#COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

#COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

Katika watu bado wabishi kuamini ili gonjwa lipo na linakata watu ni wasukuma jamani.nipo nao kanda ya ziwa ukimwambia ukweli hana kuambia angekuwepo magufuli haya yote yasingekuwepo [emoji23].
Sasa gonjwa linasubiria mtu
Usiwadharau ninawaona bado wanahoja ya msingi,kama utakumbuka vizuri wakati wa uhai wa mwendazake kulikuwa na kaukimya kuhusu corona na shughuli ziliendelea kama kawaida hivi unataka kuniambia ule ugonjwa haukuwepo ama na wewe wakati ule mliungana kusema mungu amesikia maombi yetu?kibaya ni kukubali kuishi kwa hofu hofu ni mbaya sana na ndio inayouwaaaaaaa
 
Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.

Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.

Hakika ni majonzi makubwa.

He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Kwahiyo kilichomuua ni ile knowledge ya kwamba ana Corona, na si Corona, sivyo?
 
Kaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.

Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.

Hakika ni majonzi makubwa.

He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Kila kifo kitasinyiziwa ni corona. Kajipeleka mwenyewe na alipobiwa ana korona mshtuko ukammaliza.
 
Are you under age?!!!

Masihara mpaka katika mambo ya kweli na ya kusikitisha 😲😲

Endelea kutucheka tuliopata mabalaa hayo......
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Pole sana mkuu. Tujilinde bila kusahau kutumia vitu vitavyozidi kutuongezea kinga ya mwili.
Ukiweza kama ni chanjo chanjweni.

Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Poleni. I feel your pain. It is sad. Chanjo ikitufikia tuchanjwe. Na tahadhali pia tuchukuwe. Na Mungu pia tuzidi kumwomba.
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Poleni sana, leo mimi najisikia ovyo kweli nimetapika angalau najisikia nafuu sijui ndiyo yenyewe dah
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Uyole huku tunazika daily afu bado watu hawasanuki yaan.Daaa
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Pole sana mkuu. Kasema SSH wanaobeza jitihada za huu ugonjwa ni vile hawajaguswa.

Tupate chanjo wakuu ugonjwa udhibitiwe kwanza.

Mengine baadaye.
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
CHANJO muhimu kaka....

Wengine tumeguswa na wagonjwa hao.....

Inashangaza sana kuona baadhi yetu tunafanya maskhara.....😲😲
Utakufa kwa hofu zako mjinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yako.
 
Hii kitu ni kweli.....

Wasio na ushuhuda basi tunawakumbusha juu ya kuendelea kuchukua HATUA STAHIKI ikiwemo KUCHANJA/KUCHANJWA.....

#TujitokezeniKuchanja
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Pole sana. Tatizo huu ugonjwa unaondoa watu kimzaha mzaha matokeo yake watu wanaupuuza. Mtu anaanza kuumwa kama utani vile unasikia kesho yake kaondoka. Nimepoteza mjomba wangu mpendwa wiki hii kimchezo mchezo tu

Tukachanjeni wandugu. Bora kuchanja mapema jamani before it's too late

Majuto mjukuu
Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!

Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
 
Hii kitu ni kweli.....

Wasio na ushuhuda basi tunawakumbusha juu ya kuendelea kuchukua HATUA STAHIKI ikiwemo KUCHANJA/KUCHANJWA.....

#TujitokezeniKuchanja

Sawa mkuu nikichanja sitoweza pata korona tena au kufa na korona? Swali tafadhali...

Na je maradhi mengine hayaui sasa hivi?
 
Mungu na sayans n vitu viwl tofaut. Ukiamua kufuata sayans fuata sayan, ukiamua kumfuata Mungu mfuate na uwe na iman yaan uachane na hizo mambo za uoga, ukiamua kumfuata Mungu na uuikane nafs yako na sio kuamn nusu nusu kuwa maji vugu,kwa hil ndpo watu wanafel, kama nchi imeamua kufuata iman na wafuate bila mikanganyo, nakama wameamua kufuata sayans wafuate kwel kwel bila kupuuza kitu, na ndpo ugunu ulipo

[emoji1374]. Mungu akubariki. Umenena Hekima tu..
 
Back
Top Bottom