Kaka yake Humphrey Polepole nadhani hayupo Serious ni wa kumpuuza kwa sasa

Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..

Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
 
Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..

Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
Mkuu kutoa taarifa haimaanishi ni clear. Matatizo ya akili yapo madogo sana sana au labda niseme ni mtu mwenye tabia au uelewa wa kiaina. Kniambia nisubiri huyo Augustino kuja kusema Mfwele kafanywa nini..... mh. hilo ndilo nakataa na hata akisema sitaamini. Angekuwa amefanyiwa lolote na ana uhakika kwa nini asiseme? NB Mafwele siyo mtu wa kuongea au kuonekana kwenye hadhara mara kwa mara na mtu anayeishi maisha ya kisirisiri sana.
 
Lakini Polepole alishasema kuna ndugu yake alikuwa akifuatiliwa na gari, Polepole akasema ndugu yake huyo ana mafunzo na awareness ya mazingira, ukija connect dots na hizi harakati za huyu jamaa pengine ndiye mlengwa.

Kingine angekuwa si ndugu yake familia ingemkana.. inaonekana jamaa ana kundi lake wanajadili cha kuongea na mikakati yao...

Pia angekuwa mwepesi wangeshamkamata, angekuwa akili imecheza wangesha mdhibiti...
 

Ndo ambalo hata mimi nimeona hali make sense. Yaani kumlawiti tu wameona inatosha then wamemwacha arudi uraiani aendelee na kazi yake? Hawa ni wapuuzi na hawapo serious kabisa.
 
Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..

Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
Sasa kama anasubiriwa aje aseme. Wewe lini ulimwona mafwele anazungumzia mambo yake mitandaoni? Hata mimi naweza kutuma video kusema muulizeni Mulilo nimemfanya nini. Ajitokeze aseme. Unadhani mulilo kama ana akili timamu atapoteza huo muda na kunipa coverage? Huo ni uzushi. Angekuwa amefanya jambo angesema tu kuwa amefanya 1,2,3. Kwisha. Otherwise ana akili kama za kina kimange tu. Tunataka kuona utekelezaji siyo maneno matupu.
 
Tuendelee kusubiri..
 
Sikatai undugu wake na Polepole (japo nime-doubt). 1. Mimi nasema ni mtu mwenye something wrong with personality, ability au credibility. NB: Miaka mingi kidogo iliyopita alikuja rafiki yangu akanionyesha tangazo la kazi. Hilo tangazo lilikuwa linasema wanahitajika vijana wengi wa kufanya kazi ya ''kuweka barua kwenye bahasha na kufunga tayari kwa kuposti''. Mshahara ulikuwa mkubwa tu. Tangazo lilisema maombi ya kazi yaambatanishwe na sh. elfu kumi kama ada. Nilipatwa wasiwasi, nikamwambia ni kampuni gani itahitaji vijana wengi, zaidi ya 100, iwaajiri eti kazi yao, kila siku, asubuhi mpaka jioni, iwe ni kuweka tu barua kwenye bahasha kwa mshahara ule! Hiyo kampuni inaandika barua nyingi kiasi gani? Nikamwambia hiyo elfu kumi itaenda na maji. Yeye akabisha akasema hiyo elfu kumi ndiyo mtihani wenyewe. Alipigwa! Mfano wangu ni kukuonyesha jinsi mtu ambaye ''ameingizwa kingi'', ni vigumu kujitambua. Tuombe Mungu uzima, tusubiri, muda utaamua.
 
Sawa mkuu, tuendelee kuwa wenye subira...
Muda haujawahi kudanganya..
 
Umeshawahi kusoma SoMo la critical thinking ???
 
Umewasaliti nyumbu wenzako siyo? Umesahau kauli mbiu yenu nyumbu ni ile ukiambiwa jambo lolote na master wako hata kama haliingii akilini huruhusiwi kulitafakari unatakiwa kulikubali na kushangilia mtandaoni?
 
Alisema yakipita hakutakuwa na negotiations tena, hivyo muda wote unaobakia wataanza kuwindana...
Na masaa 24 yalivyopita ndipo kama hivyo anatangaza visasi...
Unastahili kupewa tuzo ya nyumbu asietumia akili yake vizuri
 
Huyo Agustino ndiye alitoa taarifa wa kwanza mitandaoni, sidhani kama ana tatizo la akili kama usemavyo..

Kingine haijulikani Mafwele kafanywa nini maana Agustino hajagusia... ngoja tuendelee kusubiri..
Unaakili ila huna uwezo wa kuzitumia unasubiri mangekimambi atumie zake na wewe ndo uishi na hizo hoja ila kutumia akili zako unaona ni haram ndo maana nawaita nyumbu
 
Mi Mimi mwenyewe naona uwezekano ni mkubwa kuwa kina Mdude hawapo hai sasa jiulize huyu jamaa ana nia gani kusema kuwa wapo hai katika nyumba moja? Yaani ukichaa wake ndiyo umtume kusema watu 10 ukiacha mdogo wake wanaoshukiwa kutekwa wapo hai, mbona kama ni kauli yenye mkakati?

Kumbuka haya ninayowaza siyo kwamba nimeanza kuyawaza leo kama bendera fuata upepo. Maneno yake ya jana yamenishtua maana yamethibitisha kile ambacho nilikuwa nasema na kuwaza toka mwanzo wa hili mbilinge la Polepole.

Sitamaliza maneno. Inawezekana sipo sahihi ndiyo maana nasisitiza, muda utaongea.
 
Umeandika hoja ndefu lakini lkn ni zero plus zero...
 
Ukiwa na strategy huwezi kufeli?

Je? we umefahamu vipi hakuwa na strategy?
Polepole hakuwa na strategy, kutokana na maneno yake, na matendo yake.

Mtu aliye na strategy hakutakiwa kurudi Tanzania na kubwabwaja mitandaoni, akimtaka Samia aachie kugombea urais, out of her own good will.

Is that a strategy?

Strategy gani alikuwa nayo Polepole zaidi ya kupiga kelele mitandaoni?

Iweke hapa tuijue.

Hakuwa na strategy hata ya kujilinda yeye mwenyewe alimtegemea Mungu.

Sasa hiyo ni strategy.

Is hope a strategy?

Hope is not a strategy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…