yeye si ni mjeda, bila shaka uwezo wa kuwa na connection ya kupata silaha nzito anao.
Kwakuwa polisi wamekana kuhusika na upotevu wa mdogo wake, basi afanye ambush pale aue yeyote atakaeleta ukinzani kisha atoke na nduguye.
Atamuokoaje eneo lina ulinzi mkali, ndio maana nasema hio si hollywood movie..Ni upumbavu na uongo wa kitoto. Kama anajua alipo kwa nini asimwokoe?
Una chuki binafsi na Polepole..Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy) ndiyo hayo hayo anayoyafanya kaka yake.
Huyu kaka yake Polepole asipoangalia na yeye watamla kichwa vilevile kama Humpbrey, hawana aibu hawa watu.
Kirahisi hivyo...Apunguze mayowe na kuonesha vitendo.
Kapita kwenye nyumba waliomdetain nduguye akahakiki kuwa yupo pale, why asisuke mpango wa kumuokoa?
Yeye si ni mjeda, bila shaka uwezo wa kuwa na connection ya kupata silaha nzito anao.
Kwakuwa polisi wamekana kuhusika na upotevu wa mdogo wake, basi afanye ambush pale aue yeyote atakaeleta ukinzani kisha atoke na nduguye.
Huyo ni wale wale, Kuna kipindi aliwachimba mkwara wa kudedisha mmoja baada ya mwingine Kwa kuwapa masaa 48 ya kumwachia pole poleKama angekuwa amemkamata Mafwele sidhani kama mtu serious anamkamata na kumwachiai. Huo ni uongo wa mchana.
Mtu ambaye amemteka ndugu yako au kamuua. Unamkata unamwachia? Yaani unaona adhabu yake ni hiyo kama ni kweli? Ni uongo. Aanze kuwa serious.
Huyu bwana mdogo anaongea sana vitendo hamna. Wanajeshi hawapaswi kila siku kuongea ongea kama akina Lucas Mwashambwa. Wanapaswa kutenda halafu wanaongea kidogo. Maneno machache vitendo vingi.
Jamaa anatema sana mkwara lakini hatuoni vitendo. Mpaka najiuliza je naye anatumika kufubaza mambo au inakuaje? Mpaka sasa hatujapata majibu kabisa. Halafu anakuja kusema alipita Kigamboni na nyumba aliyopo ndugu yake anaifahamu. Halafu? Akamwacha humo humo?
Hivi yupo serious kweli? Au anafanya ucheshi? Aache ubwege sasa
Hujaweza kujadili hoja, unakuja na viroja.Una chuki binafsi na Polepole..
Hujaweza kujadili hoja, unakuja na viroja.
Hii ni logical fallacy.
Inaitwa ad hominem.
Inatokea pale mtu anayeshindwa kujadili hoja anapomshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja.
Jadili hoja, usimjadili mtoa hoja.
Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ndiyo chuki binafsi yenyewe.
Wewe ndiye una chuki binafsi na mimi.
Nimekuwekea mantiki kuonesha hilo.
Nimesema hivyo una chuki kwa sababu umeandika 'Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy)'Hujaweza kujadili hoja, unakuja na viroja.
Hii ni logical fallacy.
Inaitwa ad hominem.
Inatokea pale mtu anayeshindwa kujadili hoja anapomshambulia mtoa hoja badala ya kujadili hoja.
Jadili hoja, usimjadili mtoa hoja.
Kumjadili mtoa hoja badala ya hoja ndiyo chuki binafsi yenyewe.
Wewe ndiye una chuki binafsi na mimi.
Nimekuwekea mantiki kuonesha hilo.
Kati kati alikuwa kimya ila nahisi kama kamchezo huwa kanachezwa inapoanzaga kesi ya Lissu.Mimi niliwaonya kuwa huyu msanii tu tangu aliposema Polepole ana chip.
Polepole alitaka kuonekana sana bila strategy. Huu ni ukweli.Nimesema hivyo una chuki kwa sababu umeandika 'Makosa aliyoyafanya Humphrey Polepole (kidomodomo cha kutaka kuonekana sana bila strategy)'
Wewe umejuaje nia na lengo lake alitaka kuonekana sana? wewe ni aina ya mtu ambae jirani yako akinunua garikwa ajili ya usafiri utasema 'amenunua gari ili tumuone ana hela' hali ya kuwa mtu kanunua gari kwa sababu ya usafiri.
