Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Kaka zangu naomba mnisaidie.Sitaki kurudi Misri ya u singo maza

Status
Not open for further replies.
NItasema kweli daima.
Maisha ya u singo maza sio maisha.
Uwe tajiri uwe masikini sio maisha.

Najitahidi sana kuwa mke mwema ila naona haitoshi kwa mwanaume huyu aliyenitoa katika yale maisha machachu ya usingo maza.Natamani niwe mke bora sana kwake kama njia ya kumu apreciate kwa kunitoa katika yale maisha ambayo kamwe sitaki kuyarudia.

Kaka zangu,siku zote nimekua nikiamini kuwa wale mwanamke kufundishwa na mwanamke mwenzie(kungwi) juu ya mambo anayoyapenda mwanaume ni bull to the shizo.

.Naamini mwanaume ndie anayejua ni nini Mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamke hivyo kaka zangu nimekuja kwenu kwa unyenyekevu mkubwa kuwaomba mnifunde.🙏🙏

Mimi sitaki kufundwa na wanawake wenzangu,hawajui kitu kuwahusu.Naomba mnifundishe nyie my darling kakaz🙏🙏
Nstaka nijiongezee thamani mbele za huyu baba.

Asanteni🙏🙏
Feeling za mwanaume zinabadilika kulinganana na mazingira yanayomzunguka saa hiyo Kwa mfano Simba ikifungwa na Yanga, na mmeo ni Simba( handle with care), lakini kama ni Yanga, ndo siku ya kuomba hela za vikoba.
 
Sawa mkuu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom