Huyu mdudu ni kama zimwi mkuu, anapiga mahali anapotaka yeye kwa wakati unaomfaa yeye...Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!
Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Kuchanja hakuna maana hutopata tena CORONA...Sawa mkuu nikichanja sitoweza pata korona tena au kufa na korona? Swali tafadhali...
Na je maradhi mengine hayaui sasa hivi?
Sawa mkuu.....Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!
Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Unayarudia maneno haya kila comment ,hwenda huna ndugu ,rafiki Wala jirani aliyepata UVIKO/KUFA KWA UVIKO....Mnakufa kwa hofu zenu wajinga!
Machinga wa Kariakoo, Makondakta, bodaboda wangekuwa wanapukutika kama wangekuwa na mihofu kama yenu.
Poleni sana. It painsKaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa.
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
So sadKaka yangu kafariki jioni hii kwa covid 19 hospital ya Bugando Mwanza hakika ni majonzi makubwa sana.
Alifikishwa hapo kwa matatizo ya uchovu tu na kwenda kucheki na hakupelekwa na mtu alienda akiendesha gari yake mwenyewe ila badae walimpima na kukuta ana corona akawekwa pale toka juzi Leo kazidiwa mchana Leo na jioni amelala akiwa bado ajawekwa kwenye oxygen.
Hakika ni majonzi makubwa.
He was a really man ameacha watoto wadogo na mke very sad indeed.
Sasa pneumonia na corona wapi na wapi?Mkuu, mimi nimepata hii kitu. Niliumwa homa kwa wiki nzima, siku ya 9 miguu ikaanza kuvimba moyo kwenda mbio na Kukosa nguvu, wife wangu ni daktar alipoona hivo akasema Twende hospital, kutoka nyumban mpaka Agha Khan mjini niliendesha mwenyewe gari. Nimefika pale Nipo na uchovu haswaaa na moyo kwenda mbio, kuchek SPO2 tayari ishashuka to 90%, pia breathing ipo ya fasta fasta . X-ray ikaonyesha mapafu yote yana pneumonia na pia CRP ipo juu. Nikalazwa na ikalazimu kuwekwa kwa Oxygen. Aisee nakuambia isikie Corona kwa watu, usiombe yakukute.
Urongo mtupuSana yaan ukipata huu ugonjwa mwili unavyoreact usiombe, mm nlipata ile ya wimbi la pili lakin Mungu ni mwema niliishinda!! [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Ujinga mtupu!Baba, mama, kaka na shemeji toka juzi nahangaika nao na wana dalili zote za corona
Kuhusu waliochanja na bado wakapata; Kiutaalamu kuna Kitu kinaitwa seroconversion,
Dalali wa chanjo kazini.my relative ametumia zaidi ya milioni 7 ICU akiwa kwenye oxygen support hospitali.tupate chanjo ndugu zangu.
Mkuu vipimo vya Corona vilifanyika na majibu yalikuwa positive.Sasa pneumonia na corona wapi na wapi?
Wewe umeambiwa una pneumonia, lakini unang'ang'ania una corona!!
Yaanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nina Imani medicine siyo fani yako. Hivo una haki ya kubisha kwa sababu hujui na hujapenda kujua.Sayansi za kihuni hizi ambazo matapeli wa chanjo wanazipenda sana.
Hakuna cha seroconversion wala nini!!
Uhuni mtupu
Acha kutuchekesha msibani hauoni tuna majonzi ya kaka.Ukimchoma chanjo itakuwaje hawezi amka
kwan ukichanjwa huuguwi? na balakoa huvai? na je huambukiz? maana kama nilisikia hata kama umechanjwa lazima uvae barakoa na kama kuambukizwa utaamubukzwa tu!!sasa kuna maana gan ya kuchanjwa,,, off couse ni hiari ya mtu!!Pole Sana ila hii staili ya corona kuua kwa sasa bora kuchanja maana sasa unafariki ukiwa mzima
sahih bossUnaona sasa[emoji849]hizi ndio hofu tunazozizungumzia kama kila mtanzania atakuwa akihusisha kila uchovu na kujiskia vibaya ni corona tutapoteza watu wengi mno nachukia sana ninapoona watu tunapeana hofu na kukuza hizi habari.