Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Anayedhaniwa[emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959] yaani utapiga tu sababu amedhaniwa bila kuthibitisha? Hapo umeibiwa laptop[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

WE PIGA ILA USIOMBE TU UKUTANE NA JAMHURI UINGIZWE KULE KWENYE KACHUMBA CHA WATU WAUAJI. TUKORADANI TUKAGONGWA GONGWA UTAJE WENZAKO
Wao wenyewe wanataka mkikamata mwizi au kibaka mmalize mpige simu tu waje kuchukua mzoga wakazike...
 
Pole sana brother.
Naelewa na najua unaposema mtu ana down syndrome.
Nikiri kua wamemuonea na hawakustahili kumfanyia hayo....na wengi hujichukulia sheria mkononi kwa ule ujinga wa kua wengi(akiona huyu kapiga na yeye anapiga).
Nikuombe kama unawajua hao watu wafuatilie vizuri, kisha lipa kisasi kwa jinsi unavyojua wewe...iwe kuwawekea sumu, iwe kuwachomea moto ndani ya nyumba zao au vyovyote unavyojua wewe...kisha ukilidhika tulia.
 
Hivi mkuu umemkamata mwizi wako kabeba kitu chako, nyumban kwako usiku wa manane na humjui.

Hicho kipimo Cha akili unakipata wapi MDA huo?

Hapo ningemshaur mtoa mada achukulie TU kifo Cha ndugu yake Ni ajali, haina haha ya kesi pale.
Mtu yoyote mwenye Down's Syndrome wanajulikana hata kwa kumwangalia kwa macho. Huhitaji kipimo chochote kugundua hilo. Na wote wana features zinazofanana.
 
We mzee hebu acha kuniokota basi...huu mwaka hakukuwa na bodaboda

Enzi hizo bado usafiri ulikuwa ni wa baiskeli (baiskeli za kukodi saa shilingi 100)! Hizo ndiyo zilikuwa boda boda zetu.
Na kuhusu pikipiki za honda CG 125, hizi zilianza kutamba kuanzia miaka ya 2004 na kuendelea!

Na kwa upande wa boda boda, hizi zilianza mwishoni mwa mwaka 2000! Sasa anaposema mwaka 2000 wezi walienda kwake kwa bodaboda! 🤔 Wahenga tunabakia tu kushangaa!
 
Kaka (marehemu) anaitwa isack mwageni anaishi mbande magengeni,ameenda kuuliwa kitongoji cha mbande rufu mwenyekiti wa huko anaitwa sadiki.
Nikuwekee picha ya marehemu ufananinishe na wagonjwa wengine wa downs syndrome wanavyokuwa wanafanana?
Inaonekana huyu hafahamu hata Down's syndrome ni nini na mtu mwenye hilo tatizo yukoje
 
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu.

Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga wamemfunga mikono wamemvisha tairi wamemchoma moto 😭😭😭😭😭 .

Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine, baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hata sisi kuna mgonjwa wa akili mtaani kwetu na yeye ni hivyo hivyo anawatishia binti zetu kuwabaka...unawatolea boro lake anawakimbiza..tushawaambia ndugu zake hawaskii sasa naona na yeye moto unamuita.
 
hii kitu ya kujichukulia sheria mkononi ni ushetani na upumbavu mtupu. Serikali iweke sheria za kunyongwa mpaka kufa kwa wote wanaojichukulia sheria mkononi.

kuna jamaa alienda kumtembelea mwanachuo aliyekuwa demu wake. Akakuta meseji za wanaume kwenye simu aliyomnunulia huyo demu wake.

Sasa jamaa akamaindi kuwa hakumnunulia simu ili amsaliti na kuanzisha mahusiano na wanaume wengine kupitia simu aliyomnunulia.

Ikabidi jamaa ampokonye demu ile simu kwanguvu, maana ni yeye aliyemnunulia. Wacha jamaa apigiwe kelele za mwizi, aliitwa mwizi,

raia zilikuja kumshambulia fasta na kumchoma moto mpaka kafa. Ukweli ulijulikana haraka, na yule demu alikimbia na kuacha chuo. Watu wakabaki kulaani tuu.
 
Enzi hizo bado usafiri ulikuwa ni wa baiskeli (baiskeli za kukodi saa shilingi 100)! Hizo ndiyo zilikuwa boda boda zetu.
Na kuhusu pikipiki za honda CG 125, hizi zilianza kutamba kuanzia miaka ya 2004 na kuendelea!

Na kwa upande wa boda boda, hizi zilianza mwishoni mwa mwaka 2000! Sasa anaposema mwaka 2000 wezi walienda kwake kwa bodaboda! [emoji848] Wahenga tunabakia tu kushangaa!
2000 hakukua na bodaboda....
 
Na inawezekana watu walimtumia kufanya uhalifu( hao waliokuwa nae tangu apotee) all in all sababu hayuko sawa, walitakiwa wasimpige kabisa,.
This is also possible na hivi hana utashi wala akili za kufikiri anafanya tu.
 
Naomba tu nimpe pole mleta mada.

Na pia nikiri kwamba nishawahi kukoswa kuuawa kwa style hii.

Ilikua hivi mwaka jana nilikua maeneo flani yanaitwa Kisemvule kuna bar moja hv ni maarufu sana eneo lile, nikiwa napata maji mida kama ya saa sita hivi nikamwita boda boda aje kunipeleka mbagala.

Sasa wakati nasubiria boda ghafla akaja mlinzi akaniambia boda amefika yupo nje ile natoka nakuta ugomvi getini kumbe kweli alikua yule boda ila alipofika getini akakutana na demu wake yupo na wachina wameshamlewesha wanahama naye bar wakajipigie mzigo, boda ndio kuanza ugomvi nao.
Nikaamua kuingilia kati wachina walikua tayari washamzidi boda. Bahati nzuri kidogo hii michezo namshukuru marehemu baba yangu alituacha pazuri, kidogo naimudu.
Nikafanikiwa kuwachezesha wachina wale, sasa mmoja akawa amepasuka sana usoni, kumbe wakati ugomvi unaanza kuna mswahili alienda Kuwaita washkaji wa wale wachina wanaofanya nao kazi kiwandani.
Kwa vile mimi nilikua mgeni maeneo yale nikaamua kusepa kimafia kwa kupitia uchochoro sasa kumbe kuna jamaa kaniona ile nakatiza tu uchochoro kaniitia Mwizi, wale wachina na washkaji zao waliokuja wakaanza kuniungia kwa kelele za mwizi mwizi aisee kilichoniokoa ni timing niliyofanya ya mtu wa kwanza kuja kwenye uchochoro kumzimisha kwanza , bahati nzuri mbele nikaona msikiti nikakimbilia msikitini ndio pona yangu la sivyo nilikua nakufa kizembe kweli kweli na bahati mbaya zaidi nilishapiga kinywaji hivyo hata balance ilikua inapungua kujihami.

All in all tusikimbilie kupiga na kuua mwizi kama hujaona kweli Ameiba au lah.
 
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu.

Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga wamemfunga mikono wamemvisha tairi wamemchoma moto 😭😭😭😭😭 .

Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine, baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nipo sumbawanga nipe dili ntulipize kisasi, mmoja mmoja anapotea
 
Kaka,
Hicho kipimo Cha kumpima mtu huo utimamu wake wa akili usiku wa manane na nmeshamkamata ready handled na mali yangu kaniibia nakipata wapi?

Hebu vingine jiongeze mwnyw, ungelikua wee unafanyaje?
labda ipatikane story ya upande wa pili mkuu maana hata mahakamani ikiwa proven kuwa mtu hakuwa katika right mind wakati akifanya lolote. kumfunga ni ngumu
 
Mwaka Jana TU nmepigwa matukio 2 ya uhalifu (moja dukani na jingine goddown), la dukani mlinzi wangu kapigwa Shaba kauwawa palepale.

Mwaka 2008,
Kijana wangu mmoja akipeleka pesa nbc alitekwa na majambazi wakamnyanganya pesa na kwenda kumtelekeza Chamazi

Mwaka 2005,
nmewai fatwa hotel na majambazi, nikajeruhiwa mguu wa kushoto na jambazi na wakachukua pesa wakaondoka .

2000,
Nmefatwa nyumbani na majambazi wakanikosa na kuijeruhi familia yangu wakiilazimisha iseme nilipo.
Alhamdullillah nilishapata tip kwa bodaboda mmoja nikaenda kulala gesti badala ya nyumban usiku ule.

Naanzaje kwamfano kuwaonea huruma wezi[emoji3525]
Liongo tu wewe

Mwaka 2000 kulikua na bodaboda au unataka uonekane una hasira na wezi

Liongo tu
 
We mzee hebu acha kuniokota basi...huu mwaka hakukuwa na bodaboda
Zilikuepo sana chief,
Sema unofficial, bodaboda walikua watumia Sana zile Honda cd125 kubeba abiria ila kwa kufukuzana sana na askali fieldforce wakikutwa.

Vijana wengi Sana walikua vilema kwa kufukuzana na polisi, Nakumbuka nilimpoteza anko wangu pia kwa kupigwa virungu mpk kufariki.

Maana sheria ya usalama barabaran awamu hiyo ya mkapa ilkua inazuia chombo Cha tairi mbili kufanya biashara ya kubeba abiria, mpk pale ilipofanyiwa mabadiliko

Enzi hizo police wetu pia wanatumia gari ndogo za Hyundai kufukuzia na kuzidhibiti hao boda.
(Skuhzi Sijui zimepotelea wapi hizo gari)

Zile vuguvugu kwny kampeni za kikwete kuingia madarakani, na ndo awamu hiyo kikwete alipoingia madarakani bungen wakapiga kelele zikaruhusiwa rasmi Bila ulazima wa kuombea leseni.

Otherwise uwe labda ukua mfatiliaji
 
Enzi hizo bado usafiri ulikuwa ni wa baiskeli (baiskeli za kukodi saa shilingi 100)! Hizo ndiyo zilikuwa boda boda zetu.
Na kuhusu pikipiki za honda CG 125, hizi zilianza kutamba kuanzia miaka ya 2004 na kuendelea!

Na kwa upande wa boda boda, hizi zilianza mwishoni mwa mwaka 2000! Sasa anaposema mwaka 2000 wezi walienda kwake kwa bodaboda! [emoji848] Wahenga tunabakia tu kushangaa!
Soma vizur nilichoandika kwny comment,
Boda boda ndo alinipa tip na sio kwamba walikwenda na bodaboda mzee mwenzangu[emoji4]
 
Back
Top Bottom