Hope ni imani sio mkakati, pole pole alizingua sana kwakweli.Polepole hakuwa na strategy, kutokana na maneno yake, na matendo yake.
Mtu aliye na strategy hakutakiwa kurudi Tanzania na kubwabwaja mitandaoni, akimtaka Samia aachie kugombea urais, out of her own good will.
Is that a strategy?
Strategy gani alikuwa nayo Polepole zaidi ya kupiga kelele mitandaoni?
Iweke hapa tuijue.
Hakuwa na strategy hata ya kujilinda yeye mwenyewe alimtegemea Mungu.
Sasa hiyo ni strategy.
Is hope a strategy?
Hope is not a strategy.
Naam.Hope ni imani sio mkakati, pole pole alizingua sana kwakweli.
Mkuu unarukaruka kama popcorn iliyopo kwenye kikaango..Polepole hakuwa na strategy, kutokana na maneno yake, na matendo yake.
Mtu aliye na strategy hakutakiwa kurudi Tanzania na kubwabwaja mitandaoni, akimtaka Samia aachie kugombea urais, out of her own good will.
Is that a strategy?
Strategy gani alikuwa nayo Polepole zaidi ya kupiga kelele mitandaoni?
Iweke hapa tuijue.
Hakuwa na strategy hata ya kujilinda yeye mwenyewe alimtegemea Mungu.
Sasa hiyo ni strategy.
Is hope a strategy?
Hope is not a strategy.
Sawa..Umeandika hoja ndefu lakini lkn ni zero plus zero...
Mkuu unarukaruka kama popcorn iliyopo kwenye kikaango..
Nimekuuliza ukiwa na strategy huwezi kufeli?
Swali la pili umejibu hakuwa na strategy tokana na matendo yake pamoja na maneno... ikiwemo kurudi Tanzania, na kushindwa kujilinda dhidi ya maadui zake...
Ninachofhamu alikuwa na strategy lakini ilifeli, ndio maana nimekuuliza kuwa na strategy ina maana hutofeli...
Hata nchi mbili zinapokuwa vitani, kila mmoja ana strategy yake, lakini mmoja akishindwa vita haimaanishi kwamba hakuwa na strategy...
Kingine yeye kuwa Tanzania pengine ni moja ya strategy yake, labda strategy yake ilihitaji awe ndani ya nchi kwenye safe house flani...
Hivyo haupo sahihi... strategy ya Polepole ilifeli.. na si kwamba hakuwa na strategy..
Moja ya sehemu ndogo katika strategy yake ilikuwa kuwafumbua Watanzania nini kinaendelea kwenye serikali, wizi, ufisadi, utekaji n.k.. hii ni kwa sababu apate support ya wananchi kwanza na kutengeneza ukaribu... ambapo wewe unasema alikuwa anabwabwaja...
Hivyo haupo sahihi..
Eti fwele boy we ni kapambe kake? MNAPENDA kujipendekeza SANA, mkitatuliwa mnakimbilia watzPolepole ana chipu wanafuatilia kinachoendelea kuhusu yeye.
Jana ameenda mpaka dirisha la chumba alimo mdogo wake Polepole.
Mafwele jitokeze . Anasahau Fweleboy haonekanagi ovyoovyo.
Alivyo hana akili anaanza kutaja majina ya watu au walinzi alimo huyo dogo Polepole.
Ana kauli nyingi ambazo pengine lengo ni kutikisa malengo na mirengo ya activists wa Bongo.
Wanafalsafa wanaita Ad homineim
Ukishasikia mtu anaegemea habari za "hivyo kuna uwezekano..." ujue huyo hajengi hoja ila anabeti tu.Umeandika hoja ndefu lakini lkn ni zero plus zero...
KITAMBO SANA jamaa YUPO goodLakini Polepole alishasema kuna ndugu yake alikuwa akifuatiliwa na gari, Polepole akasema ndugu yake huyo ana mafunzo na awareness ya mazingira, ukija connect dots na hizi harakati za huyu jamaa pengine ndiye mlengwa.
Kingine angekuwa si ndugu yake familia ingemkana.. inaonekana jamaa ana kundi lake wanajadili cha kuongea na mikakati yao...
Pia angekuwa mwepesi wangeshamkamata, angekuwa akili imecheza wangesha mdhibiti...
