chrisbleez
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 752
- 1,239
Unaona sasa[emoji849]hizi ndio hofu tunazozizungumzia kama kila mtanzania atakuwa akihusisha kila uchovu na kujiskia vibaya ni corona tutapoteza watu wengi mno nachukia sana ninapoona watu tunapeana hofu na kukuza hizi habari.Poleni sana, leo mimi najisikia ovyo kweli nimetapika angalau najisikia nafuu sijui ndiyo yenyewe dah