Are you desperate singo maza? Usichukue ushauri wa hawa watu😀😀😀wenyewe hawajui wanachotaka watakuja hapa waseme heshima mara hawapendi kelele
Asante kaka mbalizi1Mpe heshima mumeo, kuwa mtiifu kwake, epuka kumpigia kelele, lakini kubwa zaidi usimnyime chiu mumeo pasipo sababu zisizo na mashiko. Hakikisha amani inatawala ndani ya nyumba
no babe am not😀Are you desperate singo maza? Usichukue ushauri wa hawa watu
si tuko hapa tutaonaMbona unawasemea watu lakini
nyie 😀Kati ya Sisi na nyie nani hajijui?
Haya bwananyie 😀
Siku moja nikamwambia yaani nikulishe nikuvishe halafu bado unipayukie. Una akili timamu? Kipindi baba yako anakuhudumia uliweza kumpayukis kwa sababu amekosea?prida tambua ya kuwa wewe ni mwanamke jasiri na unaye taka kuvunja curse ya feminism..
Nikuombe uendelee kujifunza kutoka kwa Wanaume humu.. Hasa wanaojitambua..
Ya kwangu ni haya...
Usipende kumjibisha mwanaume.. Ukitaka akuheshimu Mfanye awe responsible kwa wewe kuwa responsible..
Sisi wanaume huwa tuna penda kuonekana tunaweza, ukimhold accountable mumeo bila kutoa sauti.. Atakuheshimu na kukupenda bila yeye kujua.
Kuwa na upendo usio na kutaka return, usimoe attention kirahisi, Usimjibishe akiongea shit, bali mhold accountable kwa maneno yake mwenyewe.
Heshima haikimbizwi, unakuwa earned
Hii si kweli,kwamba waume hawajui wanachotaka? Probably wewe hauko tayari kufanya yale wanayotaka.😀😀😀wenyewe hawajui wanachotaka watakuja hapa waseme heshima mara hawapendi kelele
Umeongea vyema sana ila sinyanyasiki,he is a very good man.Umeomba wanaume wakufunde lakini nakushauri tu kama binadamu mwenzio nisiyejali jinsia potelea pWEte
Huwezi kumplease mtu ambaye hadeserve kupliziwa, kama upo kwenye situation hii usikubali kunyanyasika eti kwasababu hutaki kurudi kuwa single mother
Nimeandika haya bila kujua how it feels kuwa single mother
NOted.La kwanza ni kumsahau mzazi mwenzako,
Najua kwenye nyumba kuna migogoro mingi ila siku ukiteleza tu kwenye hilo, either kwa mamneno au matendo, ujue tayari umeharibu.
Mengine utaambiwa na wadau
kweli ni ipi?Hii si kweli,kwamba waume hawajui wanachotaka? Probably wewe hauko tayari kufanya yale wanayotaka.