Kama unaelewa unaweza kuwa na strategy na bado ukafeli, basi nadhani tumemaliza hapo...Tuanze kitu cha kwanza.
Ukiwa na strategy unaweza ku fail, lakini hilo halimaanishi Polepole alikuwa na strategy.
Kwa maongezi yake, matendo yake, alikuwa anataka Samia aache kugonbea urais, bila strategy, kwa kuongea tu mitandaoni, akiwa Tanzania.
Polepole hakuwa hata na ulinzi. Wa kujilinda yeye mwenyewe. Aliulizwa kubusu hiki akasema anamtegemea Mungu, na tumeona kadakwa kama ndezi kashindwa kujikinda yeye mwenyewe.
Hakuwa hata na insurance policy ya kusema mkinikamata nina data hizi zipo kwa mtu wa kati mkinikamata au kuniua atazisambaza.
Ndiyo maana kakamatwa.
Angekuwa strategic hivyo, asingekamatwa.
Hiyo strategy unayoisema ni ipi? Ya kupiga kelele kuwafumbua mawazo Watanzania? Ndoyo ingemfanya Samia asogombee urais?
Hiyo ndiyo unaona strategy ya kumtoa Samia asigombee urais?
Unaelewa strategy ni nini?
Hiyo uliyoitaja ndiyo tunasema "Hope is not a strategy", huelewi wapi?
Yani unasema Polepole kwenda kutupa information ambazo tunazijua na nyingine hazina relevance hivyo, ndiyo strategy ya kumtoa Samia?
Inaonekana huelewi strategy ni nini na ndiyo maana hafuelewani.
Hata yule mtu aliyejirusha kutoka ghorofani Morogoro Road, kutoka ghorofa ya 10, akitegemea kuwa akiangukia tanki la maji la Simtank chini atapona, kwa kutoelewa physics ndogo tu, alijiona ana strategy.Kama unaelewa unaweza kuwa na strategy na bado ukafeli, basi nadhani tumemaliza hapo...
Hata Israel ilijipanga kwa strategy kangusha utawala wa Iran, wakatuma makachero, majasusi maelfu kuharibu ADs za Iran, kuua wakubwa wa jeshi, kufanya upelelezi n.k lakini mwisho wa siku walifeli, maana walipigwa hadi wakaomba yaishe...
Polepole strategy yake ilifeli.. nashindwa kuelewa kwa upande wako strategy unaichukuliaje.. hata mambo aliyosema kweli watu walishasikia kama rumors, lakini kwa mtu kama yeye ambae alikuwa ndani ya mfumo kuja kuzungumza yale, wananchi walithibitisha na kuamini..
Alizungumza pia kuhusu mifumo ya NIDA, NEC ilivyounganishwa.. je watu walikuwa wanafahamu hilo? aliongea mengi ambayo wananchi hawakufahamu...
Aliwaasa wananchi kutofanya/kugomea uchaguzi.. unasemaje hakuwa na strategy?
Strategy yake ilikuwa ni wananchi waandamane/kugomea uchaguzi> jeshi liwape ulinzi > uchaguzi usimame > Samia atoke madarakani.
Polepole strategy yake ilikuwa wananchi ndio wafanye maamuzi...Hata yule mtu aliyejirusha kutoka ghrofani Morogoro Road, kutoka ghorofa ya 10, akitegemea kuwa akiangukia tanki la maji la Simtank chini atapona, kwa kutoelewa physics ndogo tu, alijiona ana strategy.
Kutumaini maji yaliyo ndani ya Simtank yatamuokoa ilikuwa strategy?
Kuwaachia wananchi wafanye maamuzi ya kumuondoa rais wakati hawajawahi kufanya hilo hata siku moja na hawakuwa na muelekeo wowote wa kufanya hivyo, na hawakuwa na power yoyote ya kufanya hivyo, na hata leo baada ya October 29 2025 hawana nguvu ya kufanya hivyo wenyewe na hilo jeshi lao, ndiyo ujinga wenyewe ninaousema kuwa si strategy, ni wishful thinking.Polepole strategy yake ilikuwa wananchi ndio wafanye maamuzi...
Kuepuka ionekane nchi inapinduliwa kijeshi..
