Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

Ipo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Hakuna shida hapo, hakuna undugu wowote.
 
Mama mdogo ni nduguu, maana unaweza nyonya ziwa lake, pindi mama mzazi akiwa hayupoo!! Kosa kubwa hili.
Kama umesoma vizuri utagundua hakina tatizo isipokua kwa mke wake tu.

Ingekua shida kama angekua mdogo wa mama yake mzazi, sio kwa alikoolea baba yake mdogo.
 
Unajuà Kuna undugu mwengine ni wa mbali sana ndomana mi naona watu ambao siezi kusex nao ni wale nliohusika nao kwny uzazi Yani walionizaa(mama) nliozaliwa nao tumbo Moja na nliowazaa( watoto wangu wa damu). Hao wengine ikitokea la kutokea binamu kajipendekeza napita nae.
 
Sasa mfano baba alizalisha katika mikoa tofauti ntaweza kujua km uyo ni ndugu yangu? Lkn uliozaliwa nao na mama mmoja lazima utawajua mana mama atakwambia ndugu zako wote uliozaliwa nao mana baba hawez kukuambia kwamba alizaa mtoto sehem flani
 
Bro alipewa penzi ambalo hajawahi kulipata tangu abalehe akaona si mbaya aweke na alama kabisa ya kiumbe ili ajimilikishe hhahhahahh!
 
Back to your question kuhusu mila za kinyakyusa hilo halina shida kabisa. Kama kweli kaka yako amedhamiria kumfanya yule mke wake aweke tu utaratibu mzuri, aite wanafamilia na aseme kilichotoke na dhamira yake wala hatopingwa maana huo undugu haupo.
 
Lwangwa
Itete
Manow
Mbambo
Lufilyo
Mzalendo

Lazima wawashangae. Mmepiga shemejiake na baba yenu kabisa. Wale wanyakyusa kule wataona ajabu sana na hivi kiswahili hawaongei.
Japo undugu upo kwa mbali sana ila kiheshima kaka yenu kazingua.
Mjisalimishe mapema kwa baba mdogo na mashangazi muone mnaliwekaje
 
Mkuu nimelipenda jina lako
 
Nilivyo fahamu hii stori ni Ndugu wa mkewe baba yao mdogo sio mdogo wa mama yao.
Kimsingi anazungumzia umama mdogo wa heshima na sio wa damu. Hakuna uhusiano wa damu baina yao isipokuwa wa kifamilia unaotokana na muunganiko / daraja kati ya baba mdogo kwa upande wao na mkewe kwa upande wa huyo mwanamke.

Kwa jamii nyingi sio jambo lisilokuwa la kawaida ndugu kuoa au kuolewa kwenye familia moja but level moja ya kizazi. Shida ni ambaye kifamilia ni baba automatically mke wake kifamilia ni level ya mama wewe kwenda kuoa mdogo wake (mama) - level tofauti za vizazi. Hili ndio linamtesa mleta mada.

Kwa jamii zinazozingatia mahusiano kwa mtizamo wa aina hiyo, na sio kwa damu tu, hili sio dogo!
 
Unajuà Kuna undugu mwengine ni wa mbali sana ndomana mi naona watu ambao siezi kusex nao ni wale nliohusika nao kwny uzazi Yani walionizaa(mama) nliozaliwa nao tumbo Moja na nliowazaa( watoto wangu wa damu). Hao wengine ikitokea la kutokea binamu kajipendekeza napita nae.
Binamu ni first cousin mzee; you share a common anccestor level 1 - your grand parent! Never do that!
 
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma , baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko tukuyu busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji ,sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania mmoja kaolewa zambia na mwingine yupo zake uingereza kwa miaka mingi sasa,..... Baada ya kupewa mji tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa kwa hali ulivyo itakuwa ngumu sisi kurudi tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi, so management ya tukuyu itakuwa technically taff, kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo( baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi mbeya mjini na kajipata sana, baada ya kumsihi sana akatupa option kuwa mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike ( mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini ). Tukamuomba basi yeye ndiye akae pale ,kweli akakubali, so akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini.(lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa) Shida ilianzia hapa mwaka 2022 kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini , kweli tulienda tukaa tukaona mazingira sio rafiki sana so tukazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa , kweli tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023 , tukawa tumechangishana na kaka yangu tuliyefuatana akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu, basi ilipofika December akashuka kule tukuyu na mafundi wake Toka dar , kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings ** kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale , what happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba ,aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za bros hazipo sawa , shemeji kaniambia ukweli , nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haonni shida n kaniambia atamfanya yule mwanamke mke mdogo atamuacha pale na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa , hapa tupo njia panda tunafanyaje , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje, wale ndugu zetu kule kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua, je baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani na je kwa mila za kinyakyusa Hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa
Hakuna wa kuwaloga isipokuwa ni jambo la fedheha kwa mhusika.

Nyinyi wengine halihusiani na nyinyi
 
Sema mshukuru huyo broo wenu kaundeleza huo mji uliotelekezwa kijanja maana hapo pataendelezwa ukoo wenu
 
Wadada wa Wakinyakyusa Wana style Moja inaitwa "kwepa bomu" yaani anainama alafu kichwa chake anakifunika na shuka anakuachia kiwiliwili uhangaike nacho😋.
All in all kitakacho watenganisha mamdogo wko na kaka yko ni kifo.
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom