Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Pole Sana binamu[emoji26]
Wezi tunamalizana nao uku uku mtaani
 
Hata kama ni kweli ni mwizi,hivyo vitu vinathamani kuliko uhai??
Wezi wamewatoa wangapi uhai wakiwa kwny shughuli zao za jihalifu?

Au uhai unathamani kwao TU na sio sisi raia?
 
Kama mnajua anatatizo la akili lawama ziende kwa waangalizi wake na sio waliomshughulikia
Mtu amelelewa miaka 48 ya ugonjwa kwanini asingepotea kipindi akiwa kijana au mtoto
Ukikutwa eneo la tukio ukiwa ready handled na Mali ya mtu.

Aisee pale Bila ya cheti Cha daktari kwenye walet kuthibitisha kua una ugonjwa wa akili Ni sahii kabisa kupigwa kibiriti.
Mtu tahaira umpe cheti cha Daktari atembee nacho? Uko seriously kweli?
Vinginevyo,
Mlitakiwa mtoa taarifa mapema jamii itambue kua inaishi na mlemavu wa akili.
Unamaanisha tungekuwa tunatembea mbagala yote kutangaza kuwa ndugu yetu ana ugonjwa wa akili?
Kifo Cha ndugu yenu Ni uzembe wenu wenyewe.
Kama ni uzembe kwa nini uzembe usingetokea tangu akiwa mtoto mpka kijana kwanini uzembe utokee akiwa na miaka 48.!!!
 
Mkuu ulikuwepo eneo la tukio why udhani alikamatwa na kitu cha wizi
Sikuwepo, Mimi Ni Kama wewe tu.
Ila siwez kutetea wizi hata siku moja.

Vinginevyo mtoa mada aje na solid evidence kwamba ndugubyaje sio mwizi.

Anasema Ni mgonjwa wa akili,
ila mpk sahv Uzi unatembea page kibao sijaona akileta Cheti kuthibitisha huo ugonjwa wa ndugu yake.

Kama sio porojo hizi Ni Nini Sasa[emoji848]
 
Lawama ziwaendee hao waangalizi wake,

Kifo Cha ndugu wa mtoa mada atulie na achukulie Kama Ni ajali Kama ambavyo uyo ndugu yake mlemavu angegongwa na gari barabarani.
NB:hata Mimi nilikuwa nafurahia mwizi akipokea kipondo na wewe siku ndugu yako akipigwa moto na unajua fika sio mwizi ndio utajua kwanini serikali inakataza raia kujichukulia sheria mkononi
 
Pole sana mkuu, nimevaa viatu vyako nimejiona ni punje ya sukari ndani ya bahari
 
Na inawezekana watu walimtumia kufanya uhalifu( hao waliokuwa nae tangu apotee) all in all sababu hayuko sawa, walitakiwa wasimpige kabisa,.
 
Pole sana mkuu. Kama kweli ulicho kuandika hapa ni kweli, piga a mpaka haki ya kakako ipatikane. Anzia kwa mtendaji wa mtaa/ kijiji, Kata,...... Mkuu wa wilaya, mkoa hadi kwa Rais. Kila niliye mtaja ukimuandikia barua (baki na nakara) akishindwa kukusaidia Nenda ngazi ya juu. Nadhani kuna sehemu utasikilizwa na ya kakako itatendeka.
 
Kenge huwa hasikii hadi atoke damu masikioni.
 
Umeambiwa alikuwa mgonjwa wa akili
 
Still anaweza kuwa alipotea na kuenda mbali eneo ambalo hamna anaejua kuhusu udhaifu wake. Sasa wenda amefika huko akachukua mali ya mtu (kwa akili yake aliona sawa kulingana na matatizo yake) na kukutwa nayo read handed na kwa kuwa huwa hawawezi kujielezea kutokana na udhaifu wao, basi kibao kikamgeukia. So mazingira kama hayo yapo sana ndugu yangu. HII NI KAMA BAADA YA TUKIO KUTOKEA, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WANAJUA ALIEHUKUMIWA ANA MATATIZO YA AKILI KITAMBO
 
Mtu mwenye down sydrome anajulikana hata kwa kumuangalia aseee !! Hata speech mara nyingi huwa hawako vizuri kabisa !! Hawa watu aidha walifanya makusudi !! Mlemavu wa akili anaonekana kabisa yaani !!
 
We jamaa unatumia nn kufikiri?
Ukitanguliza gadhabu mbele hauwezi tatua lolote,
Ina maana ww unaharalisha kitendo cha walinda amani mtaani mida ya usiku kujichukulia sheria mkononi?
Unaharalisha uhalifu hadharani masta...
 
Ushaambiwa una ulemavu wa akili unadhani katika hayo mahojiano angeweza kujibu na kuonekana hana hatia!
 
Mzee naona umeandika kwa uchungu wa kuibiwa dukani kwako sio...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…