Hivyo usiseme alikuwa anabwabwaja, alikuwa anatekeleza sehemu muhimu ya strategy yake...
Kiongozi kwenye strategy inaweza tokea miscalculation, intelligence failure(nimekupa mfano wa Iran-Israel war), assunption failure... nakadhalika..
SpaceX walipokuwa wanatengeneza roketi inayoweza kupeleka satellite angani na irudi ardhini walifeli mara nyingi, huwezi sema hawakuwa na strategy...
Business strategies nyingi tu zinafeli watu wanauza multi billion companies, na wanaotengeneza hizo strategy ni vichwa hasa ...
Karibu sana!Nimekuja
Kiongozi kila jambo huwa lina mwanzo, huwezi sema sitaoa kwa sababu sijawahi kuoa au sijawahi kuishi na mwanamke.. nchi yeyote ambayo wananchi walishafanya mapinduzi mara kadhaa elewa na wao walianza kufanya mara ya kwanza... pia kuna nchi ambazo hazikuwahi kuwa na historia ya kufanya mapinduzi na wakafanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya na wakaweza.Kuwaachia wananchi wafanye maamuzi ya kumuondoa rais wakati hawajawahi kufanya hilo hata siku moja na hawakuwa na muelekeo wowote wa kufanya hivyo, na hawakuwa na power yoyote ya kufanya hivyo ndiyo ujinga wenyewe ninaousema kuwa si strategy, ni wishful thinking.
Polepole alikuwa anafanya moves na zinaonekana, aliacha kazi yake ya ubalozi(hio ni strategy), akasafiri hadi Tanzania kimya kimya, akatafuta safe house na kuanza online meetings zake, how comes unasema alikuwa na wishful thinking na hope pekee?Wishful thinking is not a strategy.
Hope is not a strategy.
Nimetoa mfano wa spaceX kwa sababu walifeli mara kadhaa licha ya kuwa wana strategy, na tulikubaliana unaweza kuwa na strategy na ikafeli, nadhani hapo ndipo palikuwa pa muhimu zaidi..SpaceX hawakufeli kwa kuwaachia wananchi wafanye kazi ya kurusha roketi. Bringing tjis in this context is a logical non sequitur fallacy. You are not comparing equals.
Kiongozi kila jambo huwa lina mwanzo, huwezi sema sitaoa kwa sababu sijawahi kuoa au sijawahi kuishi na mwanamke.. nchi yeyote ambayo wananchi walishafanya mapinduzi mara kadhaa elewa na wao walianza kufanya mara ya kwanza... pia kuna nchi ambazo hazikuwahi kuwa na historia ya kufanya mapinduzi na wakafanikiwa kwa mara ya kwanza kufanya na wakaweza.
Kila kitu kina mwanzo, either ni mwanzo wenye mafanikio ama usio na mafanikio...
Polepole alikuwa anafanya moves na zinaonekana, aliacha kazi yake ya ubalozi(hio ni strategy), akasafiri hadi Tanzania kimya kimya, akatafuta safe house na kuanza online meetings zake, how comes unasema alikuwa na wishful thinking na hope pekee?
Maana ya kuwa na hope na wishful thinking ni pale umekaa hufanyi lolote, you dont take action...
Nimetoa mfano wa spaceX kwa sababu walifeli mara kadhaa licha ya kuwa wana strategy, na tulikubaliana unaweza kuwa na strategy na ikafeli, nadhani hapo ndipo palikuwa pa muhimu zaidi..
Wewe unaona Samia kupita pasipo kupingwa na kutoshiriki kwenye kura za maoni ilikuwa sahihi?Unamuweka Polepole upande wa watu waliotaka mageuzi ya kimsingi Tanzania.
Huu si ukweli.
Kwanza kabisa Polepole hakuwa na nia ya kufanya mabadiliko ya kimsingi Tanzania.
Alikuwa anataka kumtoa Samia tu.
Hakutaka hata kuitoa CCM.
Alitaka turudi kwenye udikteta kama wa Magufuli, kutoka kwa mtu tofauti na Samia aliyemkubali yeye Polepole.
Polepole hakupigania mageuzi ya kimsingi Tanzania, this was an internal CCM power struggle for the presidency.
Unaelewa hilo?