Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji walienda kwa mama yake

Hivi unajuwa watu wangapi wanauliwa nchi hii sababu tofauti tofauti, mbona huwapigii kelele. Ukiona mtu anatumia neno "ndugu zetu" huyo mnafiki mkubwa siajabu hana hata msaada na ndugu zake kweli. kauli ya kulaghai watu.
Kwa hiyo watu kuuliwa na kelele zao kutoskika basi ndio kunawapa na nyie mandate ya kuua wanaomkosoa Samia?

Kwamba kwa vile kuna watu wamepoteza maisha yao ambao hatuwajui, basi inatakiwa tukae kimya tu pale tunapoona watu kama Polepole wanakutwa na madhira hayo sio?

Kwamba tuache kukemea mauaji na kisha tukijikite kufanya kazi kama njia ya kukabiliana na matukio ya kuogofya yanayoendelea nchini kwetu?

Kuna shida gani mimi kutumia neno "ndugu zetu" kwenye hayo maelezo yangu?

Mbona una uwezo duni sana wa kureason wewe jamaa?

Mara kadhaa nimeshasema humu, serikali ya samia imejaza vilaza kwanzia yeye mwenyewe mpaka nyie wasaidizi wake ambao ndio anawatumia kufanya umafia.

Wewe ni kilaza kama boss wako, na ndio maana kupitia comments zako hata wale ambao bado wana doubt kuhusu uhusika wa serikali kwenye matukio haya taaratibu wanaanza kuamini.
 
Nadhani wewe unashida sana, kila mtu mwenye mawazo tofauti unadhani yupo serikalini ni kama niseme wewe ni Chadema. Unaweza kuwa huna chama. Haya mambo ya kupotea yalianza enzi za JPM kwa kiasi kikubwa sasa huyu Polepole angeanika hizi siri nani alikuwa nyuma ya hili, bila kupepesa macho.

Mimi na uhakika kuna kikundi kinafanya haya maana hata kipindi kile mkoa wa pwani kulikuwa na matukio mabaya sana lakini yakaisha. Shida yangu watu kama Polepole siko wakitoka nje ya mfumo ndio wanajifanya watetezi ila walipata nafasi walifanya nini? walikemea? tuache unafiki ukitaka kutubu dhambi sema yote sio unachagua la kusema.
 
Kama ndiyo unanilipia ada za watoto probably sina kazi.
Nyinyi kenge wauaji just remember that karma never forgets.
Imagine watu wanajadili kukithiri kwa matukio ya mauaji ambayo yanahusishwa moja kwa moja na serikali yao.... halafu anatokea mjinga mmoja anauliza huna kazi ya kufanya?

Yaan akilini mwake, anataka watu wapuuze hali mbaya ya kiusalama iliyopo nchini, yaan tujifanye kama hakuna baya linaloendelea, wakati huo wenyewe wanafanya matukio yao ya kinyama bila wasi wasi wowote huku wakiidanganya dunia kuwa Tanzania ni nchi ya amani.

Ovyo sana haya majitu.
 
Ongeza na kifaransa, wewe unadhani hatujui English? andika kiswahili tu tutaelewana, hizo ndio akili zenu mkibwabwaja kizungu ndio unataka tujue kuwa level yako ya juu.... hapana hayo mambo ya kishamba watu wameshapita huko. Wewe unashutumu kila mtu mtekaji akiwa na maoni tofauti na wewe tu ndio shida yenu. Punguza hasira nchi hii ni super kwa kuishi ila shida kama huna kitu hujielewi na wewe unayejitapa nchi yetu shit sasa nini kinakuwasha.... sisi tupo powa tu hata wewe ukipunguza stress za huko ulipo utaishi kwa amani.
Chawa wote standards zenu zinaeleweka and y'all literally survive by licking asses of those who are controlling you.
Kama abductions na serial killings ndiyo vinawapa faraja endeleeni tu obviously you're doing this to appease your miserable life.
 
Imagine watu wanajadili kukithiri kwa matukio ya mauaji ambayo yanahusishwa moja kwa moja na serikali yao.... halafu anatokea mjinga mmoja anauliza huna kazi ya kufanya?

Yaan akilini mwake, anataka watu wapuuze hali mbaya ya kiusalama iliyopo nchini, yaan tujifanye kama hakuna baya linaloendelea, wakati huo wenyewe wanafanya matukio yao ya kinyama bila wasi wasi wowote huku wakiidanganya dunia kuwa Tanzania ni nchi ya amani.

Ovyo sana haya majitu.
Kitu ambacho hawakitaki kabisa ni public awareness, wanakuwa very uneasy wakiona watu wanapaza sauti kupinga utekaji na uuaji.
 
Nadhani wewe unashida sana, kila mtu mwenye mawazo tofauti unadhani yupo serikalini ni kama niseme wewe ni Chadema. Unaweza kuwa huna chama. Haya mambo ya kupotea yalianza enzi za JPM kwa kiasi kikubwa sasa huyu Polepole angeanika hizi siri nani alikuwa nyuma ya hili, bila kupepesa macho.

Mimi na uhakika kuna kikundi kinafanya haya maana hata kipindi kile mkoa wa pwani kulikuwa na matukio mabaya sana lakini yakaisha. Shida yangu watu kama Polepole siko wakitoka nje ya mfumo ndio wanajifanya watetezi ila walipata nafasi walifanya nini? walikemea? tuache unafiki ukitaka kutubu dhambi sema yote sio unachagua la kusema.
Kwani mauaji anayepeswa kuyakemea ni lazima awe na sifa fulani fulani tu?

