Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.

Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.

Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.

.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏

Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.

Asanteni🙏🙏
Wanaume hatuhitaji mambo mengi kwa mwanamke: Heshima, kuwa mnyenyekevu na mtiifu, Amani, mambo mengine ni ya kawaida. Mfano usafi, kupika vizuti , kulea watoto inavyopaswa, ndugu , kuongeza thamani yako mwenyewe sio tu ubweteke na kipato cha mume, ibada
 
Kuwa muaminifu kwake. Usimsaliti kamwe.

Uwe na utulivu wa akili, usilipuke ukiona kuna kitu amekosea. Jipe muda kisha ongea naye kwa kauli ya kawaida siyo ugomvi.
Huelewi kitu au umesikia jambo baya uliza usianze kutuhumu au kuishi na kinyongo rohoni.

Mpe hiyo kitu hapo chini bila mashariti mengi au mgawo wa maji au umeme.

Hakikisha unakuwa msafi maungo yako ya faragha. Hii nasisitiza mara tano.

Tumia pesa vizuri.
Usilazimishe mambo makubwa nje ya uwezo wake au wenu.

Wapende na uwaheshimu ndugu zake na nduguzo.

Penda dini ila usizidishe kama walokole au waislam wa imani kali au wakarismatiki wa katoliki.
Siyo muda wa kumpa huduma mumeo wewe upo na sala au makongamano tu.

Punguza kusikiliza ushauri wa rafiki na nduguzo. Huyo kwa sasa ndiyo mshauri wako wa kwanza.
Ndugu wanayo nafasi lakini haichukui nafasi ya mumeo. Hii kama ulifanya chaguo sahihi.

Simu ya mumeo kaa mbali nayo. Mpe faragha ya kuongea na nduguze. Si vema usome jumbe za wakwe zako.
Baba mkwe anajipu takoni anaomba pesa ya hospital wewe unajua?!!!!

Kubwa kuliko yote hakikisha mtoto wako ambaye siyo wake anamuheshimu mumeo. Mpe mumeo nafasi ya kushiriki malezi ya mwanao.
 
Nitarudi. Nitaandika kutoka moyoni.
Kazi ni kipimo cha utu.
 
binadamu tu tofauti...
anachokipenda Athumani na Erick, Juma na Chalii hawapendi... ivo huyo kungwi ka keshampitia labda anajua anachopenda... la sivo kazi ni kwako kutest na kuchunguza.. trial and error hadi ujue mkanda
🙏🙏
 
Wanaume hatuhitaji mambo mengi kwa mwanamke: Heshima, kuwa mnyenyekevu na mtiifu, Amani, mambo mengine ni ya kawaida. Mfano usafi, kupika vizuti , kulea watoto inavyopaswa, ndugu , kuongeza thamani yako mwenyewe sio tu ubweteke na kipato cha mume, ibada
🙏🙏
 
Kuwa muaminifu kwake. Usimsaliti kamwe.

Uwe na utulivu wa akili, usilipuke ukiona kuna kitu amekosea. Jipe muda kisha ongea naye kwa kauli ya kawaida siyo ugomvi.
Huelewi kitu au umesikia jambo baya uliza usianze kutuhumu au kuishi na kinyongo rohoni.

Mpe hiyo kitu hapo chini bila mashariti mengi au mgawo wa maji au umeme.

Hakikisha unakuwa msafi maungo yako ya faragha. Hii nasisitiza mara tano.

Tumia pesa vizuri.
Usilazimishe mambo makubwa nje ya uwezo wake au wenu.

Wapende na uwaheshimu ndugu zake na nduguzo.

Penda dini ila usizidishe kama walokole au waislam wa imani kali au wakarismatiki wa katoliki.
Siyo muda wa kumpa huduma mumeo wewe upo na sala au makongamano tu.

Punguza kusikiliza ushauri wa rafiki na nduguzo. Huyo kwa sasa ndiyo mshauri wako wa kwanza.
Ndugu wanayo nafasi lakini haichukui nafasi ya mumeo. Hii kama ulifanya chaguo sahihi.

Simu ya mumeo kaa mbali nayo. Mpe faragha ya kuongea na nduguze. Si vema usome jumbe za wakwe zako.
Baba mkwe anajipu takoni anaomba pesa ya hospital wewe unajua?!!!!

Kubwa kuliko yote hakikisha mtoto wako ambaye siyo wake anamuheshimu mumeo. Mpe mumeo nafasi ya kushiriki malezi ya mwanao.
Asante sana mkuu.
Nimekusoma kwa makini na kuelewa.
Asante🙏🙏
 
Hivi si mtafute kakichaka mkagombanie huko wapenzi
Kaanza hapa hapa so acha tumalizane tu hapa hapa .
Kwanza huna hata haya unaniambia mimi kwani huoni aliyeanza eti au upo upande wa wanaume .
Kichaka ndio hiki sina haja yakumuhamisha mie sio wizara ya uhamisho .
Kwanza kaanzishe page yako kama hi ya jamii forums . Ndio unipangie cha kusema
 
Nisamehe love wangu❤️🙏❤️
 
Kuwa natural tu mwaya usijevunjika mgongo kwa kumkeep mwanaume ambaye hajui anataka nini

Fanya majukumu yako na uwe na kiasi kwa kila kitu..mengine yafaflow tu.

BTW dont do too much they have their favorites.
 
Asante kwa ushauri babes ila sijui ni hichi kitumbo kinafanya niwe too emotional coz nahisi nahitaji kufanya zaidi ya kuwa na kiasi.Honestly kuna ishu yangu fulani imenitesa for long kaipambania imekaa sawa ila hadi amekonda masikini😭.Kasema as long as yuko hai sitateseka tena na stress.

I wanna do too much for him.
Sorry.
 
All the best sis
 
swali kidogo :huyo baba wa mtoto analea mtoto?
 
Penzi jipya raha sana. Nyenyekea Binti angu, umeona mwenyewe mchuano huko nje na waume za watu ilivyo shida. Huyo ni chaguo lako , mkumbatie kwa heshima, na uchunge hasira na ulimi wako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom