Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watatu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania. Mmoja kaolewa Zambia na mwingine yupo zake Uingereza kwa miaka mingi sasa

Baada ya kupewa mji Tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa, kwa hali ilivyo itakuwa ngumu sisi kurudi Tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani Njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi na mimi nipo jombe kwa kulazimika kusimamia biashara na shughuli alizokuwa anafanya mzee, ukitoa makaburi ya babu, bibi ,baba na ndugu wengine waliozikwa pale hakuna kingine , hata ukisema ufanye shughuli za kiuchumi kule tukuyu kupo slow sana Wana ardhi ndogo hata Heka 20 hazifiki, so management ya Tukuyu itakuwa technically tuff,

Kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo, huyu baba yetu mdogo ameishi na marehemu baba yetu na kusomeshwa ( mahusiano ya baba yetu mdogo na sisi yapo hivi " ukitoa kusomeshwa,kutolewa mahari na baba nk pia baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu mdogo alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi Mbeya mjini na kajipata sana na hayupo interested na maisha na mifumo ya tukuyu.
Baada ya kumsihi sana baba mdogo kuwa yeye ndiye apokee kijiti Cha marehemu baba ( kuwa incharge wa ule mji) alikataa kabisa ila akatupa option kuwa Mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike (mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini labda ndiye akae pale na sisi still tutakuwa ndio wahusika wa mji ule , tunatakiwa tujihusishe na tamaduni za kule kuchangia misiba, kutembelea ule mji ,kusalimia majirani, kuendeleza ule mji kwa kupanda mazao kama parachichi migomba nk ili tu pasipotee ). Kweli baba mdogo akamuomba yule shemeji yake ( kiheshima ni mama mdogo kwetu ukizangatia ni shemeji yake baba mdogo na ukaribu wetu na baba mdogo ni mkubwa sana) Tunashukuru alikubali na ukizingatia yeye ni mzawa wa tukuyu ( sehemu kunaitwa masoko)

Kweli Akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini (lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa)

Shida ilianzia hapa mwaka 2022, kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini, kweli tulienda tuka kaa pale, tukaona mazingira sio rafiki sana( nyumba za kizamani , eneo kubwa ni vichaka ) so tukaazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa na tufungue shamba, Tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023

Kabla ya December Tulikuwa tumechangishana pesa inayotosha kumalizia Kuta na kupaua nk , ilipofika October kaka yangu tuliyefuatana alisema amechoka na pilika za mjini so December ataenda tukuyu kama sehemu ya mapumziko yake na akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu( binafsi nilifurahi sana kwa sababu 1. Muda wa kwenda tukuyu nilikuwa Sina) , basi ilipofika December akashuka kule Tukuyu na mafundi wake Toka dar, kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings. Kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale

What happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba, aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za broo hazipo sawa, shemeji kaniambia ukweli, nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haoni shida yoyote Wala haonekani kujali na kibaya zaidi nilipo jaribu kumuliza alikubali na akanihidi atamfanya yule mwanamke mke mdogo na eti itasaidia atakuwa anarudi kule tukuyu na kupita mara nyingi akitoka kwenye biashara zake .

Anadai Atamuacha pale yule mwanamke na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa, hapa tupo njia panda tunafanyaje, je yule mwanamke sisi tutakuwa tunamwitaje shemeji au mama mdogo kama tulivyozoea , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje? Wale ndugu zetu kule Kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua. Je, baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani, mke wa bab mdogo atakuwa anatufikiriaje je tutakuwa tunamwita mama mdogo au shemeji na kwa mila za Kinyakyusa hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa?
Mwanaume kama huna break maanake hujiheshimu ni sawa na inzi na inzi hajawahi kuwamsafi
Kuna nyege lakini sasa sio unakuwa kama inzi
 
Ok, ok,... Lkn sasa ifike mahal tukubaliane kuwa HIV si ugonjwa wa kisasa, 40yrs + sasa. Kama ni binadamu huyu atakuwa na wajukuu kabisa.
Ni kweli, maana tangu Mwaka 1987 uingie ni kipindi kirefu sasa
 