Kwamba yeyote aliyewahi kufungwa kwa kosa la wizi, basi hatakiwi kukemea wizi?

Kahaba aliyetubu atakiwi kabisa kukemea uasherati na uzinzi au?

Hata hivyo kilichotufikisha hapa na wewe sio kuhusy Polepole... bali ni comments zako za awali ambazo ulionesha kubeza kila mtu anayekemea haya matukio tena kwa kauli za kipumbavu eti "tufanye kazi"... yaan kwa jinsi ulivyopingana na watu hapa kwenye hii mada inaonesha wazi na wewe ni moja ya perpetrators wa matukio haya, yaan ni mnufaika wa serikali hii dhalimu kupitia unyama inaofanyia wanainchi.
 
Kwa ufupi tu wala sitaki uniamini sio muhimu sijawahi kufanya kazi serikalini na sijawahi kulipwa hata cent moja au niseme sijawahi kuajiriwa na mtu yoyote sasa utajaza wewe.
 
Kitu ambacho hawakitaki kabisa ni public awareness, wanakuwa very uneasy wakiona watu wanapaza sauti kupinga utekaji na uuaji.
Wanalazimisha watanzania wa leo tuendelee kuwa wajenga kwamba tuone upuuzi na kuukalia kimya, kisa tu tunalinda huu utulivu uliopo ambao wenyewe wanauita "amani"
 
Nadhani wewe unashida sana, kila mtu mwenye mawazo tofauti unadhani yupo serikalini ni kama niseme wewe ni Chadema. Unaweza kuwa huna chama. Haya mambo ya kupotea yalianza enzi za JPM kwa kiasi kikubwa sasa huyu Polepole angeanika hizi siri nani alikuwa nyuma ya hili, bila kupepesa macho.

Mimi na uhakika kuna kikundi kinafanya haya maana hata kipindi kile mkoa wa pwani kulikuwa na matukio mabaya sana lakini yakaisha. Shida yangu watu kama Polepole siko wakitoka nje ya mfumo ndio wanajifanya watetezi ila walipata nafasi walifanya nini? walikemea? tuache unafiki ukitaka kutubu dhambi sema yote sio unachagua la kusema.
Polepole anapaswa kumtetea bila kujali amefanya nini kama binadamu tu mwenzio mwenye haki ya kuishi mauaji yapo hata Olimboka alitekwa polepole alikua sio kati Mwenezi bado Tukemee mabaya bila kujali limemkuta nani
 
Nakemea kila dhulma haijalishi nani, na siungi mkono haya mambo kabisa lakini pia tukosoe ila tusivuke mipaka ya kushutumu watu mauwaji bila kuwa na ushahidi wowote. Unatukana mtu ana power sisi binadamu tupo tofauti kuna atavumilia kuna mwingine atashindwa. Nakiri siungi mkono hata kidogo haya matukio sio leo hata jana.
 
Na wewe pigania tumbo lako nini shida?
Imagine huyu jamaa angekuja na ushahidi kuhusu kifo cha ben saanane. Au angekuja na kutuletea taarifa jinsi tundu lissu alivyopiga risasi. Huyu jamaa alikuwa mjinga sana na nilimhoji nikamuuliza swali kwenye sauti ya watanzania. Baada ya siku ile kila akiongea akawa hatoi nafasi za maswali. Huyu jamaa alikosa wa kumshauri.
 
Angekuwa anayajua hayo angesema.

Yeye amesema anayoyajua, kama kuna mengine unayajua, unaweza yaongelea wewe.

Labda kama unasema alihusika katika kupanga na Kutekeleza hayo.
 
Hakuyasema kwa sababu bado alikuwa anataka kurudi CCM huonndio ukweli mchungu. Yeye alitaka mama atoke aingie mtu mwingine ili serikali ijayo ale cheo. Alikuwa hataki masuala ya katiba mpya.
 
Kwani hakuwa na Cheo?

Ukweli mchungu uko wapi? Kwani aliwahi ondoka CCM?
 
Huwezi kupambania nchi na ukaikubali CCM tatizo ni mfumo. Huyu alikuwa napambania Mama aachie nchi ili wengine wapite. Na alidanganywa na watu wa CCM kwamba akiongea watamwondoa mama. Aliingizwa cha kike, huyu angejitoa CCM na angeelezea mabaya waliyofanya na Magufuli. Angepambania katiba mpya na kutoaaa siri za uovu. Mbona angekumbukwa na sanamu angejengewa. Lakini kwa sababu alikuwa mchumia tumbo wiki hii inayoanza kesho ikiisha ashasahaulika.
 
Angekumbukwa na nani? Wewe
Hilo sanamu angejenga nani?, Unapotoa hoja unaitafakari kwanza?
 
Sasa unadhani tukipata katiba mpya watu wa kwanza kukumbukwa watakuwa wa kina nani ? Tukipata katiba mpya watakumbukwa watu waliopoteza maisha wakipambania hio katiba. Huyu jamaa kafa kama mbwa koko wa kijijini aliyegongwa na Fuso. Huyu atakumbukwa kwa lipi ?
 
Aya
 
Back
Top Bottom