Nanyenyekea mpendwa.Penzi jipya raha sana. Nyenyekea Binti angu, umeona mwenyewe mchuano huko nje na waume za watu ilivyo shida. Huyo ni chaguo lako , mkumbatie kwa heshima, na uchunge hasira na ulimi wako.
Hahaha dah. Let big Men answer you.Nanyenyekea mpendwa.
Hakika ni chaguo sahihi la moyo wangu.
Tokea nimpate nalala na kuamka na ka smile.
Hata afya yangu imeimarika.
Siku hiz ni ngumu sana kukasirika na ulimi unatoa maneno mazuri mazuri tu hadi staff wangu wananong'ona eti nimetoka kuwa simba mkali mwenye hasira kila saa (stress) hadi kuwa mwanakondoo mpole mgumu kukasirika.So worry out kuhusu hasirana ulimi wangu.
Nb:Hivi hawa wanaosema eti med r dogs ni wazima kweli kichwani?
Mbona mm wanaume nakutana nao kuanzia baba watoto wangu,my ex na mume wangu huyu ni watu wema sana!!.
I LOVE MEN.
I can't imaging this world without them.
Wanatupambania sana masikini.🌸🌺❤️
sisi ni mbwa mnasemagaNanyenyekea mpendwa.
Hakika ni chaguo sahihi la moyo wangu.
Tokea nimpate nalala na kuamka na ka smile.
Hata afya yangu imeimarika.
Siku hiz ni ngumu sana kukasirika na ulimi unatoa maneno mazuri mazuri tu hadi staff wangu wananong'ona eti nimetoka kuwa simba mkali mwenye hasira kila saa (stress) hadi kuwa mwanakondoo mpole mgumu kukasirika.So worry out kuhusu hasirana ulimi wangu.
Nb:Hivi hawa wanaosema eti med r dogs ni wazima kweli kichwani?
Mbona mm wanaume nakutana nao kuanzia baba watoto wangu,my ex na mume wangu huyu ni watu wema sana!!.
I LOVE MEN.
I can't imaging this world without them.
Wanatupambania sana masikini.🌸🌺❤️
Baba wa mtoto au watoto yupo au kaishakufa kama yupo hatuna haja ya kukushauli kwani matatizo ndio yanaanziaga hapoNItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.
Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.
Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.
.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏
Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.
Asanteni🙏🙏
Yupo safe n sound na namuombea maisha marefu na hayo matatizo hayapo na hayatakuwepo kama ulivyokariri.Baba wa mtoto au watoto yupo au kaishakufa kama yupo hatuna haja ya kukushauli kwani matatizo ndio yanaanziaga hapo
huyo baby Daddy akija kuomba tamu tamu usiteleze sasaYupo safe n sound na namuombea maisha marefu na hayo matatizo hayapo na hayatakuwepo kama ulivyokariri.
I love my husband.
I respect my baby daddy.
Nakuombeeni sana lakini nyinyi wanawake huwa ni swala la muda tu tena huwa mnaomba matumizi ya mtoto hali ya kuwa mume ulienae ndani anatimiza matumizi yote kwako na mtotoYupo safe n sound na namuombea maisha marefu na hayo matatizo hayapo na hayatakuwepo kama ulivyokariri.
I love my husband.
I respect my baby daddy.
Umenitamanisha hapo kwenye uke wenza.Hakuna maisha mazuri kama ya uke wenza ingekua sijakamatika kwa my golden husband ningekuja kwako unipende nikutii kipenzi changu.Hapo Kwa upande wangu itakuwa mgumu sijui wengine, maana haiwezekani nikufundishe jinsi ya kumfanyia mwanaume mwenzangu akupende wakati Mimi mwenyewe nakupenda, usitumie nguvu kubwa kumfanya mwanaume akupende, wewe mtafute akupendae tu maisha yaendelee, kama huyo kakuchoka njoo kwangu nikupetipeti na kukuspoil, ila tu ujue uko na mwenzio maana tayari Nina mke, sawa kipenzi changu
Asante kwa maombi.🙏🙏Nakuombeeni sana lakini nyinyi wanawake huwa ni swala la muda tu tena huwa mnaomba matumizi ya mtoto hali ya kuwa mume ulienae ndani anatimiza matumizi yote kwako na mtoto
kuchapiwa haiumiii kinachouma ilitoka ukairudishia mwenyeweMimi sio kahaba hilo haliwez tokea.