Acha uongo wewe, hao ni wanyakyusa wa wapi ambao walikuwa wanarithi mama zao? Au ndiyo historia za vilabuni baada ya pombe kukaa vichwani?
Halafu hivi unajua kiwa miaka 50 nyuma ni miaka ya 70 tu hapo ambapo kule tayari walishakuwa civilised kabla hata ya wakoloni kufika?
Hata ikitokea unasimuliee uee unajipa muda kutumia akili yako kutafakari ili uweze kuchuja.
Kwa ulichokiandika hapa naweza nikasema kitu pekee unachokijua kuhusu Wanyskyusa huenda ni Tulia Akson, Mwakyembe na Mwandosya na Maparachichi basi.
Huna ulijualo, pia inawezekana uwezo wako wa kusoma na kuandika ukawa na kikomo. Hakuna mtu alimrithi mama yake mzazi bali wake wadogo wa baba zao.

Mila za kinyakyusa zilikuwa hivyo, actually sio wanyakyusa pekee bali ni makabila mengi ya Afrika.

Inawezekana wewe ni mtoto wa juzi hauyajui mengi.
 
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watatu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania. Mmoja kaolewa Zambia na mwingine yupo zake Uingereza kwa miaka mingi sasa

Baada ya kupewa mji Tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa, kwa hali ilivyo itakuwa ngumu sisi kurudi Tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani Njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi na mimi nipo jombe kwa kulazimika kusimamia biashara na shughuli alizokuwa anafanya mzee, ukitoa makaburi ya babu, bibi ,baba na ndugu wengine waliozikwa pale hakuna kingine , hata ukisema ufanye shughuli za kiuchumi kule tukuyu kupo slow sana Wana ardhi ndogo hata Heka 20 hazifiki, so management ya Tukuyu itakuwa technically tuff,

Kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo, huyu baba yetu mdogo ameishi na marehemu baba yetu na kusomeshwa ( mahusiano ya baba yetu mdogo na sisi yapo hivi " ukitoa kusomeshwa,kutolewa mahari na baba nk pia baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu mdogo alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi Mbeya mjini na kajipata sana na hayupo interested na maisha na mifumo ya tukuyu.
Baada ya kumsihi sana baba mdogo kuwa yeye ndiye apokee kijiti Cha marehemu baba ( kuwa incharge wa ule mji) alikataa kabisa ila akatupa option kuwa Mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike (mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini labda ndiye akae pale na sisi still tutakuwa ndio wahusika wa mji ule , tunatakiwa tujihusishe na tamaduni za kule kuchangia misiba, kutembelea ule mji ,kusalimia majirani, kuendeleza ule mji kwa kupanda mazao kama parachichi migomba nk ili tu pasipotee ). Kweli baba mdogo akamuomba yule shemeji yake ( kiheshima ni mama mdogo kwetu ukizangatia ni shemeji yake baba mdogo na ukaribu wetu na baba mdogo ni mkubwa sana) Tunashukuru alikubali na ukizingatia yeye ni mzawa wa tukuyu ( sehemu kunaitwa masoko)

Kweli Akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini (lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa)

Shida ilianzia hapa mwaka 2022, kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini, kweli tulienda tuka kaa pale, tukaona mazingira sio rafiki sana( nyumba za kizamani , eneo kubwa ni vichaka ) so tukaazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa na tufungue shamba, Tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023

Kabla ya December Tulikuwa tumechangishana pesa inayotosha kumalizia Kuta na kupaua nk , ilipofika October kaka yangu tuliyefuatana alisema amechoka na pilika za mjini so December ataenda tukuyu kama sehemu ya mapumziko yake na akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu( binafsi nilifurahi sana kwa sababu 1. Muda wa kwenda tukuyu nilikuwa Sina) , basi ilipofika December akashuka kule Tukuyu na mafundi wake Toka dar, kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings. Kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale

What happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba, aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za broo hazipo sawa, shemeji kaniambia ukweli, nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haoni shida yoyote Wala haonekani kujali na kibaya zaidi nilipo jaribu kumuliza alikubali na akanihidi atamfanya yule mwanamke mke mdogo na eti itasaidia atakuwa anarudi kule tukuyu na kupita mara nyingi akitoka kwenye biashara zake .

