makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Cd 125 nimezikuta tu. [emoji23]Bodaboda zilikuepo mkuu mbona, kulikua zile pikpik zinaitwa CD 125
Sijui Kama unazikumbuka chief, au uljua bado mdg bwashee[emoji4]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cd 125 nimezikuta tu. [emoji23]Bodaboda zilikuepo mkuu mbona, kulikua zile pikpik zinaitwa CD 125
Sijui Kama unazikumbuka chief, au uljua bado mdg bwashee[emoji4]
Pond himself again.Mtoa mada usitake kutuhamisha goli.
Binafsi natembea Sana usiku, na Mara kibao nishakamtwa na hao hao sungusungu usiku wa manane.
Ila sijawai dhurika kwa namna moja ama nyingine.
Nnachokifahamu ktk operation zao usiku hutembea na viongozi kadhaa wa mtaa.
Wakishakukamata,
Hawa viongozi wa mtaa wanakuhoji wewe Ni Nani, unaishi wapi, unafanya shughuli gan, unaelekea wapi, unatoka wapi.
(Ukiwa ni mtu mwema kwny jamii na huna historia ya uhalifu, hakuna anayehangaika na wewe)
Ayo unayosema Kwamba wamemvamia tu na ghafla kuanza kumchoma TU kibiriti hayawezekani kabisa.
Vinginevyo uyo ndugu yenu ana historia ya uhalifu hapo kabla.
Na Kama Ni suala la uhalifu,
Hapo ninyi Kama ndugu Kuna namna mmefeli kwny suala Zima la malezi[emoji4]
Nchi haiwezi kuendelea kwa kukumbatia wezi na vibaka wanaoishi kwa kutegemea utelezi wa jasho la watu.
Wezi na Vibaka wanaorudisha maendeleo ya watu nyuma, na wanapaswa kushughulikiwa kwa nguvu zote.
Ulkua bado mdg Basi[emoji4]Cd 125 nimezikuta tu. [emoji23]
Hao wakubwa wanyongwe kabisa [emoji4]Pond himself again.
Baba G
Leo mwamba umekuwa mkali sana
Kumbuka huo ni upande wa mleta mada mkuu other side of story who knows the fact
But hao vibaka na wale wanaotuibia rasilimali za nchi yetu tuwafanyaje mkuu
Mwizi wa kuku ,Bata,kabarib etc sawa wachomwe how about hao hulligans
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu,kama hujawahi kuibiwa unaweza kusema hivyo,me juzi nimechapwa laptop yangu ambayo was everything to me,nimeapa sitokuwa na huruma na mtu yeyote anaedhaniwa kuwa kibaka.Dah! Pole sana mkuu! Hili suala la watu kujichukulia sheria mkononi linawaathiri watu wengi wasio na hatia.
Humu jf Imeibuka tabia ya ndugu wa wezi Kuja humu kulia huruma pale ndugu zao wanaposhughulikiwa kwa torati ya mtaa.
Ifike wakati Huu upumbavu ukataliwe kwa nguvu zote,
Haiwezekani sungusungu wamsingizie ni mwizi wkt hao hao Sungu Sungu Ni raia wa eneo Hilo Hilo.
Haiwezekani mtaa uwe na mlemavu wa akili na wananchi na viongozi wote wasimjue.
KESI za kuchomwa Moto hivyo Mara nyingi Ni zile ready handled.
Mtoa mada kajipange[emoji3525]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pembeni tena mbona kesi ni moja mzew..!! Wangapi wanaitiwa wezi na hata sio wezi na raia wanapiga mpaka kuuaHa ha ha....
Hzo kesi na wahalifu wangu tuziweke pembeni chief[emoji4]
Wapige asidi mmoja baada ya mmoja utakuwa umeusaidia mtaa.Ifike mahala tujichukulie TU sheria mkononi
Vyombo vya sheria vishakuwa sehemu salama sana kwa wahalifu.
Wanapelekwa leo,ndugu mnaenda kuwatoa kesho kwa hongo.
Na wizi unaendelea kama kawaida.
Honestly Mwaka Jana nmeibiwa, ila kilichoandikwa polisi Ni upuuzi wkt ushahidi uko wazi na baadhi ya Mali wamekamtwa nazo.
Wewe Kama wewe unafanyaje hapo?
Binafsi,
Kwasasa hao Wezi wangu nadili nao mtaa kwa mtaaa na baadhi Yao tayar washaanza kuonja joto la karma yangu artificial nnavyowanyoosha kimya kimya mmoja baada ya mwingine[emoji3525].
Kutaka huruma kwa mtu ambaye amesha chomwa moto?Maana mletamada kaleta tu taarifa hajaomba hata msaada wa matibabu.umejuaje ? inawezakua moja ya njia ya mtoa mada kuvutia kwake na kutaka huruma
wabongo huwajui wewe, mantiki ya uzi ni kutaka hurumaKutaka huruma kwa mtu ambaye amesha chomwa moto?Maana mletamada kaleta tu taarifa hajaomba hata msaada wa matibabu.
Si kaleta habari zake kama uluvyoleta zako za michepuko zako na wadogo zake tukasoma na kuchangia? What is wrong with you man?Kaleta Uzi uku ili iweje sasa?
Au uku sikuhizi kimekua kituo Cha polisi kumshughulikia jinai Kama hizo?
Polisi wamemkataa ndo maana kaja uku kutafuta huruma[emoji3525]
Huruma kivipi? Huyo mtu kachomwa moto mleta mada hajasema nihurumieni jamani, hajasema naombeni msaada. Kaleta tu habari ya yaliyomtokea ndugu yake. Mbona jambo la kawaida sana? Kuhusu kuwa na hatia au kutokuwa na hatia hakuna anayeweza kuthibitisha ndo maana tunaichukua habari kama ilivyo na kumpa pole.wabongo huwajui wewe, mantiki ya uzi ni kutaka huruma
sawa mpe poleHuruma kivipi? Huyo mtu kachomwa moto hajasema nihurumieni jamani, hajasema naombeni msaada. Kaleta tu habari ya yaliyomtokea ndugu yake. Mbona jambo la kawaida sana? Kuhusu kuwa na hatia au kutokuwa na hatia hakuna anayeweza kuthibitisha ndo maana tunaichukua habari kama ilivyo na kumpa pole.
Ndugu yangu, huyu ndugu yake kauwawa na kwa anavyoamini kauwawa kimakosa na kinyume cha sheria za nchi yetu. Embu vaa viatu vyake.Ndo maana nikasema mtoa mada achukulie Kama Ni ajali.
Haina haja kuwalaumu waliomshughulikia maana ndugu yake uyu wkt anakamtwa hakutembea na Cheti na kuwaonyesha kua Ni mgonjwa wa akili washambuliaji wakakikataa .
Hapo lawama ziende kwa waangalizi, pia ichukuliwe Ni bahat mbaya TU[emoji26]
Ni wa kupewa pole ndio. Kafiwa kikatili na ndugu yake wa karibu regadless ya what happen. Tumekuaje Watanzania?sawa mpe pole
Anayedhaniwa🤬🤬🤬🤬🤬 yaani utapiga tu sababu amedhaniwa bila kuthibitisha? Hapo umeibiwa laptop😂😂😂😂.Mkuu,kama hujawahi kuibiwa unaweza kusema hivyo,me juzi nimechapwa laptop yangu ambayo was everything to me,nimeapa sitokuwa na huruma na mtu yeyote anaedhaniwa kuwa kibaka.