Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

Kaka yangu kamtia mimba mama yetu mdogo. Hili lipoje kwa Wanyakyusa?

Alietiaa mimba na alietiwa mimba hawaoni aibu asa kwann ww ambae hujatia kitu hapo unaona aibu
 
Wadada wa Wakinyakyusa Wana style Moja inaitwa "kwepa bomu" yaani anainama alafu kichwa chake anakifunika na shuka anakuachia kiwiliwili uhangaike nacho[emoji39].
All in all kitakacho watenganisha mamdogo wko na kaka yko ni kifo.
,,,[emoji3][emoji3][emoji3] kmmk
 
Mtoa mada acha wivu na roho mbaya, acha kaka yako afaidi kuku wa kienyeji, na wanyakyusa walivo na vishundu aisee kaka yako anafaidi.

Wewe ulisema huwezi kuishi huko una mambo mengi mjini asa inakuwaje unaona wivu wa kishamba namna hiyo. Hao n watu wazima na hakuna u mama mdogo hapo.
 
Mie sieleqagi hii katazo la ndugu kulana...shida iko wapi wakidinyana
Jambo hili lina makatazo ya Kisayansi na Kimila pia.

Kisayansi kama mna weak genes ndani ya Ukoo wenu ni rahisi kurithishwa kutoka Kizazi chenu kimoja hadi kingine maana mtakuwa mnapigana miti ndugu wa damu.

Kama mmoja wenu ana maradhi ya Kisasa(HIV) ni rahisi kuambukizana.

Sisi kwenye Kabila letu, ilikuwa mfano nikafa basi Mke wangu angeendelea kupigwa miti na Brother angu ama mdogo wangu kama mrithi ili waendelee kukuza Ukoo.

Baada ya miaka mingi ya Giza hii Mila tumeiacha na sasa haipo kabisa miongoni mwa jamii yetu tena
 
Sasa huoni kuwa ni majanga kusambanza hizo poor genetics kwa wengine...sii bora iwe kwenye familia moja hivyo ata tukiamua kuwaua tunaua familia moja na sio nyingi?
 
Me najua mimba inatungwa kwa bao moja tu la dk 3-5. We kisa kirefu namna hiyo cha nini Mkuu?
Kuna watu mmejaaliwa maelezo asee🤣
 
Sasa huoni kuwa ni majanga kusambanza hizo poor genetics kwa wengine...sii bora iwe kwenye familia moja hivyo ata tukiamua kuwaua tunaua familia moja na sio nyingi?
Kawaida hizo poor traits huwa zinapungua nguvu na kwenda kuisha kabisa iwapo watakutana na kizazi imara.

Mfano Familia yenye vina saba ya Ualbino, iwapo wakaoana na kuzaa na watu wasio na historia ya Ualbino, Watapata watoto wenye asilimia 25 ya Ualbino, wakati asilimia 75 ya kizazi Chao kutakuwa hakuna Albinism.

Kwa kifupi iwapo Manara akaoana na Mwanamke kutoka kwenye Ukoo wake ni rahisi kuzaa watoto wenye hali ile ile yao.

Wakati kwasasa akifanikiwa kuzaa na yule Mke wake wa Instagram(Sijui anaitwa Rushyaia), atakuwa na asilimia 75 ya kutopata mtoto mwenye Albinism kama yeye
 
Hongera kwa uandishi mzuri umechagua kuwa mfanyabiashara lakini pia ungeweza kuwa mwandishi mzuri wa habari.

Nirudi kwenye hoja sasa.
Kwa kujibu maswali yako kwenye paragraph ya mwisho.
1. Hakuna tatizo lolote kwa kilichotokea. Huyo mwanamke sio ndugu yenu wa damu. Kwa sasa huyo ni shemeji yako na utarajie mtoto kuzaliwa.

2. Hilo ni suala binafsi la kaka yako. Sioni sababu ya wewe kuumiza kichwa kwa changamoto za mtu mwingine. Kaka yako anaonekana Hana mashaka wala woga kwa kilichotokea, wewe unapata mashaka kwa sababu zipi? Je ulikuwa unampenda mama mdogo?!

3. Nikushauri tu, kwenye haya maisha na matukio kuwa makini sana kujua na kuchagua masuala ya kukupa mawazo, muache kaka yako ashughulike na tatizo/changamoto zake yeye na mkewe.
 
Sioni tatizo hapo wameamua kutiana mimba kwa ridhaa yao wenyewe. Kwenye upande wa undugu hapo haupo kabisa waswahili wanasema uyo mtu baki mwache braza mkubwa ale mema ya nchi afaidi matunda bhana.
 
Wala haina shida, ungejua mila za kinyakyusa miaka 50 tu nyuma ungezimia.

Ilikuwa hivi, kama baba yako akifariki basi unarithi mali zake zote pamoja na wake zake wadogo (wazee walikuwa na wake wengi).

Hao wake wadogo unazaa nao kabisa, lakini watoto wanahesabiwa kuwa wa baba yako, yaani wanakuwa wadogo zako kimila japo ni wa kwako kabisa.

Hii ilikuwa pia kwa wake za kaka zako. Japo mwanamke alikuwa na uhuru wa kukataa ila wengi walikuwa wanakubali.

Sasa huyo unayemwita mama mdogo wala hamna undugu naye wa damu, acha bro ale mema ya nchi.
Acha uongo wewe, hao ni wanyakyusa wa wapi ambao walikuwa wanarithi mama zao? Au ndiyo historia za vilabuni baada ya pombe kukaa vichwani?
Halafu hivi unajua kiwa miaka 50 nyuma ni miaka ya 70 tu hapo ambapo kule tayari walishakuwa civilised kabla hata ya wakoloni kufika?
Hata ikitokea unasimuliee uee unajipa muda kutumia akili yako kutafakari ili uweze kuchuja.
Kwa ulichokiandika hapa naweza nikasema kitu pekee unachokijua kuhusu Wanyskyusa huenda ni Tulia Akson, Mwakyembe na Mwandosya na Maparachichi basi.
 
Sasa alitaka apige nyeto akiwa tukuyu si Bora kukojoa kwa mamdogo
 
Jambo hili lina makatazo ya Kisayansi na Kimila pia.

Kisayansi kama mna weak genes ndani ya Ukoo wenu ni rahisi kurithishwa kutoka Kizazi chenu kimoja hadi kingine maana mtakuwa mnapigana miti ndugu wa damu.

Kama mmoja wenu ana maradhi ya Kisasa(HIV) ni rahisi kuambukizana.

Sisi kwenye Kabila letu, ilikuwa mfano nikafa basi Mke wangu angeendelea kupigwa miti na Brother angu ama mdogo wangu kama mrithi ili waendelee kukuza Ukoo.

Baada ya miaka mingi ya Giza hii Mila tumeiacha na sasa haipo kabisa miongoni mwa jamii yetu tena
Ok, ok,... Lkn sasa ifike mahal tukubaliane kuwa HIV si ugonjwa wa kisasa, 40yrs + sasa. Kama ni binadamu huyu atakuwa na wajukuu kabisa.
 
Back
Top Bottom