Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Wahuni wanakuwa encouraged wakipita sehemu kama hizi jukwaa la siasa na kusoma mijadala.

Baadhi yetu humu hatuna political values, yaani msimamo thabiti. Uwe CDM, CCM, CUF, ACT, Chama cha wakulima, etc.

Unapokuwa na values maana yake wewe jambo fulani uwezi litetea hata afanye mwenyekiti wako wa chama au kiongozi wako wa dini.

Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.

Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.

Sasa mijamaa ikishaua ikija kusoma humu inatukuta mataahira tuna justify baadhi ya matendo yao ya hovyo ndio maana wanatuona mamburura na kuendelea na utekaji maana hatujitambui tunataka na kusimamia vitu gani on principles.

Imagine the audacity of the killers in the midst of public outcry on increasing abductions and killings, they go about their business like that’s the new norm.

Sasa who’s to blame zaidi ya sisi wenyewe. Ukifuatilia humu ni member wachache sana ambao utakuta wapo consistent on their principles either mnakubaliana au la on the topic. Mfano zitto junior very consistent you know what you will get from him from the outset kutokana na topić husika kudos.

Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.
 
Mtu yeyote ana haki ya kuishi ila sasa kuna watu wamejipa Umungu wanaua wanateka na jamii iko kimya kama hatuna serikali tuliyo iamini na tukatengeneza taratibu zetu km taifa km mtu anaenda kinyume ahukumiwe kwa taratibu tulizo jiwekea sio kumuua km nzi
 
Ninachoona hadi sasa watekaji wapo kwenye shock..
Huyo kaka yake Polepole ana taarifa sensitive sana inavyoonekana na kuna uwezekano mkubwa kweli akawa anafahamu mdogo wake alipo...
Siyo tu ana taarifa inaonekana anaambiwa kila wanachofanya na watu walio ndani ya genge la Abdul na Mafwele.

Anapata live information, ushahidi wa mawasiliano yao, mipango yao mpaka video zao wakiwa kazini.

Nafikiri wanataka wamkamate wamuulize nani anampa taarifa na kumfunga mdomo.

Itakuwa risk kubwa kwao watekaji kumuua Polepole wakati kuna ushahidi wao ndio waliomteka.
 
Mbunge wa Geita na Katibu Mwenezi wa TANU alimkosoa Nyerere mwaka wa 67 kuhusu Azimio la Arusha.

Lakini hakuuliwa. Alifukuzwa chama na ubunge. Na wakawaambia waajiri wote, mpaka Kenya, wasimpe kazi. Akakaa kijijini anafuga ng'ombe. Alisoma Tabora School na shahada ya Uandishi Marekani.

Walikuwa hawauliwi. Angalau hakuuliwa.

Japo unaweza kusema Nyerere ndio alipanda mbegu za kumfanya mtu adui wa utawala anapokuwa na mawazo tofauti na mfumo.

Lakini pia na kuvunja nguvu ya utawala wa sheria. Alidhoofisha utawala wa sheria ili atawale kwa fikra na emotions zake yeye. Mtu hajaibia mwajiri, huna kesi nae yeyote kisheria, lakini unam punish kwa kuamuri asiajiliwe popote East Africa. Kisa, Mwenezi kakataa kueneza Azimio la Arusha. Liko wapi leo hilo Azimio ?
 
Wahuni wanakuwa encouraged wakipita sehemu kama hizi jukwaa la siasa na kusoma mijadala.

Baadhi yetu humu hatuna political values, yaani msimamo thabiti. Uwe CDM, CCM, CUF, ACT, Chama cha wakulima, etc.

Unapokuwa na values maana yake wewe jambo fulani uwezi litetea hata afanye mwenyekiti wako wa chama au kiongozi wako wa dini.

Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.

Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.

Sasa mijamaa ikishaua ikija kusoma humu inatukuta mataahira tuna justify baadhi ya matendo yao ya hovyo ndio maana wanatuona mamburura na kuendelea na utekaji maana hatujitambui tunataka na kusimamia vitu gani on principles.

Imagine the audacity of the killers in the midst of public outcry on increasing abductions and killings, they go about their business like that’s the new norm.

Sasa who’s to blame zaidi ya sisi wenyewe. Ukifuatilia humu ni member wachache sana ambao utakuta wapo consistent on their principles either mnakubaliana au la on the topic. Mfano zitto junior very consistent you know what you will get from him from the outset kutokana na topić husika kudos.

Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.

Huu ni ukweli. Inatakiwa Watanzania wote kuungana pamoja wote kukemea huu uhuni sababu yoyote anaweza kutekwa kutoka chama chochote, dini yoyote, kabila lolote.

Utakuta watu kadhaa wananzisha mjadala wa kwamba Polepole hakuwa na strategy, Polepole ni mjinga, Polepole angekuwa nje ya nchi, Polepole alihusika na utekaji wakati wa JPM, machozi ya mama Polepole siyo ya ukweli, Polepole amekufa ingawa bado hatuna taarifa hizo na tukipiga kelele bado wanaweza kumuachia.

Kuna watu inaonekana moyoni mwao wanasukumwa na udini, Uzanzibari, waendelee kulamba asali, wengine ni wabishi by nature wanatafuta umaarufu, roho mbaya wanafurahi yoyote aliye juu kushuka.

Wanawasaidia genge la watekaji kwa kuwagawanya watu, divide and rule, kupunguza pressure, kuwapa mambo mengine ya kujadili distractions badala ya mambo ya msingi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom