Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Hata yanipige vipi,siwezi nikawa kama nyie mnakula anasa kwa kazi ya kutoa uhai binadamu wenzenu kwa tamaa ya pesa za ufisadi na madaraka mkuu.
Ni bora nile AC nikiwa kwenye passo kuliko kula AC kwenye LC300 ZX huku ukinuka damu za watanzania wenzako
Fanya research watu wana pesa kabla hujazaliwa hapo Tz wenye pesa wako kimyaa wanapiga kazi sasa usilete mifano ya watu wachache utajiri wenye mashaka ukataka kuchanganya kila mtu. Wewe hapo Baba yako angekuwa Rais wa nchi hii ungeendesha Paso? acheni unafiki
 
Zaidi inawaaumbua akili sana maana jamaa aliwachota akili vizuri sana kusema ana chip mwlini na hii walishapanga na mdogo wako aseme hiyo endapo mambo yakiharibika....
 
Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.

Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.

Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.

huwez kuwa CCM halafu eti ukawa na sifa kama hizo. labda uektie tu
 
Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.
Ndio maana huna thamani yoyote katika michango yako humu JF; kwa sababu wewe mwenyewe ni kielelezo halisi kabisa ya haya unayo yaeleza hapa.

You cannot be taken serious on any issue!
 
Itakuwa risk kubwa kwao watekaji kumuua Polepole wakati kuna ushahidi wao ndio waliomteka.
Kwa hali ilivyo sasa hivi sioni wao (watekaji) wakiwa na hofu yoyote. Labda useme wawe na hofu ya nini kitatokea iwapo Samia na GGenge lake watafurumishwa hiyo Oktoba 29 au kabla.

Mbali ya hapo, hawa sasa ndio wapo mstari wa mbele kutegemewa kuwatia hofu waTanzania wasiweze kuwasumbua Samia na wenzake.
 
Bila ya kujuwa undani zaidi; maoni yangu, na hasa ushauri wangu kwa Bw. Augustino aangalie kwa makini zaidi kuona kama "MBINU" anayo tumia sasa kukabiliana na hawa waovu ni SAHIHI.
Nampa tahadhari sana; alifikirie hili kwa kina zaidi.
 
huwez kuwa CCM halafu eti ukawa na sifa kama hizo. labda uektie tu
Hapo ndipo alipofeli HP. Huyu jamaa angekuja na ajenda za katiba mpya nchi ingemkumbuka. Ila kwa sasa wakimuua wiki mbili tu tunamsahau. Si-support mauaji wala utekaji lakini HP alikosa wa kumshauri.
 
Hapo ndipo alipofeli HP. Huyu jamaa angekuja na ajenda za katiba mpya nchi ingemkumbuka. Ila kwa sasa wakimuua wiki mbili tu tunamsahau. Si-support mauaji wala utekaji lakini HP alikosa wa kumshauri.
Wewe unaweza Ongelea hayo ili ukumbukwe.

He chose what he thought was right for him….
 
Watu wa visasi ndio mpewe nchi si mtaigeuza Rwanda ya 94
Nyinyi mkiteka na kuua ni haki na ni sawa ila wanaoshambuliwa kuuawa wakijitetea inageuka kuwa Rwanda ya 94.
No wonder wahenga walisema "mkuki mtamu kwa nguruwe kwa binadamu mchungu".
Just be ready for the karma, it's kinda bitch.
 
Njaa mbaya sana, nakushauri tu ongeza juhudi fanya kazi hata chuki na roho nyeusi itapata nuru tena na utaishi kwa amani. Hata mimi nikiwa na njaa nakuwa mkali sana.....pole sana ndugu yangu yatapita tu pambana..
 
Trying to be a spin master? Stick to the topic.
About this shit you've just posted, it's pathetically absurd. Kwanza siishi kwenye nchi yenu mnayotekana na kuuana on daily basis, second I'm above working class. Kama ulichelewa kujipanga kimaisha iliyokupelekea kuwa chawa that's your own problem.
It's ridiculous hao wapumbavu mnaoshinda humu mkiwatetea wameifungia hii forum na wanamtafuta Melo ili wamteke, deeply thinking of this reality huwa naelewa standards zenu na kuishia kuwaonea huruma. Whether you're direct involved in the abductions and killings au ni chawa tu mnaolipwa kwa uchawa you're just one and the same. Pathetic losers.
 
Ongeza na kifaransa, wewe unadhani hatujui English? andika kiswahili tu tutaelewana, hizo ndio akili zenu mkibwabwaja kizungu ndio unataka tujue kuwa level yako ya juu.... hapana hayo mambo ya kishamba watu wameshapita huko. Wewe unashutumu kila mtu mtekaji akiwa na maoni tofauti na wewe tu ndio shida yenu. Punguza hasira nchi hii ni super kwa kuishi ila shida kama huna kitu hujielewi na wewe unayejitapa nchi yetu shit sasa nini kinakuwasha.... sisi tupo powa tu hata wewe ukipunguza stress za huko ulipo utaishi kwa amani.
 
Back
Top Bottom