Wewe mwenyewe unamchafua balozi Polepole.. kitu kinachoonekana una chuki binafsi... wala sijakushambulia bali ni kweli...
Mkuu,Polepole ana chipu wanafuatilia kinachoendelea kuhusu yeye.
Jana ameenda mpaka dirisha la chumba alimo mdogo wake Polepole.
Mafwele jitokeze . Anasahau Fweleboy haonekanagi ovyoovyo.
Alivyo hana akili anaanza kutaja majina ya watu au walinzi alimo huyo dogo Polepole.
Ana kauli nyingi ambazo pengine lengo ni kutikisa malengo na mirengo ya activists wa Bongo.
Wanafalsafa wanaita Ad homineim
Mkuu,
Ile story ya chip unaiamini kweli au unamsanif tu?
Mkuu hebu tutulize vichwa tutafakari. Mtu mwenye makosa ya mauaji na utekaji anakamatwa anapewa adhabu ya kuliwa tigo halafu anaachiwa.... inaingia akilini kweli? Mbona hii inaonekana ni uzushi kabisa? Halafu huyu kaka yake Polepole alishapotoa kwa muda baada ya ule mkwala wake. Aliposikia hii consipiracy huyo... naye akadakia. Nakupa assignment... jaribu kutulia uangalia clups za huyo anayedaiwa ni kaka yake utaona kuna walakini kwenye maongezi yake... sidhani kama ni mzima kichwani. Halafu pia nashindwa kuamini kwamba ni kanali wa jeshi anayehudumu. Pengine alishatolewa jeshini if aliwahi kuwa kanali kweli.Wanasema kaliwa 0713..
Du... wewe udadisi wako umevuka mpaka hadi unamwagika. Udadisi unapozidi kupita kiasi ndiyo unakuja na theories za kufikirika kama hizi. Polepole alijiuzulu na kutekwa kiukweli na uwezekano mkubwa ni kuwa aliuawa. Huyu kaka yake kwangu mimi naona ni kama chizi fulani anayetoa vitisho kwa uchungu wa kuondokewa na ndugu yake. Kuhusu wale wengine waliopotea kama kina Mdude, pia uwezekano ni mkubwa kuwa waliuawa. Kama 29/10 walikuwa wanaingia majumbani kwa watu kuua watu bila kosa lolote ili kuogopesha raia, hao waliokuwa wanapinga serikali waziwazi kama kina Mdude wangepona kweli?Niliwahi kubishana na mtu au watu kuhusu Polepole na huyu kaka yake. Sijawahi kuiamini story ya huyu jamaa wala ya mdogo wake, Humphrey toka alipokuja na story za kujiuzulu ubalozi. Nimekuwa nasita kusema haya maana najua tunaongelea uhai wa mtu, kwa hiyo ni jambo inalobidi uliongelea ukitambua hisia za wengine.
Kuna kitu kilikuwa kinaniambia ni story ya kutengenezwa yenye malengo maalumu na kauli yake ya video iliyotoka leo inathibitisha malengo yale niliyokuwa nayadhania wanayo.
Kiufupi nilichokuwa nadhani kinafanyika ni kumtumia Polepole na kaka yake kutengeneza delaying tactic ya kuwajengea matumaini watanzania kuwa labda waliotekwa wapo hai ili wasichukue hatua huku safisha safisha ikiendelea chini kwa chini. Kitendo cha kumtaja Mdude na wengine kina confirm hilo.
Kuna sababu nyingine pia niliyodhani nayo pia iko valid sana mpaka leo. Nitaielezea wakati mwingine.
Naiamini sana "intuition" yangu na mara nyingi iko sahihi, muda utaongea.
Huu ni uzushi mkuu!Wanasema kaliwa 0713..
Nakubaliana na weweMkuu hebu tutulize vichwa tutafakari. Mtu mwenye makosa ya mauaji na utekaji anakamatwa anapewa adhabu ya kuliwa tigo halafu anaachiwa.... inaingia akilini kweli? Mbona hii inaonekana ni uzushi kabisa? Halafu huyu kaka yake Polepole alishapotoa kwa muda baada ya ule mkwala wake. Aliposikia hii consipiracy huyo... naye akadakia. Nakupa assignment... jaribu kutulia uangalia clups za huyo anayedaiwa ni kaka yake utaona kuna walakini kwenye maongezi yake... sidhani kama ni mzima kichwani. Halafu pia nashindwa kuamini kwamba ni kanali wa jeshi anayehudumu. Pengine alishatolewa jeshini if aliwahi kuwa kanali kweli.