Anadai Atamuacha pale yule mwanamke na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa, hapa tupo njia panda tunafanyaje, je yule mwanamke sisi tutakuwa tunamwitaje shemeji au mama mdogo kama tulivyozoea , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje? Wale ndugu zetu kule Kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua. Je, baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani, mke wa bab mdogo atakuwa anatufikiriaje je tutakuwa tunamwita mama mdogo au shemeji na kwa mila za Kinyakyusa hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa?
Heeeee hili zito aisee, ngoja nikae pembeni
 
uzinzi ukikomaa kwa mtu, mtu huyo anakuwa haoni aibu tena na anaona ni sawa hakuna shida..akili yake inakuwa haiko sawa kabisa. Pole sana, "ubhakolele abhakongwe"abhazee"" abha pabhusokelo ubhabhule bhantughashwe pasi"
 
Mkuu wala usiumize kichwa.Huyo mama mmempa mji na Sasa Mmempa Mtoto.Nafikiri Wazee wenu wa Kinyakyusa ndio wametaka iwe hivyo maana nyie mliukataa mji wenu.So Kiufupi wala usiumize kichwa.Kaka katimiza wajibu wake wa kuhakikisha mji haupotei.Uzuri hapo hakuna cha DNA MIX na wala huyo SIO mama yenu mdogo parse.Sioni Shida Hasa Ukizingatia sasa yule mama amepata mahali pa kutulia.Au mlita alete mume hapo kwenye mji wenu?
 
Mbona kama hakuna changamoto yoyote hapo? Nyie msaidie bro ili mke mkubwa akubali matokeo
 
Huna ulijualo, pia inawezekana uwezo wako wa kusoma na kuandika ukawa na kikomo. Hakuna mtu alimrithi mama yake mzazi bali wake wadogo wa baba zao.

Mila za kinyakyusa zilikuwa hivyo, actually sio wanyakyusa pekee bali ni makabila mengi ya Afrika.

Inawezekana wewe ni mtoto wa juzi hauyajui mengi.
Nani aliyeandika habari za mama mzazi? Mimi ninawaongelea haohao wake za baba, Wanyakyusa hawana huo utamaduni. Kama ulisimuliea hivyo basi uliingizwa chaka na wewe ukakurupuka na kama kwenye ukoo wenu iliwahi kukuyokeeni basi ni vilasna vyenu, inapotokea mna hiyo lasna halafu ni wanyakyusa usikimbilie kujumuisha kwamba eti ni tabia au utamaduni wa wanyakyusa. Nimezaliwa na kukulia Unyakyusani huna cha kunidanganya na ulichokiongea ndiyo kwanza nimekusikia kwako.
 
Nsni aliyeandika habari za mama mzazi? Mimi ninawaongelea haohao wake za baba, Wanyakyusa hawana huo utamaduni. Kama ulisimuliea hivyo basi uliingizwa chaka na wewe ukakurupuka na kama kwenye ukoo wenu iliwahi kukuyokeeni basi ni vilasna vyenu, inapotokea mna hiyo lasna halafu ni wanyakyusa usikimbilie kujumuisha kwamba eti ni tabia au utamaduni wa wanyakyusa. Nimezaliwa na kukulia Unyakyusani huna cha kunidanganya na ulichokiongea ndiyo kwanza nimekusikia kwako.
Umezaliwa lini? Waulize babu zako watakwambia! Unaonekana mtoto wa juzi.
 
