nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda unamaanisha wachina
Yenyewe hiyo, delta one mkuu, uchovu, kuharisha, kutapika,koo kuuma,,Poleni sana, leo mimi najisikia ovyo kweli nimetapika angalau najisikia nafuu sijui ndiyo yenyewe dah
Sayansi ilitumika kuchapisha Biblia, kujenga makanisa, kusafirisha waumini na wachungaji, vipaza sauti, vyombo vya muziki etc...Mungu na sayans n vitu viwl tofaut. Ukiamua kufuata sayans fuata sayan, ukiamua kumfuata Mungu mfuate na uwe na iman yaan uachane na hizo mambo za uoga, ukiamua kumfuata Mungu na uuikane nafs yako na sio kuamn nusu nusu kuwa maji vugu,kwa hil ndpo watu wanafel, kama nchi imeamua kufuata iman na wafuate bila mikanganyo, nakama wameamua kufuata sayans wafuate kwel kwel bila kupuuza kitu, na ndpo ugunu ulipo
Nimeona hiyo clip daaah covid sioLeo kwenye group la whatsapp la famila ya wife, huko Rombo jana padri alifanya misa ya pamoja ya watu 10, Jamani hii kitu ni serious
Alivyo kuwa akisema Freeman Mbowe tena akitoa mifano hai kuanzia Mwanawe Dudley na hata karibuni tu alivyo zungumza kumpoteza Kaka yake Charles Mbowe na kuomba taifa lichukue tahadhari,alidhihakiwa sana tena humu humu kwa wana JF wenzetu, anyway MUNGU atuvushe na kutunusuru katika janga hiliKaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu
Ukishaondokewa na mtu wako wa karibu basi hizi akili zako za panya zitakaa sawa.Ukijisikia kuchoka unapelekwa hospitali ?
Stori nyingine ni kamba mwanzo mpaka mwisho
Sungwi juuUyole huku tunazika daily afu bado watu hawasanuki yaan.Daaa
Nah !!Yaani hii kitu ni bonge ya SILENT KILLER..
Pole sana huko Hai hali ni mbaya sana.. Ibada moja misiba 9Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Mkuu hii ya sasa imekuja kivingine nimempoteza mdogo wangu wiki iliyopita dada wa miaka 40 Hana sukari Wala HIV She was health aliwekewa oxygen siku 2 tu na nilikuwa nae emergency siku zote hizo tunazungumza anakula lakini alizidiwa ndani ya dk tano tu na kufariki.Huyo alikua na magonjwa mengine either kisukari au HIV,