BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papapo imbombo nkhafu mnyambala ughwe.Ipo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Zinaa na uasherati ni haramu, angemuoa tu kihalali.Ipo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Hakuna shida hapo. Maana huyo mama mdogo wenu n ukoo mwingine kabsa na nyie. Kikubwa jamaa atunze vizur Mtoto wake. Zote zafananaIpo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Ikyo kighuneIpo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Nilivyo fahamu hii stori ni Ndugu wa mkewe baba yao mdogo sio mdogo wa mama yao.Mama mdogo ni nduguu, maana unaweza nyonya ziwa lake, pindi mama mzazi akiwa hayupoo!! Kosa kubwa hili.
Hamna undugu paleWala haina shida, ungejua mila za kinyakyusa miaka 50 tu nyuma ungezimia.
Ilikuwa hivi, kama baba yako akifariki basi unarithi mali zake zote pamoja na wake zake wadogo (wazee walikuwa na wake wengi).
Hao wake wadogo unazaa nao kabisa, lakini watoto wanahesabiwa kuwa wa baba yako, yaani wanakuwa wadogo zako kimila japo ni wa kwako kabisa.
Hii ilikuwa pia kwa wake za kaka zako. Japo mwanamke alikuwa na uhuru wa kukataa ila wengi walikuwa wanakubali.
Sasa huyo unayemwita mama mdogo wala hamna undugu naye wa damu, acha bro ale mema ya nchi.
Haina shida huyo mwanamke siyo ndg yake kumbuka ni shemeji wa baba yaenu mdogo kiukoo,kujipigia au kuoa ni ruksa tu hakuna mwiko hapo mkuuIpo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Huu ni uwongo kiongoziIla Wanyaki hawajuagi kuchagua, hata ndugu unakuta wanakulana🙌
Tafuteni dawa muwaogeshe hao ndugu zenu, vinginevyo msishangae miaka ya mbele kujirudia Kwa watoto wenu kuendelea kupigana miti
Sio kweli. Hakuna kabila inayothamini nasaba kama Wanyakyusa.Ila Wanyaki hawajuagi kuchagua, hata ndugu unakuta wanakulana🙌
Tafuteni dawa muwaogeshe hao ndugu zenu, vinginevyo msishangae miaka ya mbele kujirudia Kwa watoto wenu kuendelea kupigana miti
Utakuw hujaisoma vizuri sinarioMama mdogo ni nduguu, maana unaweza nyonya ziwa lake, pindi mama mzazi akiwa hayupoo!! Kosa kubwa hili.