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watatu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania. Mmoja kaolewa Zambia na mwingine yupo zake Uingereza kwa miaka mingi sasa

Baada ya kupewa mji Tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa, kwa hali ilivyo itakuwa ngumu sisi kurudi Tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani Njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi na mimi nipo jombe kwa kulazimika kusimamia biashara na shughuli alizokuwa anafanya mzee, ukitoa makaburi ya babu, bibi ,baba na ndugu wengine waliozikwa pale hakuna kingine , hata ukisema ufanye shughuli za kiuchumi kule tukuyu kupo slow sana Wana ardhi ndogo hata Heka 20 hazifiki, so management ya Tukuyu itakuwa technically tuff,

Kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo, huyu baba yetu mdogo ameishi na marehemu baba yetu na kusomeshwa ( mahusiano ya baba yetu mdogo na sisi yapo hivi " ukitoa kusomeshwa,kutolewa mahari na baba nk pia baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu mdogo alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi Mbeya mjini na kajipata sana na hayupo interested na maisha na mifumo ya tukuyu.
Baada ya kumsihi sana baba mdogo kuwa yeye ndiye apokee kijiti Cha marehemu baba ( kuwa incharge wa ule mji) alikataa kabisa ila akatupa option kuwa Mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike (mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini labda ndiye akae pale na sisi still tutakuwa ndio wahusika wa mji ule , tunatakiwa tujihusishe na tamaduni za kule kuchangia misiba, kutembelea ule mji ,kusalimia majirani, kuendeleza ule mji kwa kupanda mazao kama parachichi migomba nk ili tu pasipotee ). Kweli baba mdogo akamuomba yule shemeji yake ( kiheshima ni mama mdogo kwetu ukizangatia ni shemeji yake baba mdogo na ukaribu wetu na baba mdogo ni mkubwa sana) Tunashukuru alikubali na ukizingatia yeye ni mzawa wa tukuyu ( sehemu kunaitwa masoko)

Kweli Akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini (lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa)

Shida ilianzia hapa mwaka 2022, kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini, kweli tulienda tuka kaa pale, tukaona mazingira sio rafiki sana( nyumba za kizamani , eneo kubwa ni vichaka ) so tukaazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa na tufungue shamba, Tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023

Kabla ya December Tulikuwa tumechangishana pesa inayotosha kumalizia Kuta na kupaua nk , ilipofika October kaka yangu tuliyefuatana alisema amechoka na pilika za mjini so December ataenda tukuyu kama sehemu ya mapumziko yake na akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu( binafsi nilifurahi sana kwa sababu 1. Muda wa kwenda tukuyu nilikuwa Sina) , basi ilipofika December akashuka kule Tukuyu na mafundi wake Toka dar, kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings. Kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale

What happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba, aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za broo hazipo sawa, shemeji kaniambia ukweli, nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haoni shida yoyote Wala haonekani kujali na kibaya zaidi nilipo jaribu kumuliza alikubali na akanihidi atamfanya yule mwanamke mke mdogo na eti itasaidia atakuwa anarudi kule tukuyu na kupita mara nyingi akitoka kwenye biashara zake .

Anadai Atamuacha pale yule mwanamke na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa, hapa tupo njia panda tunafanyaje, je yule mwanamke sisi tutakuwa tunamwitaje shemeji au mama mdogo kama tulivyozoea , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje? Wale ndugu zetu kule Kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua. Je, baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani, mke wa bab mdogo atakuwa anatufikiriaje je tutakuwa tunamwita mama mdogo au shemeji na kwa mila za Kinyakyusa hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa?
kutifiki
acha wivu mkuu.
 
Kwani ni shido?
Mbona hamna undugu kabsa hapo? Hebu tulia kaka ale mema na nchi.
Muache awajibike na mke wake namna ya kumueleza kinachoendelea. So far we kula buyu.
 
Baba mdogo mwenyewe ni babu mdogo. Na mama mdogo ni mdogo wake mke wa baba mdogo wa babu mdogo. Hakuna shida hapo hata ndoa ya kanisani inaweza kufngwa kabisa.
 
Ilikuwa hivi, kama baba yako akifariki basi unarithi mali zake zote pamoja na wake zake wadogo (wazee walikuwa na wake wengi).

