KabisaNinachoona hadi sasa watekaji wapo kwenye shock..
Huyo kaka yake Polepole ana taarifa sensitive sana inavyoonekana na kuna uwezekano mkubwa kweli akawa anafahamu mdogo wake alipo...
Mafwele anahaha, damu za watu zimeshamlevya asipopata mtu wa kumuua anakosa usingizi.Baada ya saa chache kulikosoa jeshi la Polisi Kaka yake Polepole anasema usiku watekaji wameenda kwa mama yake.
Pia Soma: Updates: Kaka wa Polepole awajibu polisi kuhusu kutekwa kwa mdogo wake Balozi Humphrey Polepole
Kosa lake ni kumtaja MafweleHuyu Brother Naona Vita Imepata Mpambanaji Brother Anaonekana Hili Swala Kaingia Miguu Miwili Kabisa
Mtu yeyote ana haki ya kuishi ila sasa kuna watu wamejipa Umungu wanaua wanateka na jamii iko kimya kama hatuna serikali tuliyo iamini na tukatengeneza taratibu zetu km taifa km mtu anaenda kinyume ahukumiwe kwa taratibu tulizo jiwekea sio kumuua km nziWahuni wanakuwa encouraged wakipita sehemu kama hizi jukwaa la siasa na kusoma mijadala.
Baadhi yetu humu hatuna political values, yaani msimamo thabiti. Uwe CDM, CCM, CUF, ACT, Chama cha wakulima, etc.
Unapokuwa na values maana yake wewe jambo fulani uwezi litetea hata afanye mwenyekiti wako wa chama au kiongozi wako wa dini.
Mfano kwenye ili sakata la utekaji na mauaji, kama wewe ni staunch believer of a ‘just society’ na unaamini freedom of speech, right to criticise the government (bila ya kutukana au breach of patriotism) ni haki ya kila raia.
Mtu kama huyo hawezi support utekaji na mauaji ya mtu yeyote huko ni kutoka kwenye misingi ya ‘just society’ aijalishi nani kauliwa.
Sasa mijamaa ikishaua ikija kusoma humu inatukuta mataahira tuna justify baadhi ya matendo yao ya hovyo ndio maana wanatuona mamburura na kuendelea na utekaji maana hatujitambui tunataka na kusimamia vitu gani on principles.
Imagine the audacity of the killers in the midst of public outcry on increasing abductions and killings, they go about their business like that’s the new norm.
Sasa who’s to blame zaidi ya sisi wenyewe. Ukifuatilia humu ni member wachache sana ambao utakuta wapo consistent on their principles either mnakubaliana au la on the topic. Mfano zitto junior very consistent you know what you will get from him from the outset kutokana na topić husika kudos.
Wengi wetu ni bendera tu, and this works in killers favour.
Swala la kutoana uhai unasema ni kiki za kisiasa?Kiki za kisiasa tu
Siyo tu ana taarifa inaonekana anaambiwa kila wanachofanya na watu walio ndani ya genge la Abdul na Mafwele.Ninachoona hadi sasa watekaji wapo kwenye shock..
Huyo kaka yake Polepole ana taarifa sensitive sana inavyoonekana na kuna uwezekano mkubwa kweli akawa anafahamu mdogo wake alipo...
Wahuni wanakuwa encouraged wakipita sehemu kama hizi jukwaa la siasa na kusoma mijadala.