Baasi, huyo mwamba ameokota Dodo. Akijiridhisha kuwa wewe ni muaminifu atajiachia kwako. Mtadumu hakikaMimi ni mwaminifu.
SIwezi kuwa na zaidi ya mwanaume mmoja.
Asante kwa muongozo🙏
Asante.Nikupongeze kwa jinsi ulivyokuwa mtulivu kupokea ushauri wa kila aliyeshauri hapa jukwaani, namna umejibu kwenye hili ni dalili ya usikivu, Tabia njema na nia ya dhati ya kuhitaji ushauri. HONGERA SANA.
Mengine yote wameshasema Wanaume wenzangu hapa Jukwaani, na ukifuatilia kwa umakini utagundua wote kuna vitu common wamevizungumza (Mpe UTULIVU, Mpe HESHIMA). Basi nenda ukatekeleze hayo, na mengine yote utazidishiwa.
Hilo chaguo la kutosikiliza ushauri wa wanawake wenzako, umechagua uchaguzi bora sana kwenye hili.
Relax, Enjoy Life.
😁😁Tunapenda sana mwanamke ambaye atakupa amani na sio magomvi kila kukicha,kingine wakati wa usiku,vile vikofi vyenu manavyotupiga usiku mkidai mmechoka huwa vinakera sana...
UNaweza nini ?? Katandikie wachagga khanga barabarani wapiteeKafirw3 huko
Halafu sitaki uchokozi nawewe kama umetumwa unitukane nakublockKafirw3 huko
Lakini pia vitu vya msingi ambavyo tunapenda wanaume ni kama ifuatavyo.Pouwa.
Mekupata
Haya nakublock kwanza wapare hamna nguvu ya kufira mtu mnashindia wanga bila protin vitamin wala kirutubisho kingine zaidi ya wangaThen ukishaniblock? Nakufa?
Kafirw3 huko
Hakuna kitu kuna mpare mmoja alizimia kwenye inshu kisa hajalaTry me kama uboo haujatokea kooni
Wazo bora zaidi kuliko yote.Kua mtulivu tu , shiriki katika uzalishaji mali hata kwa mawazo tu.View attachment 3649849
Huyo alikua mgonjwa, try me nikushangazeHakuna kitu kuna mpare mmoja alizimia kwenye inshu kisa hajala
Iam very ok love.Pekundu funguka😊 🤗
Kama upo ok, si husingeuliza? Wasiwasi wa nini? Ulipe nini na ni mwanaume kaiweka hivyo si wajibu wake au? 🫣
Funguka.. Wasiwasi wa nini? Sioni y? Umesema wanawake hayatuhusu.. Ndio maana nauliza tu maswali now.
Asante kwa ushauri🙏🙏Heshima na utii ni vitu vya kuzingatia epuka kuyaanika madhaifu ya mwenzio hata kwa ndugu zake bali zungumza nae kuyatatua, elewa mwenzio ni mtu wa namna gani, kwa mfano tupo tusio penda masuala ya feminist usitake ndani sheria zako zitawale au nazo ziwe ni amri
Sawa kaka yangu.Lakini pia vitu vya msingi ambavyo tunapenda wanaume ni kama ifuatavyo.
Kuheshimiwa-umuonyeshe heshima yake kama kichwa cha familia.
Kumjali kama anavyokujali yeye.
Kuwa na shukrani kwa kidogo anachomudu kukupa.
Jitahidi uwe msafi wakati wote kuanzia wewe mwenyewe na mazingira ya nyumba yako kiujumla.
Usiwe na gubu-wanaume tunapitia mengi kwenye shughuli zetu za kila siku ikiwemo manyanyaso kutoka kwa Maboss zetu hivyo nyumbani ndio sehemu pekee ya kwenda kuliwazwa ukishindwa hili atatafuta mchepuko ambao utakuwa unamliwaza kabla ya kuja kwako haijalishi wewe ni mzuri kiasi gani ukiwa na gubu,visirani huwa tunachefukwa.
Kitu cha mwisho na cha msingi sana muonyeshe kuwa kichwani uko smart na unajua kuhusu mambo ya miradi ya kimaendeleo ili asikuone mzigo.
Yaani kwa mfano badala ya kumwambia naomba hela niende saloon mwambie hivi mpenzi unaonaje tukianzisha mradi wa duka au mradi wa kuku wa broiler ili nipunguze usumbufu wa kukuombaomba hela kila siku hapa atakuona uko akili sana na uko kwa ajili ya future ya familia yenu mwanaume hata awe tajiri kiasi gani ukiombaomba hela ya vitu vidogo vidogo kila siku tunakerekwa.
Asante kwa ushauri baba mtakatifu🙏🙏Cha kukushauri dada mheshimu sana mtu anayeacha mabinti wazuri na kuja kukupa second chance wewe ukiishi kifeminist matokeo yake ndo hayo. Usimharakishe sana. Anajua kuwa upo kwenye uharaka wa kutimiza ndoto zako tulia. Kumbuka yeye ndo kwanza kaja kwenye maisha yako kumharakisha kisa wewe ulichezewa na mwanaume mwingine huko atakuacha.
It's my pleasure dear, 21 yrs ndani ya ndoa hivyo bandiko langu linatokana na experience yangu mwenyewe.Barikiwa kaka.
Nitazingatia yote ulonishauri.
Asante sana🙏