Hao wake wadogo unazaa nao kabisa, lakini watoto wanahesabiwa kuwa wa baba yako, yaani wanakuwa wadogo zako kimila japo ni wa kwako kabisa.
Nilisikia hii hata kwa masai inatumika
 
Wala haina shida, ungejua mila za kinyakyusa miaka 50 tu nyuma ungezimia.

Ilikuwa hivi, kama baba yako akifariki basi unarithi mali zake zote pamoja na wake zake wadogo (wazee walikuwa na wake wengi).

Hao wake wadogo unazaa nao kabisa, lakini watoto wanahesabiwa kuwa wa baba yako, yaani wanakuwa wadogo zako kimila japo ni wa kwako kabisa.

Hii ilikuwa pia kwa wake za kaka zako. Japo mwanamke alikuwa na uhuru wa kukataa ila wengi walikuwa wanakubali.

Sasa huyo unayemwita mama mdogo wala hamna undugu naye wa damu, acha bro ale mema ya nchi.
Hii ya wapi hii? Yaani mtoto unarithi wake wa baba yako? Au me ndio sijaelewa? Ninachojua baba mkubwa au baba mdogo ndio anaweza kurithi wake wa ndugu yake na akaendeleza uzazi! Ila sio mtoto,na hii ilikuwepo kwenye makabila mengi ila mambo ya HIV yalivyoingia ndio watu waka slow down na somehow wakazi abandon kabisa hizi mila! Kama ulisimuliwa kaulize vizuri mkuu
 
Afadhali wewe unazijua mila za kiafrika na unatambua kuwa tulizipa vita kutokana na janga la ukimwi.

Ninachokwambia hapo ni ukweli, wake wadogo wa baba walikuwa wanarithiwa vizuri kabisa na mtoto wa kwanza wa kiume.

Wazee walikuwa wanaongeza wake mabinti wadogo kuliko hata umri wa watoto wao.
 
Ipo hivi miaka kama kumi nyuma, baada ya baba yangu kufariki, tuliitwa na shangazi zetu tukapelekwa huko Tukuyu Busokelo tukapewa mji na kuambiwa sisi ndio tutakaoutunza mji, sababu ni baba yetu alikuwa ni mtoto pekee wa kiume katika familia Yao ya watoto watatu, na mbaya zaidi shangazi zetu hawapo hapa Tanzania. Mmoja kaolewa Zambia na mwingine yupo zake Uingereza kwa miaka mingi sasa

Baada ya kupewa mji Tukuyu ilibidi tukae vikao na ndugu zetu na tukajaribu kuwaeleza kuwa, kwa hali ilivyo itakuwa ngumu sisi kurudi Tukuyu kwa sababu sie pia tumetawanyika na nyumbani Njombe hapana mtu zaidi ya mama na mimi na mimi nipo jombe kwa kulazimika kusimamia biashara na shughuli alizokuwa anafanya mzee, ukitoa makaburi ya babu, bibi ,baba na ndugu wengine waliozikwa pale hakuna kingine , hata ukisema ufanye shughuli za kiuchumi kule tukuyu kupo slow sana Wana ardhi ndogo hata Heka 20 hazifiki, so management ya Tukuyu itakuwa technically tuff,

Kwenye mazungumzo tukamuomba baba yetu mdogo kwenye ukoo, huyu baba yetu mdogo ameishi na marehemu baba yetu na kusomeshwa ( mahusiano ya baba yetu mdogo na sisi yapo hivi " ukitoa kusomeshwa,kutolewa mahari na baba nk pia baba yake alikuwa ni babu yetu mdogo walifuatana na babu yetu mzaa baba) baba yetu mdogo alijaribu kukata kwa sababu na yeye anaishi Mbeya mjini na kajipata sana na hayupo interested na maisha na mifumo ya tukuyu.
Baada ya kumsihi sana baba mdogo kuwa yeye ndiye apokee kijiti Cha marehemu baba ( kuwa incharge wa ule mji) alikataa kabisa ila akatupa option kuwa Mbeya kwake yupo na shemeji yake wa kike (mdogo wa mke wake kabisa) akatueleza huyo shemeji yake ndoa yake ilivunjika akiwa na watoto wawili, yupo tu mjini labda ndiye akae pale na sisi still tutakuwa ndio wahusika wa mji ule , tunatakiwa tujihusishe na tamaduni za kule kuchangia misiba, kutembelea ule mji ,kusalimia majirani, kuendeleza ule mji kwa kupanda mazao kama parachichi migomba nk ili tu pasipotee ). Kweli baba mdogo akamuomba yule shemeji yake ( kiheshima ni mama mdogo kwetu ukizangatia ni shemeji yake baba mdogo na ukaribu wetu na baba mdogo ni mkubwa sana) Tunashukuru alikubali na ukizingatia yeye ni mzawa wa tukuyu ( sehemu kunaitwa masoko)

Kweli Akahamia pale nilichokifanya nikapeleka mifugo na kumpatia mtaji kidogo wa kuendesha maisha kule kijijini (lengo la kupeleka mifugo ni kufanya mji uwe active pasionakane pametupwa kabisa)

Shida ilianzia hapa mwaka 2022, kaka yetu mkubwa akatushauri December lazima twende kule kijijini, kweli tulienda tuka kaa pale, tukaona mazingira sio rafiki sana( nyumba za kizamani , eneo kubwa ni vichaka ) so tukaazimia tujenge nyumba inayoendana na miaka ya sasa na tufungue shamba, Tukachangishana then tukaanza ujenzi wa msingi, baada ya kuondoka tukawa tumeazimia nyumba iishe kabla ya December 2023

Kabla ya December Tulikuwa tumechangishana pesa inayotosha kumalizia Kuta na kupaua nk , ilipofika October kaka yangu tuliyefuatana alisema amechoka na pilika za mjini so December ataenda tukuyu kama sehemu ya mapumziko yake na akajitolea ataifanyia nyumba finishing na atamaliza Kila kitu( binafsi nilifurahi sana kwa sababu 1. Muda wa kwenda tukuyu nilikuwa Sina) , basi ilipofika December akashuka kule Tukuyu na mafundi wake Toka dar, kweli alijenga nyumba na kuanza kufanya finishings. Kumbe akiwa kule akawa anajipigia yule mama yetu pale

What happen there ni mimba na yule mwanamke ana mimba, aliyekuja kusema ni mke wa kaka yangu baada ya kugundua simu za broo hazipo sawa, shemeji kaniambia ukweli, nimewashirikisha kaka zangu wengine wamefedheheka sana na tukio lilivyo na tunaona aibu sana japo mhusika haoni shida yoyote Wala haonekani kujali na kibaya zaidi nilipo jaribu kumuliza alikubali na akanihidi atamfanya yule mwanamke mke mdogo na eti itasaidia atakuwa anarudi kule tukuyu na kupita mara nyingi akitoka kwenye biashara zake .

Anadai Atamuacha pale yule mwanamke na anadai anataka amfungulie duka kule kule kwenye kamji kadogo kanaitwa lwangwa, hapa tupo njia panda tunafanyaje, je yule mwanamke sisi tutakuwa tunamwitaje shemeji au mama mdogo kama tulivyozoea , vipi Ile jamii kule wakijua itakuwaje? Wale ndugu zetu kule Kijijini watakuwa wanatuonaje wakija kujua. Je, baba mdogo atakuwa ametuweka kwenye kundi gani, mke wa bab mdogo atakuwa anatufikiriaje je tutakuwa tunamwita mama mdogo au shemeji na kwa mila za Kinyakyusa hilo lipoje au tujiandae tu kurogwa?
Eeeh
 
Haina shida hii kwa desturi za kitanzania!
Kwanza ni shemeji wa baba mdogo! Hajazaliwa tumbo moja na wazazi wenu ( kwa maana ya kupokezana ziwa) huyo sawa na binamu hata kuoa unaoa kabisa kilichobaki ni kuweka mambo sawa na mke wa sasa aendelee kula mema ya Tunda!
 
Back
Top Bottom