Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Nilichogundua huyu jamaa(Kaka yake Polepole) kwamba ni mtu makini, ni pale ile siku ndugu yake katekwa akasema aliyemteka ni ndugu Mafwele, hakusema ni afisa wa polisi, ni sawa na mtu useme aliyekuja kuiba kwangu ni jamaa anaitwa Juma, hivi Juma wapo wangapi?

Polisi walipoingia mkenge ni baada ya wao kutoa summons wakidai amemtaja afisa wa polisi ambae ni Mafwele, lakini jamaa ukiangalia ile video ya kwanza alipokuwa akitoa taarifa kuhusu kutekwa kwa ndugu yake alisema 'ndugu mmoja anyetambulika kwa jina la Mafwele', polisi wameingia mkenge na kudai aliyetajwa ni yule afisa wa polisi.

Jamaa anawachezesha mchakamchaka , ina maana hapo hata afunguliwe kesi mahakamani bado atashinda, polisi ndio wamejistukia.

Jamaa anaonekana yupo makini sana kwa kila anachozungumza, si mtu wa hivihivi.
Huyu jamaa nimemkubali,naona ameamua kucheza nao kama wanavyotaka
 
Ndugu hiyo CCM bali kikundi cha watu wenye kutumia nafasi zao ndani ya CCM kulinda na kutetea maslahi yao binafsi
Hakika, CCM imetekwa na genge la wahuni. Sio tu CCM bali mihimili mingine yote muhimu ya dola, vyama vyote vya upinzani kasoro CDM na vyombo vya habari vimenyamazishwa.

Vyombo hivi vyote vinafanya kazi kutetea maslahi, ufisadi wa genge la wahuni na familia zao chache sio maslahi ya Wananchi. Baadhi ya chawa wao wapo kazini hapa JF.
 
Wahuni wanakuwa encouraged wakipita sehemu kama hizi jukwaa la siasa na kusoma mijadala.

Baadhi yetu humu hatuna political values, yaani msimamo thabiti. Uwe CDM, CCM, CUF, ACT, Chama cha wakulima, etc.

Unapokuwa na values maana yake wewe jambo fulani uwezi litetea hata afanye mwenyekiti wako wa chama au kiongozi wako wa dini.

Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.

Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.

Sasa mijamaa ikishaua ikija kusoma humu inatukuta mataahira tuna justify baadhi ya matendo yao ya hovyo ndio maana wanatuona mamburura na kuendelea na utekaji maana hatujitambui tunataka na kusimamia vitu gani on principles.

Imagine the audacity of the killers in the midst of public outcry on increasing abductions and killings, they go about their business like that’s the new norm.

Sasa who’s to blame zaidi ya sisi wenyewe. Ukifuatilia humu ni member wachache sana ambao utakuta wapo consistent on their principles either mnakubaliana au la on the topic. Mfano zitto junior very consistent you know what you will get from him from the outset kutokana na topić husika kudos.

Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.
Mkuu unategemea nini wakati tumekulia Ugali?

Don't be unfair!
 
Vipi akina Kassim Hanga?

Cc: Mimi Wewe Yule
Acha roho mbaya wewee.

Screenshot_2025-10-06-23-00-43-48_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12~2.jpg
 
Vipi akina Kassim Hanga?

Uko sahihi.

Kassim Hanga alikuwa rare exception ya utaratibu wa kuwa punish viongozi waliokosana na serikali. Nyerere alikuwa anawafungia kijijini kwao au anawatia rumande miaka 10 bila mashtaka.

Hanga alipotea. Mara ya mwisho alionekana na Nyerere Mnazi Mmoja, akimzodoa.

Nyerere was an accomplice, if not the mastermind, of the bloody criminal enterprise that murdered Chief Minister Kassim Hanga when he disagreed with the government in 1970.
 
Huyo jamaa ni bora akimbie nchi ,MA_FUEL huwa hana masikhara ,kashazoea kunywa damu za watu....huyu lazima wapite naye akiendelea kukaa nchini.
 
Ooh nimeshakuelewa that means bado wanapata kigugumizi kummalizia wakihofia risks zitakazojitokeza mbeleni dhidi yao

Polepole ni high profile, mtu maarufu. Of course wanaweza kuamua kumuua lakini watakuwa wanapata mashinikizo makubwa kumuachia au kumfikisha mahakamani kutoka baadhi ya waandamizi ndani ya CCM, serikali, vyombo vya dola na jumuiya ya kimataifa.

Pia lazima wajipange ku-cover their tracks vizuri kama wakiamua kumuua na kujua cosequences kwao wao binafsi huko mbeleni.
 
Fanya kazi tafuta pesa acheni roho mbaya kutaka kila mtu awe kama nyinyi, wewe umejuaje wameuliwa?
Nyie watetezi wa serikali hii ya samia sio tu kwamba mmekosa ubinadamu kwenye nafsi zenu, bali mmekosa mpaka akili yaan hamna akili hata kidogo mashetani nyie.

Ona kama wewe hapa, watu wanaongelea kukithiri kwa mauji ya ndugu zetu kiasi cha kuongeza hofu kwenye jamii yetu.... halafu unaanza kutwambia sijui tufanye kazi una akili kweli wewe?

Suala sisi raia kufanya kazi na kukemea mauaji lina uhusiano gani kimantiki?

Kwamba hao wote waliotekwa na kuuawa walikuwa hawafanyi kazi au?

Kwamba kuwa bize na kazi ndio njia ya kukufanya wewe usitekwe au?

Halafu unatamka kabisa neno "roho mbaya"..? Hivi kati ya hao wanaopaza sauti kukemea mauaji na wewe ambaye unawanyamazisha kwa kuwaambia watafute pesa ni nani mwenye roho mbaya?

Mbona una reasoning ya kipumbavu hivi?

Kama wanaotekwa hawauliwi utuambie wanafanywa nini au wanapelekwa wapi?

Bila shaka wewe ni moja ya wale wapumbavu mnaojiita "drones" sio?
 
Wewe ukisikia nalipa kodi sijui bla bla bla ujuwe maisha yamekupiga roho mbaya tu
Hata yanipige vipi,siwezi nikawa kama nyie mnakula anasa kwa kazi ya kutoa uhai binadamu wenzenu kwa tamaa ya pesa za ufisadi na madaraka mkuu.
Ni bora nile AC nikiwa kwenye passo kuliko kula AC kwenye LC300 ZX huku ukinuka damu za watanzania wenzako
 
Ebu ACHENI huo ujinga.ili iweje sasa.mtoto wao mmemchukua bado mnarudi Tena kwenye hyo hyo familia.mtakaa vipi kuwa sio NYIE?
 
Nyie watetezi wa serikali hii ya samia sio tu kwamba mmekosa ubinadamu kwenye nafsi zenu, bali mmekosa mpaka akili yaan hamna akili hata kidogo mashetani nyie.

Ona kama wewe hapa, watu wanaongelea kukithiri kwa mauji ya ndugu zetu kiasi cha kuongeza hofu kwenye jamii yetu.... halafu unaanza kutwambia sijui tufanye kazi una akili kweli wewe?

Suala sisi raia kufanya kazi na kukemea mauaji lina uhusiano gani kimantiki?

Kwamba hao wote waliotekwa na kuuawa walikuwa hawafanyi kazi au?

Kwamba kuwa bize na kazi ndio njia ya kukufanya wewe usitekwe au?

Halafu unatamka kabisa neno "roho mbaya"..? Hivi kati ya hao wanaopaza sauti kukemea mauaji na wewe ambaye unawanyamazisha kwa kuwaambia watafute pesa ni nani mwenye roho mbaya?

Mbona una reasoning ya kipumbavu hivi?

Kama wanaotekwa hawauliwi utuambie wanafanywa nini au wanapelekwa wapi?

Bila shaka wewe ni moja ya wale wapumbavu mnaojiita "drones" sio?
Hivi unajuwa watu wangapi wanauliwa nchi hii sababu tofauti tofauti, mbona huwapigii kelele. Ukiona mtu anatumia neno "ndugu zetu" huyo mnafiki mkubwa siajabu hana hata msaada na ndugu zake kweli. kauli ya kulaghai watu.
 
Back
Top Bottom