#COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

Hii kitu ni kweli.....

Wasio na ushuhuda basi tunawakumbusha juu ya kuendelea kuchukua HATUA STAHIKI ikiwemo KUCHANJA/KUCHANJWA.....

#TujitokezeniKuchanja
 
Pole Sana ila hii staili ya corona kuua kwa sasa bora kuchanja maana sasa unafariki ukiwa mzima
 
Mungu na sayans n vitu viwl tofaut. Ukiamua kufuata sayans fuata sayan, ukiamua kumfuata Mungu mfuate na uwe na iman yaan uachane na hizo mambo za uoga, ukiamua kumfuata Mungu na uuikane nafs yako na sio kuamn nusu nusu kuwa maji vugu,kwa hil ndpo watu wanafel, kama nchi imeamua kufuata iman na wafuate bila mikanganyo, nakama wameamua kufuata sayans wafuate kwel kwel bila kupuuza kitu, na ndpo ugunu ulipo
 
CHANJO muhimu kaka....

Wengine tumeguswa na wagonjwa hao.....

Inashangaza sana kuona baadhi yetu tunafanya maskhara.....😲😲

Suala la ugonjwa huu laelekea mwisho.

 
Kati ya kosa alilofanya n kwenda hospitali, ukiukwaa kaa home, jidisconnect na ulimwengu halafu assume ni tatizo la kawaida! Mm kama mm nimeupata nisave kwa namna hiyo lkn n maumivu yasiyoelezeka! Poleni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…