Nisamehe lovie si kwamba nimeanza siasa kali hapana laaziz
Nimesema kwa kuwa nimewaona wengi wanafanya ya hivyo nikadhani inaruhusiwa kumbe wafanyao ni mahulka yao tu!!
Mie wangu alitoka na mtoto wa mjomba wake kabisa!! au ndo mambo ya Binamu nyama ya hamu?
Gumu zaidi ni lipi? kuoana au kufanya mapenzi? Mtu mwingine atakurupuka na kusema "kuoana"! Ni sawasawa na mtu anayeshtushwa kusikia ati mtu kaukatakata mwili wa mtu vipande vipande baada ya kumuua. Ukiuliza kipi kimekushtusha zaidi anasema "ni huo unyama wa kuukatakata mwili vipande"!
Kariri neno hili la hekima: "ukishavunja mwiko, mengine yote yanakuwa halali"!
Tumsaidieni huyu dada jamani....
Aksante kaka mimi nimeuliza hapo mwanzo the same. Kama alishakosea kwa kufanya mapenzi na huyo kakie na hakuuliza kwa nini aulize sasa? je akiambiwa ni dhambi atafanyaje wakati alishafanya hizo mara kadhaa?

Yani hata kuwaza tunawaza sawa? dah!Atatubu na hatarudia tena.
Then atatafuta mwenye uhalali wa kumuoa.
Hapa babuyo niko kimaadili na kidini zaidi. Si KiMILA.
mwanajamii.....aya ushaiona haijakataza kuoana binadamu. Uislam umempa fursa muumini wake kula nyama ya hamu 😀
by the way .....ukiristo umekataza kwa aya gani kuoana binaamu?
Heshima yako Babu yanguAtatubu na hatarudia tena.
Then atatafuta mwenye uhalali wa kumuoa.
Hapa babuyo niko kimaadili na kidini zaidi. Si KiMILA.
Mimi ni msichana wa miaka 23, nina kaka yangu baba mmoja na mama tofauti. Yeye ananipenda na mimi nampenda na tumekwisha wahi kufanya mapenzi mara kadhaa. Yeye ameahidi kuwa atanioa. Sisi ni Waislamu, je ni sawa tunachokifanya kama sio sawa tufanyeje?"
Heshima yako Babu yangu
Ni kweli kabisa atafanya toba na atasamehewa hilo silipingi jkinachonishangaza ni kuwa yeye haoni kama ni dhambi kuzini na kakie wala uwoga ila hiyo dhambi na uwoga unakuja pale anapotaka kuhalalisha ndoa?
Imani huja kwa kusikia neno la Mungu.Ukimueleza kuwa ni dhambi atasikia na kuelewa.then atatubu.Heshima yako Babu yangu
Ni kweli kabisa atafanya toba na atasamehewa hilo silipingi jkinachonishangaza ni kuwa yeye haoni kama ni dhambi kuzini na kakie wala uwoga ila hiyo dhambi na uwoga unakuja pale anapotaka kuhalalisha ndoa?
Wadau; nawatoa tu nje ya topic, nina swali gumu sana:
Mungu aliwaumba Adam na Hawa. Wakamzaa Cain na Abel, then Cain akamwua Abel. Lakini tunaambiwa Cain alikuwa na Uzao. Je Alizaa na nani?
Mama yake? Dada yake? Na kama ni hivyo, ilikuwaje?
waendelee kumegana lakini wasioane nikosa kwa sheria etu
That is incest! It is againist God and all religion! soma hapa
"Cursed is the man who sleeps with his sister, the daughter of his father or the daughter of his mother." Then all the people shall say, "Amen!" Deuteronomy 27:22.
It is againist all African cultures, it pervet, crooknedness. it is nasity, How can you even think of that filthy act.
kwani wakati wanamegana hawakujua kwamba wao ni ndugu?
utakuta bado wanaendelea kuvunja amri ya 6 tu!
Gumu zaidi ni lipi? kuoana au kufanya mapenzi? Mtu mwingine atakurupuka na kusema "kuoana"! Ni sawasawa na mtu anayeshtushwa kusikia ati mtu kaukatakata mwili wa mtu vipande vipande baada ya kumuua. Ukiuliza kipi kimekushtusha zaidi anasema "ni huo unyama wa kuukatakata mwili vipande"!
Kariri neno hili la hekima: "ukishavunja mwiko, mengine yote yanakuwa halali"!
Uzuri ni kwamba Dhambi hata utende kubwa vipi ukitubu unasamehewa."dhambi zako zijapokuwa nyekundu kuliko damu nitakusafisha uwe mweupe kuliko theluji"-Isay1.Kinachotakiwa ukitubu usitende dhambi tena.
Mimi naona kama walishafanya mapenzi wanaweza kutubu na wakaacha kabisa,lakini wakioana hapo itakuwa ngum zaidi.
waendelee kumegana lakini wasioane nikosa kwa sheria etu